utajiri..
utajiri.
maana isiyo sahihi ya utajiri amabayo wengi tumeikariri...👇🏾👇🏾👇🏾
"""Utajiri ni hali ya kuwa na mali nyingi au rasilimali za thamani, kama vile pesa, ardhi, biashara, au vitu vingine vya thamani""""
maana halisi ya utajiri...
utajiri hauhusiani tu na fedha pekee; unaweza kuwa wa maarifa, afya, uhusiano mzuri na watu, au hata furaha ya ndani.
Kila mtu anaweza kuwa tajiri kwa namna tofauti kulingana na vipaumbele vyake maishani.
jitahidi kupambana ili kuweza kumudu gharama za maisha yako.
Mtu awezaye kumudu gharama za maisha yake na familia yake pasi na bughudha basi huyu ndie tajiri
ndio yeye ni tajiri..