mwalimu_wa_IT
Member
- Nov 5, 2024
- 93
- 165
- Thread starter
-
- #41
Kuna watu wanabisha mkuu .. Hongera sanaAsante mleta mada kwa andiko hili, kuna kitu nimejifunza.
Juzi kati nimefanya tukio fulani kwa kutumia nguvu kidogo kwa mwenye nguvu zaidi yangu na nikafanikiwa.
Kuna namna ukionyesha nguvu ya mamlaka iliyo ndani yako unabluwa mshindi .
Ukisoma kitabu cha mwanzo Mungu alimpa Adam mamla ka Power ya kutawala na kuongoza kwa hyo binadamu outmatically ana Power na MamlakaUmesema mambo ya msingi, ila hili la power, muhimu itoke kwa Mungu, hasa kwa waliomwamini Yesu.
Kumbukumbu la Torati 8
18 Bali utamkumbuka Bwana, Mungu wako, maana ndiye akupaye nguvu za kupata utajiri; ili alifanye imara agano lake alilowapa baba zako, kama hivi leo.
Ili Uwe Tajiri!; Kwa Nguvu na Akili zako HUWEZI sababu ww ni Dhaifu lazima Utafute Nguvu ya ziada Toka Kwa MWENYEZI MUNGU au shetani!Kuna maandiko mengi sana hapa yanaelezea namna mtu ya kuwa tajiri ila wanasahau jambo kubwa mno. Watakuambia
1.Fanya kazi kwa bidii
2.Tumia kidogo ya zaidi unachokipata yaani ukipata elfu 10 tumia elfu 3 au 5 nyingine weka
3.Omba Mungu sana
Hizi pia ni njia za kuwa tajiri ila kuna kitu kimoja huwa hawasemi na hawatakaa wakuambie kitu chenyewe ni Power.. Nguvu yaani Mamlaka ili uwe tajiri lazima uwe na Nguvu mamlaka ya kujitawala mwenyewe usipokua na hii kitu hutokaa uwe Tajiri Maisha yako yote Maana Mamlaka yanakua wewe Nguvu by outmatically na Ujasiri. So Tafuta mamla kwanza Power.
Ndo mana matajiri wengi wana Nguvu na Viburi maana wana Power.
Na ndo maana kuna watu wanaacha kazi wanaonekana wana matatizo kumbe sio ile ni Power na power ndo inakupa uthubutu
Ukisoma Biblia Adam alipewa mamlaka na Nguvu ya kutawala viumbe vyote so by outmatically wewe tayari una Power
Chukua hii soma kwa kuelewa.
Soma mwanzo Mungu alivompa Adam mamlaka.. na kumbukumbu la Torati piaIli Uwe Tajiri!; Kwa Nguvu na Akili zako HUWEZI sababu ww ni Dhaifu lazima Utafute Nguvu ya ziada Toka Kwa MWENYEZI MUNGU au shetani!
Utajiri Unaopatikana na Nguvu za shetani Mwisho wake unakuwa Mbaya!
Utajiri Unaopatikana kutokana na Nguvu za MUNGU ni ENDELEVU!.....
Namna ya kupata mamlaka na nguvu ni ipi?Ni sahihi kabisa ila mamlaka Power ndo Muhimu.
Ulishapewa Hayo mamlaka na Nguvu tokea kuzaliwa kwakoNamna ya kupata mamlaka na nguvu ni ipi?
African mindβAfrica mind shame on You
Matajiri hawataki masikiniπΉπΉUtajiri ni siri,
Ukitaka kuwa tajiri kaa na matajiri.
Mafanikio au utajiri ni siri.... hata wewe ukiigundua hiyo huwezi kuisema...Kuna maandiko mengi sana hapa yanaelezea namna mtu ya kuwa tajiri ila wanasahau jambo kubwa mno. Watakuambia
1.Fanya kazi kwa bidii
2.Tumia kidogo ya zaidi unachokipata yaani ukipata elfu 10 tumia elfu 3 au 5 nyingine weka
3.Omba Mungu sana
Hizi pia ni njia za kuwa tajiri ila kuna kitu kimoja huwa hawasemi na hawatakaa wakuambie kitu chenyewe ni Power.. Nguvu yaani Mamlaka ili uwe tajiri lazima uwe na Nguvu mamlaka ya kujitawala mwenyewe usipokua na hii kitu hutokaa uwe Tajiri Maisha yako yote Maana Mamlaka yanakua wewe Nguvu by outmatically na Ujasiri. So Tafuta mamla kwanza Power.
Ndo mana matajiri wengi wana Nguvu na Viburi maana wana Power.
Na ndo maana kuna watu wanaacha kazi wanaonekana wana matatizo kumbe sio ile ni Power na power ndo inakupa uthubutu
Ukisoma Biblia Adam alipewa mamlaka na Nguvu ya kutawala viumbe vyote so by outmatically wewe tayari una Power
Chukua hii soma kwa kuelewa.
Hakuna uhalisia wowoteKuna maandiko mengi sana hapa yanaelezea namna mtu ya kuwa tajiri ila wanasahau jambo kubwa mno. Watakuambia
1.Fanya kazi kwa bidii
2.Tumia kidogo ya zaidi unachokipata yaani ukipata elfu 10 tumia elfu 3 au 5 nyingine weka
3.Omba Mungu sana
Hizi pia ni njia za kuwa tajiri ila kuna kitu kimoja huwa hawasemi na hawatakaa wakuambie kitu chenyewe ni Power.. Nguvu yaani Mamlaka ili uwe tajiri lazima uwe na Nguvu mamlaka ya kujitawala mwenyewe usipokua na hii kitu hutokaa uwe Tajiri Maisha yako yote Maana Mamlaka yanakua wewe Nguvu by outmatically na Ujasiri. So Tafuta mamla kwanza Power.
Ndo mana matajiri wengi wana Nguvu na Viburi maana wana Power.
Na ndo maana kuna watu wanaacha kazi wanaonekana wana matatizo kumbe sio ile ni Power na power ndo inakupa uthubutu
Ukisoma Biblia Adam alipewa mamlaka na Nguvu ya kutawala viumbe vyote so by outmatically wewe tayari una Power
Chukua hii soma kwa kuelewa.
Wa mapenziNi utajiri upi unauzungumzia?