Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,501
- 28,711
Mkuu, Mungu ana_operate kwenye ulimwengu wa kiroho na miungu pia ni hivyo hivyo. Kwahiyo itategemea dhamira/nia yako ipi. Na ndio maana mwenye uzi ameweka wazi kuwa mmoja anaweza kutumia hizo nguvu kwa nia ovu na mwingine akazitumia kwa nia njema.
2kor 12:1-3Kutokana na Luka 16:18-31
Hakuna uwezekano wa mawasiliano kati ya wafu na watu walio hai...
Mtu akiwa hai anakuwa na uhuru wa kuchagua pa kwenda, ila akifa, habari yake imeisha, anaenda aliko chagua,... hakuna namna hata kwa maombi ya kumsaidia au kumuhamisha tena.
........26 Na zaidi ya hayo, kati yetu sisi na ninyi kumewekwa shimo kubwa, ili wale watakao kutoka huku kwenda kwenu wasiweze; wala watu wa kwenu wasivuke kuja kwetu......
Sasa mzee unasema watu waliokufa hatuwezi kuwasiliana nao. Je, huo mzimu ni kitu gani!? Mzee usitafsiri biblia unavyotaka wewe mwenyewe.SAULI ALIENDA KWA MCHAWI NDIO AKAPANDISHIWA HUO MZIMU WA SAMWELI, USITUMIE MAANDIKO KU PROVE UMIZIMU
Sasa mzee unasema watu waliokufa hatuwezi kuwasiliana nao. Je, huo mzimu ni kitu gani!? Mzee usitafsiri biblia unavyotaka wewe mwenyewe.
Hapa tunaongelea experience na uhalisia dhidi ya dogmas. Wewe unazoongea hapa ni dogma kutaka kulazimisha kile ulichokalili kuwa ni ukweli
Mzee hujui kuwa Mungu ndiye akiweka roho mbaya kwa Sauli!?
Kwanini Mungu amuwekee roho mbaya sauli!? Maswali ni mengi mno.
Ukitaka tuweze kuchambua biblia, utajikuta unakasilika tu bila sababu mwenzangu.
roho wa MUNGU akiondoka anayekaa ni roho mchafu, MUNGU akikuacha anakuwa ameruhusu ukaliwe na roho chafu, hauwezi kukaa bila roho wa Mungu AU Washetani...Mzee hujui kuwa Mungu ndiye akiweka roho mbaya kwa Sauli!?
mzimu ni roho chafu, shetani huchukua sura hata za waliokufa, je hili hujui ndugu...e, huo mzimu ni kitu gani!? Mzee usitafsiri biblia unavyotaka wewe mwenyewe.
Sasa mzee unasema watu waliokufa hatuwezi kuwasiliana nao. Je, huo mzimu ni kitu gani!? Mzee usitafsiri biblia unavyotaka wewe mwenyewe.
Sasa mzee unasema watu waliokufa hatuwezi kuwasiliana nao. Je, huo mzimu ni kitu gani!? Mzee usitafsiri biblia unavyotaka wewe mwenyewe.
Hapa tunaongelea experience na uhalisia dhidi ya dogmas. Wewe unazoongea hapa ni dogma kutaka kulazimisha kile ulichokalili kuwa ni ukweli
Mzee kubali kuamka kutoka kwenye usingizi.je! wafu hawawezi kuwasiliana na walio hai, na je! hawajui mambo ambayo walio hai wanayafanya?
“Ni vivyo mwanadamu hulala chini, asiinuke; hata wakati wa mbingu kutokuwako tena, hawataamka, wala kuamshwa usingizini.” “Wanawe hufkilia heshima, wala yeye hajui; kisha wao huaibishwa, lakini yeye hana habari zao.” Ayu. 14:12,21. “Wala hawana sehemu tena katika jambo lo lote lililofanyika chini ya jua.” Mhu. 9:6.
Wafu hawawezi kuwasiliana na walio hai. Wamekufa. Mawazo yao yamepotea (Zab. 146:4).
Hii imani yako mzee. Hongeraroho wa MUNGU akiondoka anayekaa ni roho mchafu, MUNGU akikuacha anakuwa ameruhusu ukaliwe na roho chafu, hauwezi kukaa bila roho wa Mungu AU Washetani...
kasome tafsiri mbali mbali utaelewa maana ya MUNGU kukuwekea roho mbaya, ni pale anakuacha
Hakuna huku haitatokea. Nakuhakikishia hilo. Energy anazotumia mchawi na anazotumia mchunga source yake ni ile ile tu.Ni kwa nini Shetani alisema uongo kuhusu kifo? Je, inawezekana kuna sababu ya muhimu kuliko wengi wanavyofkiri?
Ni moja kati ya mafundisho ya msingi ya ufalme wa Ibilisi. Amekuwa akifanya miujiza katika vizazi vyote kwa kutumia watu wanaodai kuwa wanapata uwezo wao toka kwa roho za waliokufa (k.m. Wachawi wa Misri – Kut. 7:11; Mwanamke wa Endori – 1 Sam.28:3-25; Wachawi – Dan.2:2; Kijakazi mwenye pepo wa uaguzi – Mdo. 16:16-18).
Onyo Muhimu
Katika siku za mwisho Shetani atatumia tena uchawi – kama alivyofanya wakati wa Danieli – kudanganya ulimwengu (Ufu. 18:23). Uchawi ni wakala wa miujiza unaodai kuwa unapata nguvu na hekima toka kwa roho za waliokufa.
Siku zozote. Lakini afya yako ni muhimu sana.Je waweza kufunga siku 40? Au ni strictly siku 21?
Sent from my SM-T555 using JamiiForums mobile app
Asante mkuu Venus Star kwa mada yako nzuri, Hakika nimejifunza kitu kipya kuhusu mambo ya kiroho.KAMA KUNA MTU ANALO SWALI KUHUSU TOPIC HII AULIZE
Mind tricks yenyewe haina madhara? Kama meditation na kufungua Third eyeWew sijui nikuite mtumishi ama nani, em tafakari kabla hujawaletea hawa izo mbinu zako za kiroho kama zina madhara ama la!.
Huwez kuingia huko kiholela namna hiyo, or otherwise uingie kupitia mind tricks kama vile Third eye opening, meditation and astral projection, accidentally unapokuwa umelala, vinginevyo haiwezekani acha kuwalisha watu watango pori
Mzee kubali kuamka kutoka kwenye usingizi.
Nikuulize swali dogo tu. Ni nani aliyewaumba roho wasafi na roho wachafu!?
WAFU HAWASOMI STATUS KWA WHATSAP WALA INSTAGRAM.....Hii imani yako mzee. Hongera
IMANI NI HISIA.
Je unaweza kutumia hata kidogo akili ukaunganisha na hisia!?
Hata hivyo soma biblia usilete mabishano ambayo hayamo kwenye biblia.
Soma biblia Ligth and Dark are there to compliment siyo kushindana
Isaya:8.19 inasema,Energy anazotumia mchawi na anazotumia mchunga source yake ni ile ile tu.