mkorinto
JF-Expert Member
- Jun 11, 2014
- 31,415
- 38,761
ni darasa la tano kaka.Somo la forces pale form two ulielewa mkuu?
atlasi hakuwa anaelewana nayo kabisa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ni darasa la tano kaka.Somo la forces pale form two ulielewa mkuu?
😂😂andhani akitumia telescope anaweza iona comoros akisimama kigamboni😂Na ni wewe huyo huyo unapinga ship visibility, Unasema ni uwezo mdogo wa macho ha ha ha! So funny
Nmewahi kukwambia ndio nyinyi mkiwa kwenye gari mnaona miti ndio inakimbia
🤣 wanapinga hadi gravity.ni darasa la tano kaka.
atlasi hakuwa anaelewana nayo kabisa.
sayansi sio maoni na mitazamo kama hii yako,sayansi ni mashaka-uchunguzi-ugunduzi-ripoti.Wale tunaoamini maoni (theories)ya wengine,....siku watu hao wakibadili maoni yao juu ya vile walivyotuaminisha,..Je, tutabadili msimamo yetu au tutakomaa?
kuna mmoja alihoji kama dunia ni tufe kwanini kitanda chake kimenyooka😂😂😂.🤣 wanapinga hadi gravity.
Ila ndugu zetu flat earthers wasiwe na shaka tuwaachie mataifa ya ughaibuni yapige itafiti na maboresho mapaka siku space tourism iwe reliable na nafuu watabadili mtazamo tu
Sikulaumu wewe bali hiyo yote imesababishwa na waliopofua macho yako through indoctrination....Una macho lakini hutaki kuona.Na ni wewe huyo huyo unapinga ship visibility, Unasema ni uwezo mdogo wa macho ha ha ha! So funny
Nmewahi kukwambia ndio nyinyi mkiwa kwenye gari mnaona miti ndio inakimbia
Kwahiyo hii kauli yako hapa chini unaona inaingia akilini?⬇️wapi najichanganya,au nakuchanganya na somo halijaanza.
doubt zipi,watu wanaomba toka page ya kwanza hakuna anayeleta.
unajua ili mada iwe simple,inabidi ukubali kwamba hujawahi kuelewa hili somo,lakini.kujaribu kulijengea hoja zako hizi za hapa na pale unazidi kujifukia.
proof zote hazina shaka hata moja,imebaki wewe kutupa zako za dunia tambarale,tunaziomba.
Kama uelewa wako still ni wa level ya form two,....basi una safari ndefu Sana.Somo la forces pale form two ulielewa mkuu?
wewe hakuna kinacho make sense kwenye akili zako.Kwahiyo hii kauli yako hapa chini unaona inaingia akilini?⬇️
"sijasema haina curveture,namaanisha kila sehemu ni curveture au sehemu ya curveture."
😂😂sasa shule ulienda kujifunza kuandika curvature peke yake!!!Yaani ukiacha hoja zako, hata kuandika "curvature" pia kunakupa shida,...jitahidi uwe smart ili uweze kujadili mada zenye heavyweight.
ok.tufanye curvature haipo,ni wenge la macho kama mazigazi ilivyo.Sikulaumu wewe bali hiyo yote imesababishwa na waliopofua macho yako through indoctrination....Una macho lakini hutaki kuona.
Hivi hujui kwamba hata ship visibility naipinga kwa kutumia macho?
Utofauti wangu Mimi na wewe,...ni kwamba wewe umeaminishwa kwamba ship visibility inatokana na curvature of the earth,...wakati kiuhalisia hiyo curvature haipo na utagundua hivyo Kwa kutumia macho yako on your own sio kutanguliza akili za kushikiwa.
Kwamba kila sehemu ni curvature?? ,.... Ngoja nisikuulize tena kuhusu hilo ila fahamu Tu kwamba hapa umekosea 🤝🏼wewe hakuna kinacho make sense kwenye akili zako.
nimekwambia hiki ninchokuandikia ni cha darasa la tano,kitu chepesi kabisa huelewi utaelewa jambo gani sasa!!
😂😂sasa shule ulienda kujifunza kuandika curvature peke yake!!!
ndio maana vitu vingine unabisha bisha tu.
unadhani nimekosea kuandika au nimejibu kwa kubahatisha!!!Kwamba kila sehemu ni curvature?? ,.... Ngoja nisikuulize tena kuhusu hilo ila fahamu Tu kwamba hapa umekosea 🤝🏼
"sijasema haina curveture,namaanisha kila sehemu ni curveture au sehemu ya curveture."
Hauna majibu umeanza porojo,Sikulaumu wewe bali hiyo yote imesababishwa na waliopofua macho yako through indoctrination....Una macho lakini hutaki kuona.
Hivi hujui kwamba hata ship visibility naipinga kwa kutumia macho?
Utofauti wangu Mimi na wewe,...ni kwamba wewe umeaminishwa kwamba ship visibility inatokana na curvature of the earth,...wakati kiuhalisia hiyo curvature haipo na utagundua hivyo Kwa kutumia macho yako on your own sio kutanguliza akili za kushikiwa.
Flat earthers wazee wa kuprove by elimination🤣Kama uelewa wako still ni wa level ya form two,....basi una safari ndefu Sana.
Upgrade!🤝🏼
Mkuu., kuhusu umbo la Dunia sio lazima tusubiri shirika fulani kama NASA ndiyo lituambie.... kwakuwa tayari tuna macho tunaweza kuyatumia kuchunguza ili kuchunguza Dunia ina umbo gani...... ngoja nikuulize swali [emoji3591]Je,wanachosema NASA kwamba Dunia ni Tufe [emoji288] kinaendana na kile ambacho macho yako yanaona kwenye uhalisia?
yes, wajikusanye wafanye tafiti na documentation tuwasikilize, watu walimbishia gregol mendel miaka kadha baadae mtu kashajifia wanakuja kukubaliana nae leo hiii sote tunaona balaa la genetics. ila hawa ndugu zetu wao wanapinga tu bila kuleta kitu chochote mezani, sayansi sio mambo ya dhahania, watu wanakesha wanapiga tafiti huko wanatumia mahela kibao mtu utoke chato ulete viconspiracy vyako simple simple tuKuna watu wajinga sana hasa hasa waafrika, watu wamepeleka vyombo vinaelekea kutoka nje ya solar system, vingine vineenda huko sayari za mbali, watu wanafanya tafiti kubwa na mambo makubwa mno, Ila cja kushangaza kuna wajinga wajinga kama huyu mleta mada anajadili shape ya dunia? Really? Karne hii ya 21? Unaturudisha nyuma karne ya 16 huko tulishatoka! Mambo yanayohitaji ufahamu wako tu na akili kidogo kung'amua, kwa hiyo mercury, mars, jupiter tufanye na jua nazo pia ni flat 😄😄😄
mtu hata baharini kigamboni hajawahi kufika,anabisha kuhusu ships visibility😁😁😁yes, wajikusanye wafanye tafiti na documentation tuwasikilize, watu walimbishia gregol mendel miaka kadha baadae mtu kashajifia wanakuja kukubaliana nae leo hiii sote tunaona balaa la genetics. ila hawa ndugu zetu wao wanapinga tu bila kuleta kitu chochote mezani, sayansi sio mambo ya dhahania, watu wanakesha wanapiga tafiti huko wanatumia mahela kibao mtu utoke chato ulete viconspiracy vyako simple simple tu