Infantry Soldier
JF-Expert Member
- Feb 18, 2012
- 15,892
- 16,476
- Thread starter
-
- #41
Huyo jamaa ni mjaluo "B"Wacha weeee
Cc Infantry Soldier
Kumbe hiyo ndio sababu, sa si bora mngefanya kama wamasai, inakatwa afu inabaki inaning'inia yani kama kimeegeshwa pembeni, siku ya kiama ukiulizwa unasema hiki hapa.
Hahahhaaaa[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] hebu take faida mbili za kuoa wake wawiliBado sijatulia,nikiamua kutulia naoa wawili,mkemoja ntamuua tu mtoto wa watu.
Kuna wengine wanaona kuwa hizi ni mila potofu, lkn wakija mashemeji zao wa kikBila shaka mtakuwa na mataahira wengi ukiachia mbali kuchukuana ndugu kwa ndugu. Juzi nilisikia ndugu yenu Mluhya alimtia mimba mama mkwe wake.
Kama ne okaherie to ni jalup Kidi . Ngatcha nyocha onge ga abari gi Rorya . We otieko wuodhe [emoji120][emoji1666]Ondiek, idhi nade? An ja Rorya purely
Kama una maanisha 'mkono wa sweta' ndio! Wahaya pia!Eti wajaluo huwa hakuna "kumenya muwa" ni kweli?
Ose tieko mare, podi wadong in gi an. Nyasae okete kum@ ber. Amen.Kama ne okaherie to ni jalup Kidi . Ngatcha nyocha onge ga abari gi Rorya . We otieko wuodhe [emoji120][emoji1666]
Mtani njoo Bukoba ule seneneOse tieko mare, podi wadong in gi an. Nyasae okete kum@ ber. Amen.
Hivi wajaluo na wahaya ni ndugu, mbona wanafanana vitu vingi sanaKama una maanisha 'mkono wa sweta' ndio! Wahaya pia!
Mungu naye bhana , wahaya wote walitakiwa kuvia tumboni. Hamnamo muhaya muungwana [emoji120][emoji16][emoji1787]Mtani njoo Bukoba ule senene
Jibu ni ndioHivi siku hizi huwa mnatolewa govi?
Hapana,tunamenya.Eti wajaluo huwa hakuna "kumenya muwa" ni kweli?
Haujaelewa maada, rudia kusoma tena.Bila shaka mtakuwa na mataahira wengi ukiachia mbali kuchukuana ndugu kwa ndugu. Juzi nilisikia ndugu yenu Mluhya alimtia mimba mama mkwe wake.
Jibu ni moja "tunatahiriwa".Shida yenu hamtahiriwi kulala na mjaluo nikama unalala na kitoto cheny kidudu inakera ni bora muoane wenyewe kwa wenyewe.
Mmmh basi mmegawanyika
Kama hiki ndio kijaluo basi ni kigumu sana.Ose tieko mare, podi wadong in gi an. Nyasae okete kum@ ber. Amen.
Bado tunarithishana mkuuBado mnarithishana wake ama mmeacha?
OngereniBado tunarithishana mkuu
Vituo vya afya vipo mkuu, lakini hata hivyo utaratibu huu siku hizi umebaki kwa wale wanaoishi vijijini ndani ndani huukoooo lakini sio kwa sisi wa huku mijini.Ongereni
Ila hamuon kama kuna hatari kwa miaka hii ya sahv