The celebrity
JF-Expert Member
- Jul 9, 2020
- 1,972
- 559
Hapa hujibu?? Au uwezo mdogo??Sasa kama ni scalar quantity unasemaje inavuta vitu chini(direction)????
Na swali la pili nilikuuliza kwann weight Ina ACT downward tu?? Hukujibu pia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapa hujibu?? Au uwezo mdogo??Sasa kama ni scalar quantity unasemaje inavuta vitu chini(direction)????
Na swali la pili nilikuuliza kwann weight Ina ACT downward tu?? Hukujibu pia.
Natural law ipi inayoelezea hicho unachokisema? Au ww ndo umeigundua?? Inafanyaje kazi?? Maana kusema tu ni natural law bila maelezo halafu unakataa sio force haileti mantiki, hata hiyo nguvu ya uvutano ni natural law,Weight ina act downward kwakua hiyo ni natural law kitu chenye uzito kinashuka chini always na sio kwamba kuna imaginary force inayovuta vitu chini hiyo force haipo!!
Hata wewe umejishtukia kuwa umeuliza ujinga,Sasa kama milango ya fahamu haiwezi completely kujua kama object fulani ina move/not,. utatumia mbinu gani kujua kama ina move?
Au tuchukulie tokea uzaliwe na kizazi chenu chote mpo kwenye chombo kinacho move lakini hakuna sign yoyote inayowezesha milango ya fahamu kujua kama mna move/not,.. WEWE UTAJUAJE KAMA HIYO OBJECT INA MOVE?
Au kuuliza hivyo pia ni ujinga?
Kwa ufahamu wako,. uzito ni internal au external force?Ila wewe jamaa👇👇
Sasa kitu kitashuka chini chenyewe tu, kwahy unataka kusema kitu kinaweza kumove kutoka one point to another bila force(internal or external force)?????
Kusingekuwa na forcce nisingekuwa natumia nguvu kunyanyua(muscle contraction). Without gravity all bodies are weightless. We feel weighted because of gravity.
Chukua mfano ulipima weight katika maeneo tofauti tofauti, majibu yatakuja tofaut japo tofaut itakuwa ndogo unajua kwann??
Hujajibu swali,..........ila kama swali limekushinda sio kesi ngoja nikuongezee kazi nyingine,.........kama unasema tupo kwenye teknolojia inayoweza kutufanya tujue whether Dunia ina move/not, tuambie ni teknolojia gani hiyo kisha thibitisha kwa kutumia hiyo teknolojia.Hata wewe umejishtukia kuwa umeuliza ujinga,
Ni kama haufahamu Dunia tupo kwenye zama gani,
Brother tupo kwenye teknolojia ya hali ya juu sana,
Hayo maneno niliyo bold hapo yanakua hayaingii akilini endapo nitatumia kauli yako sahihi uliyosema kwamba "Uzito ni jina lingine la gravity"...........Kusingekuwa na forcce nisingekuwa natumia nguvu kunyanyua(muscle contraction). Without gravity all bodies are weightless. We feel weighted because of gravity.
Chukua mfano ulipima weight katika maeneo tofauti tofauti, majibu yatakuja tofaut japo tofaut itakuwa ndogo unajua kwann??
External force!!Kwa ufahamu wako,. uzito ni internal au external force?
Hahh,.. hivi unajua kama mjadala wa gravity umeumaliza wewe mwenyewe baada ya mimi kukuweka kwenye mtego?hateeb10
Mpaka Sasa napaswa nijipongeze sana, nimekuelimisha sana.😀😀
Nimekutoa kwenye upumbavu wa density uliokuwa unasema mpaka Sasa upo kwenye point ya weight na ume admit kuwa weight Ina ACT downward (hii nzuri sana).
Na umesema sababu ya weight ya kitu ku act in downward direction ni "NATURAL LAW" which is correct 💯,
ila tu unadai hiyo natural law sio FORCE, hapa sasa ndo Kunaugumu, science inakupa uwanja ww utuambie ni nini?
