Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

JE Dunia ina umbo gani?

  • Total voters
    710
ni darasa la tano kaka.

atlasi hakuwa anaelewana nayo kabisa.
🤣 wanapinga hadi gravity.

Ila ndugu zetu flat earthers wasiwe na shaka tuwaachie mataifa ya ughaibuni yapige itafiti na maboresho mapaka siku space tourism iwe reliable na nafuu watabadili mtazamo tu
 
Wale tunaoamini maoni (theories)ya wengine,....siku watu hao wakibadili maoni yao juu ya vile walivyotuaminisha,..Je, tutabadili msimamo yetu au tutakomaa?
sayansi sio maoni na mitazamo kama hii yako,sayansi ni mashaka-uchunguzi-ugunduzi-ripoti.
hizi tunazokuandikia zote ni ripoti za watu,na wameeleza kipi walifanya kufikia huku,vingine hata wewe wamekuagiza utazame kwa macho tu.kama hiyo ships visibility.

sasa mkuu ukija tu ukaanza kukaza fuvu,na hutuambii ripoti za uchunguzi wako,hapo ndio unatuchanganya.
mbaya zaidi unatumia facts unazozikataa kama punching bag😂😂,kushikiza hoja zako.
 
🤣 wanapinga hadi gravity.

Ila ndugu zetu flat earthers wasiwe na shaka tuwaachie mataifa ya ughaibuni yapige itafiti na maboresho mapaka siku space tourism iwe reliable na nafuu watabadili mtazamo tu
kuna mmoja alihoji kama dunia ni tufe kwanini kitanda chake kimenyooka😂😂😂.

sasa hizi ndio akili za jamaa yetu huyu.
 
Na ni wewe huyo huyo unapinga ship visibility, Unasema ni uwezo mdogo wa macho ha ha ha! So funny

Nmewahi kukwambia ndio nyinyi mkiwa kwenye gari mnaona miti ndio inakimbia
Sikulaumu wewe bali hiyo yote imesababishwa na waliopofua macho yako through indoctrination....Una macho lakini hutaki kuona.

Hivi hujui kwamba hata ship visibility naipinga kwa kutumia macho?

Utofauti wangu Mimi na wewe,...ni kwamba wewe umeaminishwa kwamba ship visibility inatokana na curvature of the earth,...wakati kiuhalisia hiyo curvature haipo na utagundua hivyo Kwa kutumia macho yako on your own sio kutanguliza akili za kushikiwa.
 
wapi najichanganya,au nakuchanganya na somo halijaanza.

doubt zipi,watu wanaomba toka page ya kwanza hakuna anayeleta.

unajua ili mada iwe simple,inabidi ukubali kwamba hujawahi kuelewa hili somo,lakini.kujaribu kulijengea hoja zako hizi za hapa na pale unazidi kujifukia.

proof zote hazina shaka hata moja,imebaki wewe kutupa zako za dunia tambarale,tunaziomba.
Kwahiyo hii kauli yako hapa chini unaona inaingia akilini?⬇️
"sijasema haina curveture,namaanisha kila sehemu ni curveture au sehemu ya curveture."

Yaani ukiacha hoja zako, hata kuandika "curvature" pia kunakupa shida,...jitahidi uwe smart ili uweze kujadili mada zenye heavyweight.
 
wewe hakuna kinacho make sense kwenye akili zako.
nimekwambia hiki ninchokuandikia ni cha darasa la tano,kitu chepesi kabisa huelewi utaelewa jambo gani sasa!!

😂😂sasa shule ulienda kujifunza kuandika curvature peke yake!!!
ndio maana vitu vingine unabisha bisha tu.
 
Sikulaumu wewe bali hiyo yote imesababishwa na waliopofua macho yako through indoctrination....Una macho lakini hutaki kuona.

Hivi hujui kwamba hata ship visibility naipinga kwa kutumia macho?

Utofauti wangu Mimi na wewe,...ni kwamba wewe umeaminishwa kwamba ship visibility inatokana na curvature of the earth,...wakati kiuhalisia hiyo curvature haipo na utagundua hivyo Kwa kutumia macho yako on your own sio kutanguliza akili za kushikiwa.
ok.tufanye curvature haipo,ni wenge la macho kama mazigazi ilivyo.

unakijua kiwango cha mbali kabisa binaadamu anachoweza kuona??

baada ya hapo tunaomba jina la effect inayosababisha hali hiyo,na formation yake katika macho.
 
wewe hakuna kinacho make sense kwenye akili zako.
nimekwambia hiki ninchokuandikia ni cha darasa la tano,kitu chepesi kabisa huelewi utaelewa jambo gani sasa!!

😂😂sasa shule ulienda kujifunza kuandika curvature peke yake!!!
ndio maana vitu vingine unabisha bisha tu.
Kwamba kila sehemu ni curvature?? ,.... Ngoja nisikuulize tena kuhusu hilo ila fahamu Tu kwamba hapa umekosea 🤝🏼

"sijasema haina curveture,namaanisha kila sehemu ni curveture au sehemu ya curveture."
 
