Siri ya kuwa Tajiri na watu wengi sana hawaijui leo sasa nakuambia hii siri

Asante mleta mada kwa andiko hili, kuna kitu nimejifunza.

Juzi kati nimefanya tukio fulani kwa kutumia nguvu kidogo kwa mwenye nguvu zaidi yangu na nikafanikiwa.

Kuna namna ukionyesha nguvu ya mamlaka iliyo ndani yako unabluwa mshindi .
Kuna watu wanabisha mkuu .. Hongera sana
 
Umesema mambo ya msingi, ila hili la power, muhimu itoke kwa Mungu, hasa kwa waliomwamini Yesu.

Kumbukumbu la Torati 8
18 Bali utamkumbuka Bwana, Mungu wako, maana ndiye akupaye nguvu za kupata utajiri; ili alifanye imara agano lake alilowapa baba zako, kama hivi leo.
Ukisoma kitabu cha mwanzo Mungu alimpa Adam mamla ka Power ya kutawala na kuongoza kwa hyo binadamu outmatically ana Power na Mamlaka
 
Kuna maandiko mengi sana hapa yanaelezea namna mtu ya kuwa tajiri ila wanasahau jambo kubwa mno. Watakuambia
1.Fanya kazi kwa bidii
2.Tumia kidogo ya zaidi unachokipata yaani ukipata elfu 10 tumia elfu 3 au 5 nyingine weka
3.Omba Mungu sana
Hizi pia ni njia za kuwa tajiri ila kuna kitu kimoja huwa hawasemi na hawatakaa wakuambie kitu chenyewe ni Power.. Nguvu yaani Mamlaka ili uwe tajiri lazima uwe na Nguvu mamlaka ya kujitawala mwenyewe usipokua na hii kitu hutokaa uwe Tajiri Maisha yako yote Maana Mamlaka yanakua wewe Nguvu by outmatically na Ujasiri. So Tafuta mamla kwanza Power.
Ndo mana matajiri wengi wana Nguvu na Viburi maana wana Power.
Na ndo maana kuna watu wanaacha kazi wanaonekana wana matatizo kumbe sio ile ni Power na power ndo inakupa uthubutu

Ukisoma Biblia Adam alipewa mamlaka na Nguvu ya kutawala viumbe vyote so by outmatically wewe tayari una Power
Chukua hii soma kwa kuelewa.
Ili Uwe Tajiri!; Kwa Nguvu na Akili zako HUWEZI sababu ww ni Dhaifu lazima Utafute Nguvu ya ziada Toka Kwa MWENYEZI MUNGU au shetani!
Utajiri Unaopatikana na Nguvu za shetani Mwisho wake unakuwa Mbaya!
Utajiri Unaopatikana kutokana na Nguvu za MUNGU ni ENDELEVU!.....
 
Soma mwanzo Mungu alivompa Adam mamlaka.. na kumbukumbu la Torati pia
 
utajiri..
utajiri.

maana isiyo sahihi ya utajiri amabayo wengi tumeikariri...👇🏾👇🏾👇🏾
"""Utajiri ni hali ya kuwa na mali nyingi au rasilimali za thamani, kama vile pesa, ardhi, biashara, au vitu vingine vya thamani""""

maana halisi ya utajiri...
utajiri hauhusiani tu na fedha pekee; unaweza kuwa wa maarifa, afya, uhusiano mzuri na watu, au hata furaha ya ndani.
Kila mtu anaweza kuwa tajiri kwa namna tofauti kulingana na vipaumbele vyake maishani.

jitahidi kupambana ili kuweza kumudu gharama za maisha yako.

Mtu awezaye kumudu gharama za maisha yake na familia yake pasi na bughudha basi huyu ndie tajiri
ndio yeye ni tajiri..
 