Einstein pia alikuja na hoja yake yenye mashiko zaidi akidai "GRAVITY is not a force" zingatia "GRAVITY is not a force"
Tofauti kidogo na madai yako unasema hakuna gravity, ila Einstein anasema gravity ipo ila sio force kama Newton alivyoelezea.
Kwann Einstein alisema GRAVITY sio Force? Nakuja kukupa elimu.
Nimeamka kudeal na vitu vidogo vidogo kwanza kabla ya kuanza kukuambia Dunia ni duara na inazunguka maana hutonielewa kama huelew vitu vidogo.
Nadhani umeganda hapa, ulielewa nilivyorekebisha vzr kabisa ila hutaki!!Hayo maneno niliyo bold hapo yanakua hayaingii akilini endapo nitatumia kauli yako sahihi uliyosema kwamba "Uzito ni jina lingine la gravity"...........
Hahh eti uzito ni External force,......... Unaweza kuthibitisha? Leo hutoboi,. naamini unapata shule na unaifurahia.External force!!
Ndio nimemaliza mm baada ya ww kunielewa, na hujaniweka kwenye mtego wowote,Hahh,.. hivi unajua kama mjadala wa gravity umeumaliza wewe mwenyewe baada ya mimi kukuweka kwenye mtego?
NikumbusheNaamini unajua wazi kwamba huu mjadala ushaumaliza mapema tu,... Kama umesahau sema nikukumbushe.
Tatizo unarekebisha statement ambayo ulikua sahihi kuisema,...then unaleta statement isiyo sahihi.Nadhani umeganda hapa, ulielewa nilivyorekebisha vzr kabisa ila hutaki!!
Nakukumbusha hoja ya gravity umeimaliza uliposema 👉 ,....... " na nimeshakwambia uzito(weight) ni jina lingine la gravity."Ndio nimemaliza mm baada ya ww kunielewa, na hujaniweka kwenye mtego wowote,
Nikumbushe
Nimekuingiza kwenye mtego umeingia mazima, niliuliza swali tu kitu kinaweza kumove bila force (internal or external) wewe ukajaa.Hahh eti uzito ni External force,......... Unaweza kuthibitisha? Leo hutoboi,. naamini unapata shule na unaifurahia.
Sio internal ni external forceUzito ni internal force,...
Fikiria vizuri kama uzito sio internal force,... tuki destroy the whole object iwe non existent,... uzito wa hiyo object utaendelea kuwepo?Nimekuingiza kwenye mtego umeingia mazima, niliuliza swali tu kitu kinaweza kumove bila force (internal or external) wewe ukajaa.
Internal force haiathiri movement ya kitu as a whole, mfano wa internal force ni molecular interactions kwenye maada(intermolecular forces).
External force inaathiri movement ya kitu as a whole.
Sio internal ni external force
Kwann unaniambia nilikuwa sahihi?? Mm ndio nilieandika, nasahihisha unakataa,Tatizo unarekebisha statement ambayo ulikua sahihi kuisema,...then unaleta statement isiyo sahihi.
Msimamo sio kukosea kitu alafu ung'ang'anie, Kwa mfano ww ulikataa hujasema uzito unavuta chini, nilipokuonesha uliposema umeparuka hujajibu Kwa uoga.Nakukumbusha hoja ya gravity umeimaliza uliposema 👉 ,....... " na nimeshakwambia uzito(weight) ni jina lingine la gravity."
Sasa mtu mwenye uhakika na anachokisema anatakiwa awe na msimamo,.....ukiikataa hiyo kauli yako maana yake msimamo huna,.. na inanipa wasiwasi baadae unaweza ukakataa kwamba sio wewe uliyesema kwamba Dunia inazunguka na ni tufe.
Wewe unaona ulikosea?Kwann unaniambia nilikuwa sahihi?? Mm ndio nilieandika, nasahihisha unakataa,
Kwanza kabisa, mass is always conserved( neither created nor destroyed) but it can be transformed to energy. so unaposema udestroy kitu(mass) unakosea.Fikiria vizuri kama uzito sio internal force,... tuki destroy the whole object iwe non existent,... uzito wa hiyo object utaendelea kuwepo?
Karibu.,