Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umefeli sana aisee...Siyo Mimi ...ni wakubwa wangu ndugu
Mimi jamaa yangu kwa kuwa anajua nimefunga mwezi mtukufu wa Ramadhani ananialika mara mbili mbili aisee kesho Usikose bwanaaa ufike saa tatu asubuhi tuanze na mchemsho daaah..Mi mpaka dakika hii sijapata mwaliko imagine
Huo ndio ukweli.Changamoto ni kwamba huwa hawana imani na chakula cha waKristo.Mara huyo kuku alichinjwa na nani?Hivyo vyombo mara ya mwisho kusafishia pua na masikio ya "ng'ombe" ilikuwa lini?Mara sikukuu yenu haijulikani halafu weye ni kafiri!Unapeleka msosi ili usimangwe halafu kimwagwe?Bora kuwa "lichoyo" tu.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna dini fulani ni walafi sana, mbona hata sisi huwa tunafunga ila kelele za vyakula hutasikia.
Unatafuta vitaKuna dini fulani ni walafi sana, mbona hata sisi huwa tunafunga ila kelele za vyakula hutasikia.
Binadamu tunaunafiki sana yan watu wakifunga yan matangazo kama yoteee. MUNGU hataki yakoo. Utasikiaaa ohhb mwezi huuu mwezi huuuKuna dini fulani ni walafi sana, mbona hata sisi huwa tunafunga ila kelele za vyakula hutasikia.
Ishi maisha halisi na hayo ndio maisha halisi unafiki si issue.Changamoto ni kwamba huwa hawana imani na chakula cha waKristo.Mara huyo kuku alichinjwa na nani?Hivyo vyombo mara ya mwisho kusafishia pua na masikio ya "ng'ombe" ilikuwa lini?Mara sikukuu yenu haijulikani halafu weye ni kafiri!Unapeleka msosi ili usimangwe halafu kimwagwe?Bora kuwa "lichoyo" tu.😂😂😂😂
Ngoja niwaachie kaz yao...kwann nife na ukame muwa upo tayari kuliwa...koo limekauka mnoUmefeli sana aisee...
Umefeli sana aisee...
Nakukaribisha kesho PasakaAcheni uchoyo
Sio wachoyo ila tukiwakaribisha hawa respond sababu ya issue za kuchinja nazaniKwema wakuu?
Tuseme ukweli tu sisi wakristo kwenye sikukuu zetu ni wachoyo sana ukilinganisha na waislamu.
Mfano hapa mtaani kwetu ninapoishi ,tunaishi watu wa dini tofauti lakini dini zilizotawala ni Islam na Christian.
Sasa bana sisi wakristo kwenye sikukuu zetu huwa kila mtu kajifungia getini kwake na familia yake, ila kiukweli hawa wenzetu waislamu wakiwa na sikukuu zao au hata shughuli zao tu za kifamilia ebana mtaa mzima mtakula na mtasaza chakula.
Mfano last year ilikua iddy sijui ile yani hapa mtaani ilikua unabembelezewa mualiko, ila sisi wakristo sasa hatuna huo ukarimu.
Tubadilike jamani.
Nialike pilau bila mchuzi nakulagaKuanzia kesho mnaongea kigalatia
Nikaribishe basi shem darlingKyagata wee Kiagata mpaka dk hii umemkaribisha nani?
Usiwajumuishe wakristo wote kwenye uchoyo wako.
Najua mama angu kule home atapika na atawapakulia kina bibi Swabra na Mama Ostadhii… na wao Eid watamkaribisha bi mdashi.
Mimi sijakaribisha mtu sababu sina ratiba ya kupika, kesho kuna nyumba naenda kuvamia bila taarifa [emoji16]
Hujafunga?Mi mpaka dakika hii sijapata mwaliko imagine
Mwaliko ni hiariKwema wakuu?