Sio kwamba hatuna akili. Yani akili zako naangalia kupitia mabandiko yako kwa hapa jukwaani,but kwny maisha mengine siwezi jua.Binadamu wote akili tunazo ila tunatofautiana viwango vya ujazo wa hizo akili zetu. Einstein ana akili nyingi sana kunizidi mimi...
Ujaluoni , kwa taarifa yako wifi hana sauti . Anarithi kwa mumewe hana urithi kwa Baba & Mama wala kwa kakaake. Lakini anaheshimika nyumbani kwa kuwa ameleta mali (mahari)Hahaaa ni tabia zake. Ila na uwifi upo
SijaelewaUjaluoni , kwa taarifa yako wifi hana sauti . Anarithi kwa mumewe hana urithi kwa Baba & Mama wala kwa kakaake. Lakini anaheshimika nyumbani kwa kuwa ameleta mali (mahari)
Wifi yako hana sauti kwenu au kwao?Ujaluoni , kwa taarifa yako wifi hana sauti . Anarithi kwa mumewe hana urithi kwa Baba & Mama wala kwa kakaake. Lakini anaheshimika nyumbani kwa kuwa ameleta mali (mahari)
Wifi hana sauti kwa mke wa kaka yake. Na hawezi kumletea mizengwe wala maneno. Kwa taarifa yako mtoto wa kike ujaluoni ana nguvu kwa mumewe na si kwao alikozaliwa . Huko kwao ni mgeniWifi yako hana sauti kwenu au kwao?
Asikuambie mtu, hapa wachina wakasome.Kama hiki ndio kijaluo basi ni kigumu sana
Very great pointSio ulaku wala ulafi mkuu. Mama wa kambo ambaye ni ndugu wa mama mzazi anatunza watoto wa dada yake kwa upendo sana kuliko mama wa kambo ambaye si ndugu.
Hata yesu alitahiriwa siku nane baada ya kuzaliwa wewe nani ubaki na migonjwa yenuSiku ya Kiama lazima uulizwe hiki kipande Kiko wapi? Kama tohara ni lazima Basi tungezaliwa bila govi!
Kijaluo kama Kimasai kwa ugumu wakeAsikuambie mtu, hapa wachina wakasome.
Ohooo!! Hawa jamaa siyo wabantu, huwa wanasema kabila lao ni nylon... Haliingiliani na kabila nyingineKijaluo kama Kimasai kwa ugumu wake
Shukrani mkuuNilotes...
Poa mkuuShukrani mkuu
Hiyo avatar yako ni nini? Robot au?Shukrani mkuu
Huyo ni binadamu mkuu ila yeye ni assassin (yupo kwaajili ya kuua tu)Hiyo avatar yako ni nini? Robot au?
Unalijua kabila la Wairaq wapo Manyara? Hao ni akina garmaa lugha yao ipo kama kiarabu vileKijaluo kama Kimasai kwa ugumu wake
Whaaaat? Unataka unitie? Acha zako weweNtiee...
Hapana J, hiyo ni salamu... 😀Whaaaat? Unataka unitie? Acha zako wewe
Wewe umejuaje kama ni salamu?Hapana J, hiyo ni salamu... 😀