Sisi Wakristo masikini tunanufaika vipi na shule za Kanisa?

Suluhisho ni kutafuta njia ya kupata ufadhili kwa watoto wa masikini wanaofaulu vizuri mitihani ya kujiunga na shule hizi. Bila kufanya hivi tabaka la masikini na matajiri litazidi kuwa kubwa.
Kwa lugha nyingine masikini ambao nddio Yesu alokuwa anawatetea wanazidinkuongezeka Kwa mgongo was Kanisa lake🙄🙄
 
Leo matokeo ya Mitihani ya Darasa la nne na Form Four yametoka!

Kama kawaida shule zinazoongoza nyingi ni zile zenye Uhusiano na Kanisa ,iwe kwa umiliki au kwa njia nyingine! Hii bila shaka inatoka na misingi Bora iliyowekwa!

Pamoja na mafanikio haya ,Shule nyingi za Kanisa ,gharama zake za masomo ni ghali sana! Pengine kuliko hata shule za watu binafsi!

Hali hii huwafanya Wakristo wengi masikini wasinufaike na hizi shule!
Kwangu mm nafikiri hiki ni kinyume na misingi ya Ukristo na hata ubinadamu!
Ilitarajiwa basi wenye shule nao wanufaike!

Wote ni mashahidi Kwa mfano,upande wa KKKT kumekuwa na michango ya kuchangia Seminary kadhaa hapa nchini!
Lakini n vipi hawa masikini Wananufaika ambao ndio wanaochanga kuku na mbuzi wao,na wengine huchangia kwa maombi
Ilhali ada za shule hizi ni sawa na kipato Cha familia masikini kwa mwaka mzima!

Je, hao hawana haki ya hii Elimu Bora!
Je, Kanisa linaona hii hali!?

Hali haipo tofauti pia ktk Hospitali za Kanisa,Waumini wengi hawana ubavu wa kuingia hospitali kadhaa za ambazo ni ghali.

Ni vipi Msharika wa Maskini wa Loita Dayasisi ya Meru anaweza kupata huduma Bora za afya ktk Hospitali ya Selian aliyaoichangia kwa miaka mingi!

Nafikiri kuna kitu hakipo SAWA! Ndani ya Kanisa na Sisi Waumini pia!

Tutafakari!
Toa mfano wa hiyo ada kubwa. Ninacho kifahamu mimi kuna watoto wazaxi wao wana pesa lkn watoto zero brain wameshindwa kusoma hizo shule.

Sidhan kama ada ni kubwa kuliko shule binafsi sema tu wasajili watoto wazuri na wanakulia malezi ya Ki Mungu ndo maana wanafaulu.
 
Leo matokeo ya Mitihani ya Darasa la nne na Form Four yametoka!

Kama kawaida shule zinazoongoza nyingi ni zile zenye Uhusiano na Kanisa ,iwe kwa umiliki au kwa njia nyingine! Hii bila shaka inatoka na misingi Bora iliyowekwa!

Pamoja na mafanikio haya ,Shule nyingi za Kanisa ,gharama zake za masomo ni ghali sana! Pengine kuliko hata shule za watu binafsi!

Hali hii huwafanya Wakristo wengi masikini wasinufaike na hizi shule!
Kwangu mm nafikiri hiki ni kinyume na misingi ya Ukristo na hata ubinadamu!
Ilitarajiwa basi wenye shule nao wanufaike!

Wote ni mashahidi Kwa mfano,upande wa KKKT kumekuwa na michango ya kuchangia Seminary kadhaa hapa nchini!
Lakini n vipi hawa masikini Wananufaika ambao ndio wanaochanga kuku na mbuzi wao,na wengine huchangia kwa maombi
Ilhali ada za shule hizi ni sawa na kipato Cha familia masikini kwa mwaka mzima!

Je, hao hawana haki ya hii Elimu Bora!
Je, Kanisa linaona hii hali!?

Hali haipo tofauti pia ktk Hospitali za Kanisa,Waumini wengi hawana ubavu wa kuingia hospitali kadhaa za ambazo ni ghali.

Ni vipi Msharika wa Maskini wa Loita Dayasisi ya Meru anaweza kupata huduma Bora za afya ktk Hospitali ya Selian aliyaoichangia kwa miaka mingi!

Nafikiri kuna kitu hakipo SAWA! Ndani ya Kanisa na Sisi Waumini pia!

Tutafakari!
Msife mioyo. Masikini wote Ufalme wenu unawasubiri mbinguni baada ya kifo. Mbinguni = up above in the blue sky far and beyond the clouds.
 