Kwamba kila sehemu ni curvature?? ,.... Ngoja nisikuulize tena kuhusu hilo ila fahamu Tu kwamba hapa umekosea 🤝🏼

"sijasema haina curveture,namaanisha kila sehemu ni curveture au sehemu ya curveture."
unadhani nimekosea kuandika au nimejibu kwa kubahatisha!!!

ndio maana nikakwambia swali lako halina maana kwenye hoja za upande wetu,lina maana kwenu nyinyi wa dunia tambarale.linatakiwa lielekezwe kwenu.
nyinyi ndio mnaamini huna sehem ni tanbarale na kuna sehemu kuna kingo na hizo curvature zimeanzia.
 
Sikulaumu wewe bali hiyo yote imesababishwa na waliopofua macho yako through indoctrination....Una macho lakini hutaki kuona.

Hivi hujui kwamba hata ship visibility naipinga kwa kutumia macho?

Utofauti wangu Mimi na wewe,...ni kwamba wewe umeaminishwa kwamba ship visibility inatokana na curvature of the earth,...wakati kiuhalisia hiyo curvature haipo na utagundua hivyo Kwa kutumia macho yako on your own sio kutanguliza akili za kushikiwa.
Hauna majibu umeanza porojo,

Nlikupa mfano halisi wa meli ambayo nlikua naitizama ikiwa inaondoka nadhani unakumbuka, Wewe ulipinga sana kuwa macho yana uwezo mdogo kuwa nlichokiona sio uhalisia,

Sasa hivi upo kutetea hili ambalo ulipinga siku za nyuma.

I'm done with you bro, Nmeshafahamu wewe ni mtu wa aina gani.
 
Mkuu., kuhusu umbo la Dunia sio lazima tusubiri shirika fulani kama NASA ndiyo lituambie.... kwakuwa tayari tuna macho tunaweza kuyatumia kuchunguza ili kuchunguza Dunia ina umbo gani...... ngoja nikuulize swali [emoji3591]Je,wanachosema NASA kwamba Dunia ni Tufe [emoji288] kinaendana na kile ambacho macho yako yanaona kwenye uhalisia?

Mkuu dunia hii TUMEJUA mambo mengi na maendeleo yake yote unayo yaona ni High Tech kama akina NASA ndio wametufikisha hapa kwasababu viungo vya binadamu vina ukomo..... so don’t underestimate the power of tech

Kujibu swali lako
Concept ya dunia duara haikuanza na NASA, kipindi hicho watu walitumia macho unayotaka tuyatumie sasa na kujiridhisha dunia ni duara

Nimesoma majibu yako na nimebaini hata wewe unaubishi pia usio na tija
Kuna concept ambazo unabishana nazo ambazo hazipaswi kuwa mjada kwa jinsi dhana nzima ya dunia duara ilivyo

CURVATURE
The Earth is too large to notice curvature
Pia kumbuka dunia kwa ujumla wake ni tambarare lakini uso wake una mabonde mabonde......... Dhana hii sio ya kubishania labda ukatae kwamba dunia sio kubwa kiasi hicho
Sehemu pekee tunayoweza kujadili kuhusu curvature ya dunia kwa naked eyes ni sehemu tambarare ambayo ni majini

Umetolewa mfano ukiwa baharini meli inavyozidi kwenda mbali inaanza ku curve na inaonekana kama inatumbukia kwa kuanza kupotea kuanzia chini hadi mwishoni utaona minara yake kisha itapotea....... ukaja na hoja kwamba macho yana danganya
Lakini mbona hata ukichukua darubini inayoona mara 10000 ya macho ya binadamu bado utaiona meli inazama the same na unavyotumia macho?
Na kwanini meli hiyo ukiwa gotofa ya kwanza utaona imezama completely lakini ukipanda gotofa ya 50 unaiona?

Kabla hatujafika kweny GRAVITY ambayo ndio ngumu zaidi kumeza hebu tuwekane sawa kwanza kwenye curvature kwa uono wa macho
 
Nitarudi.........
Screenshot_20240205-015556.png
 
Kuna watu wajinga sana hasa hasa waafrika, watu wamepeleka vyombo vinaelekea kutoka nje ya solar system, vingine vineenda huko sayari za mbali, watu wanafanya tafiti kubwa na mambo makubwa mno, Ila cja kushangaza kuna wajinga wajinga kama huyu mleta mada anajadili shape ya dunia? Really? Karne hii ya 21? Unaturudisha nyuma karne ya 16 huko tulishatoka! Mambo yanayohitaji ufahamu wako tu na akili kidogo kung'amua, kwa hiyo mercury, mars, jupiter tufanye na jua nazo pia ni flat 😄😄😄
 
yes, wajikusanye wafanye tafiti na documentation tuwasikilize, watu walimbishia gregol mendel miaka kadha baadae mtu kashajifia wanakuja kukubaliana nae leo hiii sote tunaona balaa la genetics. ila hawa ndugu zetu wao wanapinga tu bila kuleta kitu chochote mezani, sayansi sio mambo ya dhahania, watu wanakesha wanapiga tafiti huko wanatumia mahela kibao mtu utoke chato ulete viconspiracy vyako simple simple tu
 
mtu hata baharini kigamboni hajawahi kufika,anabisha kuhusu ships visibility😁😁😁
 
Back
Top Bottom