Siri ya kuwa Tajiri na watu wengi sana hawaijui leo sasa nakuambia hii siri

Siri ya kuwa Tajiri na watu wengi sana hawaijui leo sasa nakuambia hii siri

Soma mwanzo Mungu alivompa Adam mamlaka.. na kumbukumbu la Torati pia
Na ww soma hapa ili ujue kwamba shetani nae ana Limited Power!;
Mathayo 4:8-9
8 Kisha Ibilisi akamchukua mpaka mlima mrefu mno, akamwonyesha milki zote za ulimwengu, na fahari yake,

9 akamwambia, Haya yote nitakupa, ukianguka kunisujudia.
 
Asante mleta mada kwa andiko hili, kuna kitu nimejifunza.

Juzi kati nimefanya tukio fulani kwa kutumia nguvu kidogo kwa mwenye nguvu zaidi yangu na nikafanikiwa.

Kuna namna ukionyesha nguvu ya mamlaka iliyo ndani yako unakuwa mshindi .
Weuwee hebu share kidogo tujifunze mkuu
 
utajiri..
utajiri.

maana isiyo sahihi ya utajiri amabayo wengi tumeikariri...👇🏾👇🏾👇🏾
"""Utajiri ni hali ya kuwa na mali nyingi au rasilimali za thamani, kama vile pesa, ardhi, biashara, au vitu vingine vya thamani""""


maana halisi ya utajiri...
utajiri hauhusiani tu na fedha pekee; unaweza kuwa wa maarifa, afya, uhusiano mzuri na watu, au hata furaha ya ndani.
Kila mtu anaweza kuwa tajiri kwa namna tofauti kulingana na vipaumbele vyake maishani.

jitahidi kupambana ili kuweza kumudu gharama za maisha yako.

Mtu awezaye kumudu gharama za maisha yake na familia yake pasi na bughudha basi huyu ndie tajiri
ndio yeye ni tajiri..
Mkuu maana halisi ya utajiri ni hiyo uloitaja mwanzo yaani kumiliki vitu au mali. Huo utajiri mwingine sio rasmi na unaweza usionekane kirahisi.
 
Back
Top Bottom