hateeb10
JF-Expert Member
- Dec 8, 2022
- 2,920
- 1,223
Wewe unafikiri naishi Karne gani?Unaishi karne gani wewe,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe unafikiri naishi Karne gani?Unaishi karne gani wewe,
Sijawahi kuona shirika lolote la watu wanaoamini Dunia ni flat wakafanya project kama hizi, Ila wanakuja na majibu mepesi tu [emoji28]Wewe unafikiri naishi Karne gani?
Sasa hujiulizi kwanini hizo project hazina uthibitisho wowote wa kuzunguka Kwa Dunia?Sijawahi kuona shirika lolote la watu wanaoamini Dunia ni flat wakafanya project kama hizi, Ila wanakuja na majibu mepesi tu [emoji28]View attachment 2950048
Kabla hujaona inashangaza inabidi wewe ndio ujishangae kwanza.Sasa hujiulizi kwanini hizo project hazina uthibitisho wowote wa kuzunguka Kwa Dunia?
Inashangaza.
kwanini hizo project hazina uthibitisho wowote wa kuzunguka Kwa Dunia..........?Kabla hujaona inashangaza inabidi wewe ndio ujishangae kwanza.
Nenda katafute maarifa hata hivyo vifaa vinavyofanya kazi.kwanini hizo project hazina uthibitisho wowote wa kuzunguka Kwa Dunia..........?
Hilo swali halina dalili yoyote ya kuwa swali la kitoto....Nenda katafute maarifa hata hivyo vifaa vinavyofanya kazi.
Hautakuja na swali la kitoto namna hii.
Uthibitisho utauona tarehe nane, Kaa tayari ikiwezekana andaa budget ukajifunze.Hilo swali halina dalili yoyote ya kuwa swali la kitoto....
Nadhani ingefaa ukiri tu kwamba currently huna uthibitisho wowote wa kuzunguka Kwa Dunia,... you are just a blind believer.
Kwahiyo Dunia ndiyo ina move hivyo?Uthibitisho utauona tarehe nane, Kaa tayari ikiwezekana andaa budget ukajifunze.
Clip hapo chini ndivyo itakavyokua hapo tarehe8View attachment 2951188
Basi tuelezee wewe mchakato mzima unavyofanyika mpaka jua linapatwa na namna ambavyo unaweza kufahamu siku tarehe na muda tukio litakapotokea ( Kwa nadharia yako ya Dunia ni tambarare ) ....Kwahiyo Dunia ndiyo ina move hivyo?
Hata kama unaamini CGI'S ila hiyo ni too much [emoji1373]
Sidhani kama animation itasaidia chochote hapa.... kimsingi hutakiwi kuchukulia animation kama fact 100%,. It's just an assumptions.Basi tuelezee wewe mchakato mzima unavyofanyika mpaka jua linapatwa na namna ambavyo unaweza kufahamu siku tarehe na muda tukio litakapotokea ( Kwa nadharia yako ya Dunia ni tambarare ) ....
Tumia animation kuelezea
Labda nkuulize unaelewaje mtu akisema umueleze jambo linavyofanyika kwa njia ya animation ? Au achana na swali.Sidhani kama animation itasaidia chochote hapa.... kimsingi hutakiwi kuchukulia animation kama fact 100%,. It's just an assumptions.
Chosen Rich ..... Ushawahi Ku imagine the scenario ambayo mvua inanyesha upande mmoja wa Dunia Tufe & at the same time upande mwingine wa Dunia Tufe pia mvua inanyesha? 👉🏼🌍
Meanwhile,... Kwenye huu mtumbwi hapa chini ni watu wa Dunia Tufe wakisafiri miles na mile kwenye flattened earth kutafuta curvature juhudi ambazo mpaka Leo hazijafanikiwa.
View attachment 2955640
Ok toka kigoma uende Dar es Salaam bila kurudi nyuma tuone kama utarudi/kufika kigoma😂😂😂Uzuri ni kwamba, si NASA peke yake iliyofanikiwa kwenda nje ya dunia. Mataifa ya Uchina, Urusi, India nk hakuna aliyesema dunia ni tambarale.
Ukweli utabaki pale pale, ukianza safari kutoka point A kuelekea mashariki au magharibi kwa kipindi fulani utajikuta umerudi pale pale ulipoanzia safari. mfano mtu akianza safari ya kuelekea China kutoka Africa, akifika China anaweza kuvuka bahari ya Pacific hadi USA. kisha kutoka USA akavuka bahari ya Atlantic kurudi Afrika...
sidhani kama dunia ni tambarale hili linawezekana?
Kwa wanaofatilia makala za kisayansi wamepata kuona hata wanafunzi wakiwa field katika bara la Antarctica.
binafsi iko duara.
Sasa hapa umeandika nini ?Ok toka kigoma uende Dar es Salaam bila kurudi nyuma tuone kama utarudi/kufika kigoma😂😂😂
Yes sahihi,..Hii ishu ya kupatwa Kwa Jua nilishawahi kuelezea kiasi humu na nikasema kwamba Jua, Mwezi na objects nyingine zilizopo angani huwa zina move and that's why eclipses zinatokea endapo object mojawapo itapita mbele ya object nyingine hali inayopelekea Ku block mwanga wa object mojawapo kutufikia/kuonekana kwenye dunia yetu iliyotulizana.Nmekuomba picha na maelezo kuhusu kupatwa kwa jua sijaiona hadi muda huu,
Ila picha ya watu wawili waliokosa akili wakasafiri na mtumbwi kutafuta mkunjo ndio umeweza kunitumia.
( Nmekuomba unipe maelezo ya kupatwa kwa jua ikiambatana na mchoro wa picha unaoelezea hatua kwa hatua jua linavyopatwa kwa nadharia ya Dunia ni flat ili nikuelewe vizuri )
Japo najua umewahi kutoa maelezo yako hapa kuhusu kupatwa kwa Jua/Mwezi.