mwalimu_wa_IT
Member
- Nov 5, 2024
- 93
- 165
Kuna maandiko mengi sana hapa yanaelezea namna mtu ya kuwa tajiri ila wanasahau jambo kubwa mno. Watakuambia
1.Fanya kazi kwa bidii
2.Tumia kidogo ya zaidi unachokipata yaani ukipata elfu 10 tumia elfu 3 au 5 nyingine weka
3.Omba Mungu sana
Hizi pia ni njia za kuwa tajiri ila kuna kitu kimoja huwa hawasemi na hawatakaa wakuambie kitu chenyewe ni Power.. Nguvu yaani Mamlaka ili uwe tajiri lazima uwe na Nguvu mamlaka ya kujitawala mwenyewe usipokua na hii kitu hutokaa uwe Tajiri Maisha yako yote Maana Mamlaka yanakua wewe Nguvu by outmatically na Ujasiri. So Tafuta mamla kwanza Power.
Ndo mana matajiri wengi wana Nguvu na Viburi maana wana Power.
Na ndo maana kuna watu wanaacha kazi wanaonekana wana matatizo kumbe sio ile ni Power na power ndo inakupa uthubutu
Ukisoma Biblia Adam alipewa mamlaka na Nguvu ya kutawala viumbe vyote so by outmatically wewe tayari una Power
Chukua hii soma kwa kuelewa.