Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

JE Dunia ina umbo gani?

  • Total voters
    710
Weight ina act downward kwakua hiyo ni natural law kitu chenye uzito kinashuka chini always na sio kwamba kuna imaginary force inayovuta vitu chini hiyo force haipo!!
Natural law ipi inayoelezea hicho unachokisema? Au ww ndo umeigundua?? Inafanyaje kazi?? Maana kusema tu ni natural law bila maelezo halafu unakataa sio force haileti mantiki, hata hiyo nguvu ya uvutano ni natural law,
 
Sasa kama milango ya fahamu haiwezi completely kujua kama object fulani ina move/not,. utatumia mbinu gani kujua kama ina move?

Au tuchukulie tokea uzaliwe na kizazi chenu chote mpo kwenye chombo kinacho move lakini hakuna sign yoyote inayowezesha milango ya fahamu kujua kama mna move/not,.. WEWE UTAJUAJE KAMA HIYO OBJECT INA MOVE?

Au kuuliza hivyo pia ni ujinga?
Hata wewe umejishtukia kuwa umeuliza ujinga,

Ni kama haufahamu Dunia tupo kwenye zama gani,
Brother tupo kwenye teknolojia ya hali ya juu sana,
 
Ila wewe jamaa👇👇

Sasa kitu kitashuka chini chenyewe tu, kwahy unataka kusema kitu kinaweza kumove kutoka one point to another bila force(internal or external force)?????

Kusingekuwa na forcce nisingekuwa natumia nguvu kunyanyua(muscle contraction). Without gravity all bodies are weightless. We feel weighted because of gravity.

Chukua mfano ulipima weight katika maeneo tofauti tofauti, majibu yatakuja tofaut japo tofaut itakuwa ndogo unajua kwann??
Kwa ufahamu wako,. uzito ni internal au external force?
 
Hata wewe umejishtukia kuwa umeuliza ujinga,

Ni kama haufahamu Dunia tupo kwenye zama gani,
Brother tupo kwenye teknolojia ya hali ya juu sana,
Hujajibu swali,..........ila kama swali limekushinda sio kesi ngoja nikuongezee kazi nyingine,.........kama unasema tupo kwenye teknolojia inayoweza kutufanya tujue whether Dunia ina move/not, tuambie ni teknolojia gani hiyo kisha thibitisha kwa kutumia hiyo teknolojia.
 
Kusingekuwa na forcce nisingekuwa natumia nguvu kunyanyua(muscle contraction). Without gravity all bodies are weightless. We feel weighted because of gravity.

Chukua mfano ulipima weight katika maeneo tofauti tofauti, majibu yatakuja tofaut japo tofaut itakuwa ndogo unajua kwann??
Hayo maneno niliyo bold hapo yanakua hayaingii akilini endapo nitatumia kauli yako sahihi uliyosema kwamba "Uzito ni jina lingine la gravity"...........
 
hateeb10
Mpaka Sasa napaswa nijipongeze sana, nimekuelimisha sana.😀😀

Nimekutoa kwenye upumbavu wa density uliokuwa unasema mpaka Sasa upo kwenye point ya weight na ume admit kuwa weight Ina ACT downward (hii nzuri sana).

Na umesema sababu ya weight ya kitu ku act in downward direction ni "NATURAL LAW" which is correct 💯,

ila tu unadai hiyo natural law sio FORCE, hapa sasa ndo Kunaugumu, science inakupa uwanja ww utuambie ni nini?

Einstein pia alikuja na hoja yake yenye mashiko zaidi akidai "GRAVITY is not a force" zingatia "GRAVITY is not a force"
Tofauti kidogo na madai yako unasema hakuna gravity, ila Einstein anasema gravity ipo ila sio force kama Newton alivyoelezea.

Kwann Einstein alisema GRAVITY sio Force? Nakuja kukupa elimu.