Kuna maandiko mengi sana hapa yanaelezea namna mtu ya kuwa tajiri ila wanasahau jambo kubwa mno. Watakuambia
1.Fanya kazi kwa bidii
2.Tumia kidogo ya zaidi unachokipata yaani ukipata elfu 10 tumia elfu 3 au 5 nyingine weka
3.Omba Mungu sana
Hizi pia ni njia za kuwa tajiri ila kuna kitu kimoja huwa hawasemi na hawatakaa wakuambie kitu chenyewe ni Power.. Nguvu yaani Mamlaka ili uwe tajiri lazima uwe na Nguvu mamlaka ya kujitawala mwenyewe usipokua na hii kitu hutokaa uwe Tajiri Maisha yako yote Maana Mamlaka yanakua wewe Nguvu by outmatically na Ujasiri. So Tafuta mamla kwanza Power.
Ndo mana matajiri wengi wana Nguvu na Viburi maana wana Power.
Na ndo maana kuna watu wanaacha kazi wanaonekana wana matatizo kumbe sio ile ni Power na power ndo inakupa uthubutu

Ukisoma Biblia Adam alipewa mamlaka na Nguvu ya kutawala viumbe vyote so by outmatically wewe tayari una Power
Chukua hii soma kwa kuelewa.
Mafanikio au utajiri ni siri.... hata wewe ukiigundua hiyo huwezi kuisema...

Matajari wengi wanasema wanafanya kazi kwa bidii, wanalala mapema nakuamka mapema, pia watakwambia wanapata muda wa kupumzika na wanamwomba Mungu. Hivyo vyote ni muhimu katika kusaka mafanikio hapa ulimwenguni lakini mbona watu wengi wanafanya hivyo na bado masikini au wana maisha ya kawaida tu?

Baadae katika utafiti wangu nikagundua pamoja na hayo wanayosema matajiri kama moja ya njia za mafinikio/utajiri lakini NIKAJA KUGUNDUA KWAMBA MAFINIKIO NI SIRI. HATA WEWE UNAE ANDIKA HIZO MBINU, UKIJA KUFANIKIWA HUTAKAA USEME ABADAN ASILANI, LABDA KAMA UNATAKA MALI ZAKO NA BIASHARA ZAKO ZIISHI, YAANI ZIWE ENDELEVU UTAMWABIA MTOTO/MRITHI WAKO AMBAE UMEMPIKA AMEIVA KIASI KWAMBA ANAJUA LIPI LAKISEMA NA LIPI HAPASWI KUSEMA.....

KIUFUPI NI HAYO TU .. KAMA MTABISHA SAWA TU...
 
Kuna maandiko mengi sana hapa yanaelezea namna mtu ya kuwa tajiri ila wanasahau jambo kubwa mno. Watakuambia
1.Fanya kazi kwa bidii
2.Tumia kidogo ya zaidi unachokipata yaani ukipata elfu 10 tumia elfu 3 au 5 nyingine weka
3.Omba Mungu sana
Hizi pia ni njia za kuwa tajiri ila kuna kitu kimoja huwa hawasemi na hawatakaa wakuambie kitu chenyewe ni Power.. Nguvu yaani Mamlaka ili uwe tajiri lazima uwe na Nguvu mamlaka ya kujitawala mwenyewe usipokua na hii kitu hutokaa uwe Tajiri Maisha yako yote Maana Mamlaka yanakua wewe Nguvu by outmatically na Ujasiri. So Tafuta mamla kwanza Power.
Ndo mana matajiri wengi wana Nguvu na Viburi maana wana Power.
Na ndo maana kuna watu wanaacha kazi wanaonekana wana matatizo kumbe sio ile ni Power na power ndo inakupa uthubutu

Ukisoma Biblia Adam alipewa mamlaka na Nguvu ya kutawala viumbe vyote so by outmatically wewe tayari una Power
Chukua hii soma kwa kuelewa.
Hakuna uhalisia wowote
 
La tatu uwe mwaminifu na mwadilifu. Mfano ukikopa mahali uwe tayari kutimiza ahadi ya kurudisha mkopo.
 
Back
Top Bottom