Tetesi: SirJeff Khagolla (Alias Ontario) amedakwa Mafinga kwa kosa la Uhujumu Uchumi

Hiyo ni kwa mujibu wa sheria ya Jamuhuri ya muungano wa Tanzania sio kumuombea....
Mbona kimuonekana hafanani na kesi yake alafu bado kijana huoni tutapoteza nguvu kazi ya taifa.
 
Duh anafundisha tena tuition wakati kuna jamaa kasema ana bitcoin 100 (billion 30 Tzs)
 
Duh.! kumbe retail hailipi, sasa bans kipindi kile forex ndio imepamba moto nikawa nimepanga niwekeza dola 10,000, nimesoma vya kutosha, na tahadhari zote na tamaa zote nieshatahadharishwa, nikafungua demo, nikawa sioni kama in rahisi kama tulivyoambiwa nikachana nayo.
Lakini nilivyokuwa nimesoma ni kuwa hiyo wholesale ni inahusisha mabenki makubwa zaidi, yaani kama unapiga retail basi uwe na ile mitaji ya dola milioni 100 huko, wewe unaifanyaje mkuu hiyo?
 
Kahujumu uchumi gani? Alikuwa anaikosoa serikali na kuunga mkono NRNE, naona wameamua kumbambikizia kesi
 
Yes hii ni kweli
 
Hii ni nusu ya taarifa - wewe unaweza kulichonganisha jeshi la police na jamii. Why usiweke taarifa kamili?

Unadhani hii taarifa inasomwa na watu wa Osterbay tu au wa jamii ya kijana huyo?
 
Ndugu yangu unamwomba ushauri mtu anaeshindia mihogo na Pepsi baridi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚. Forex haina hela na waliozama huko washajidanganya na kuanza kuamini katika njia nyingine ni ngumu maana wanaamini ipo siku watatoboa kama mcheza kamari ya Aviator.
 
Kumbe Bora ubeti kuliko forex🀣🀣🀣
 
Weee hujui kipindi anattend humu na malalamiko ya wana.
Nilikuwepo Mzee tazama acc yangu mwaka niliojiunga Mimi nilikuwa ant forex humu

Nina kaukongwe Fulani humu enzi hizo Jf ya moto mpaka usiku wa manane hakuna kulala ' Gen z now days wameshindwa kuichangamsha Jf

Enzi zetu ilikuwa ni balaa Kila jukwaa lilikuwa ni la moto πŸ”₯
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…