Siri ya kuwa Tajiri na watu wengi sana hawaijui leo sasa nakuambia hii siri

Siri ya kuwa Tajiri na watu wengi sana hawaijui leo sasa nakuambia hii siri

Utajiri unakuja, kutokana na kufanya vitu vya kawaida kwa njia zisizo za kawaida na kukupa mafanikio makubwa; hizi njia ambazo si za kawaida, ndio tuzitafute ili nasi tuweze kuwa matajiri.

Vinginevyo, wote tungekuwa matajiri.​
Huwezi kufanya kwa njia zisizo z kawaida bila kuwa na Power power inakupa wewe ujasiri au uthubutu so ndo tunarudi Pale pale Power
 
Umesema mambo ya msingi, ila hili la power, muhimu itoke kwa Mungu, hasa kwa waliomwamini Yesu.

Kumbukumbu la Torati 8
18 Bali utamkumbuka Bwana, Mungu wako, maana ndiye akupaye nguvu za kupata utajiri; ili alifanye imara agano lake alilowapa baba zako, kama hivi leo.
 
Back
Top Bottom