Nimeamka kudeal na vitu vidogo vidogo kwanza kabla ya kuanza kukuambia Dunia ni duara na inazunguka maana hutonielewa kama huelew vitu vidogo.
 
Hahh,.. hivi unajua kama mjadala wa gravity umeumaliza wewe mwenyewe baada ya mimi kukuweka kwenye mtego?

Naamini unajua wazi kwamba huu mjadala ushaumaliza mapema tu,... Kama umesahau sema nikukumbushe.
 
Hayo maneno niliyo bold hapo yanakua hayaingii akilini endapo nitatumia kauli yako sahihi uliyosema kwamba "Uzito ni jina lingine la gravity"...........
Nadhani umeganda hapa, ulielewa nilivyorekebisha vzr kabisa ila hutaki!!
 
Ndio nimemaliza mm baada ya ww kunielewa, na hujaniweka kwenye mtego wowote,

Nikumbushe
Nakukumbusha hoja ya gravity umeimaliza uliposema 👉 ,....... " na nimeshakwambia uzito(weight) ni jina lingine la gravity."

Sasa mtu mwenye uhakika na anachokisema anatakiwa awe na msimamo,.....ukiikataa hiyo kauli yako maana yake msimamo huna,.. na inanipa wasiwasi baadae unaweza ukakataa kwamba sio wewe uliyesema kwamba Dunia inazunguka na ni tufe.
 
Hahh eti uzito ni External force,......... Unaweza kuthibitisha? Leo hutoboi,. naamini unapata shule na unaifurahia.
Nimekuingiza kwenye mtego umeingia mazima, niliuliza swali tu kitu kinaweza kumove bila force (internal or external) wewe ukajaa.

Internal force haiathiri movement ya kitu as a whole, mfano wa internal force ni molecular interactions kwenye maada(intermolecular forces).

External force inaathiri movement ya kitu as a whole.
Uzito ni internal force,...
Sio internal ni external force
 
Fikiria vizuri kama uzito sio internal force,... tuki destroy the whole object iwe non existent,... uzito wa hiyo object utaendelea kuwepo?

Karibu.,
 
Nakukumbusha hoja ya gravity umeimaliza uliposema 👉 ,....... " na nimeshakwambia uzito(weight) ni jina lingine la gravity."

Sasa mtu mwenye uhakika na anachokisema anatakiwa awe na msimamo,.....ukiikataa hiyo kauli yako maana yake msimamo huna,.. na inanipa wasiwasi baadae unaweza ukakataa kwamba sio wewe uliyesema kwamba Dunia inazunguka na ni tufe.
Msimamo sio kukosea kitu alafu ung'ang'anie, Kwa mfano ww ulikataa hujasema uzito unavuta chini, nilipokuonesha uliposema umeparuka hujajibu Kwa uoga.
 
Kwann unaniambia nilikuwa sahihi?? Mm ndio nilieandika, nasahihisha unakataa,
Wewe unaona ulikosea?

Mimi ndiyo nakufahamisha kwamba hukukosea,. ulikua sahihi Uzito ndiyo umebatizwa jina na kuitwa gravity,...
no uzito = no gravity.
 
Fikiria vizuri kama uzito sio internal force,... tuki destroy the whole object iwe non existent,... uzito wa hiyo object utaendelea kuwepo?

Karibu.,
Kwanza kabisa, mass is always conserved( neither created nor destroyed) but it can be transformed to energy. so unaposema udestroy kitu(mass) unakosea.

Pili, nilikupa mfano wa sumaku, je ukiondoa chuma kisiwepo usumaku wa sumaku utakuwa haupo?

Tatu, kujibu swali lako; huwezi kuvuta kitu ambacho hakipo, kitu kisipokiwepo hakuna nguvu itakayotumika kuvuta, kwahy ukivuta "non existing thing" hakuna nguvu itakayokuwepo, ila haipotezi maana ya kwamba unavuta....
 
Back
Top Bottom