Sisi Wakristo huwa ni wachoyo sana kwenye sikukuu zetu ukilinganisha na Waislamu

Kwani kukaribisha lazima??!!...majirani zangu wasubiri x mass sikaribishagi watu pasakašŸ˜€
 
Huo ndio ukweli.
 
Kuna dini fulani ni walafi sana, mbona hata sisi huwa tunafunga ila kelele za vyakula hutasikia.

Hamjui kupita tabu inaanzia hapo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kuna dini fulani ni walafi sana, mbona hata sisi huwa tunafunga ila kelele za vyakula hutasikia.
Binadamu tunaunafiki sana yan watu wakifunga yan matangazo kama yoteee. MUNGU hataki yakoo. Utasikiaaa ohhb mwezi huuu mwezi huuu
 
Ishi maisha halisi na hayo ndio maisha halisi unafiki si issue.
Maswala ya kuulizana kachinja nani huo ni uduanzi
 
Mimi jamaa yangu kwa kuwa anajua nimefunga mwezi mtukufu wa Ramadhani ananialika mara mbili mbili aisee kesho Usikose bwanaaa ufike saa tatu asubuhi tuanze na mchemsho daaah..
Anajivua lawama huyo
 
Sio wachoyo ila tukiwakaribisha hawa respond sababu ya issue za kuchinja nazani
 
Nikaribishe basi shem darling
 
Mwaliko ni hiari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…