Kama mnafanya biashara ,SI mfaanye biashara nyie matajiri ,sisi maskini mnatuchangisha za Nini!
Unajibu kama.umevimbiwa baada ya kula nje ya kaamba yako!😂😂
Na Hali ndio inauporomomosha UKRISTO DUNIANI ,inaonekana ni biashara TU!
Sa si ugome kuchanga? Umeshikiwa bunduki? Binafsi sichangi mchango wowote wa kanisa zaidi ya sadaka.
Nimevimbiwa nimetoka kula ugali na mbaazii
 
Leo matokeo ya Mitihani ya Darasa la nne na Form Four yametoka!

Kama kawaida shule zinazoongoza nyingi ni zile zenye Uhusiano na Kanisa ,iwe kwa umiliki au kwa njia nyingine! Hii bila shaka inatoka na misingi Bora iliyowekwa!

Pamoja na mafanikio haya ,Shule nyingi za Kanisa ,gharama zake za masomo ni ghali sana! Pengine kuliko hata shule za watu binafsi!

Hali hii huwafanya Wakristo wengi masikini wasinufaike na hizi shule!
Kwangu mm nafikiri hiki ni kinyume na misingi ya Ukristo na hata ubinadamu!
Ilitarajiwa basi wenye shule nao wanufaike!

Wote ni mashahidi Kwa mfano,upande wa KKKT kumekuwa na michango ya kuchangia Seminary kadhaa hapa nchini!
Lakini n vipi hawa masikini Wananufaika ambao ndio wanaochanga kuku na mbuzi wao,na wengine huchangia kwa maombi
Ilhali ada za shule hizi ni sawa na kipato Cha familia masikini kwa mwaka mzima!

Je, hao hawana haki ya hii Elimu Bora!
Je, Kanisa linaona hii hali!?

Hali haipo tofauti pia ktk Hospitali za Kanisa,Waumini wengi hawana ubavu wa kuingia hospitali kadhaa za ambazo ni ghali.

Ni vipi Msharika wa Maskini wa Loita Dayasisi ya Meru anaweza kupata huduma Bora za afya ktk Hospitali ya Selian aliyaoichangia kwa miaka mingi!

Nafikiri kuna kitu hakipo SAWA! Ndani ya Kanisa na Sisi Waumini pia!

Tutafakari!
Zinafaulisha wtoto waliofaili la saba wajati za kata zinachagua watoto wote waliofikisha wastani.
Hizo shule ni lini zitaanza kujali usawa wa kimaumbile pasi kuwatenga watoto wenye ufaulu hafifu.
Wanafanyisha mitihani na kuchagua walio pata A ila michango ya kuzijenga ilitpatikana mpaka kutoka kwa watu wote.
 
Leo matokeo ya Mitihani ya Darasa la nne na Form Four yametoka!

Kama kawaida shule zinazoongoza nyingi ni zile zenye Uhusiano na Kanisa ,iwe kwa umiliki au kwa njia nyingine! Hii bila shaka inatoka na misingi Bora iliyowekwa!

Pamoja na mafanikio haya ,Shule nyingi za Kanisa ,gharama zake za masomo ni ghali sana! Pengine kuliko hata shule za watu binafsi!

Hali hii huwafanya Wakristo wengi masikini wasinufaike na hizi shule!
Kwangu mm nafikiri hiki ni kinyume na misingi ya Ukristo na hata ubinadamu!
Ilitarajiwa basi wenye shule nao wanufaike!

Wote ni mashahidi Kwa mfano,upande wa KKKT kumekuwa na michango ya kuchangia Seminary kadhaa hapa nchini!
Lakini n vipi hawa masikini Wananufaika ambao ndio wanaochanga kuku na mbuzi wao,na wengine huchangia kwa maombi
Ilhali ada za shule hizi ni sawa na kipato Cha familia masikini kwa mwaka mzima!

Je, hao hawana haki ya hii Elimu Bora!
Je, Kanisa linaona hii hali!?

Hali haipo tofauti pia ktk Hospitali za Kanisa,Waumini wengi hawana ubavu wa kuingia hospitali kadhaa za ambazo ni ghali.

Ni vipi Msharika wa Maskini wa Loita Dayasisi ya Meru anaweza kupata huduma Bora za afya ktk Hospitali ya Selian aliyaoichangia kwa miaka mingi!

Nafikiri kuna kitu hakipo SAWA! Ndani ya Kanisa na Sisi Waumini pia!

Tutafakari!
Aloo mimi siwezagi kutoa sadaka wakati sioni "mechanism" ya hiyo sadaka yangu kufika mbinguni.
 
Sa si ugome kuchanga? Umeshikiwa bunduki? Binafsi sichangi mchango wowote wa kanisa zaidi ya sadaka.
Nimevimbiwa nimetoka kula ugali na mbaazii
Usivimbiwe ...kula kwa kiasi!
Hili suala ni tete ,ni lazimaa tulijadili,hata kamma sio Mimi Kuna watu wanhitajinkukombolewa kutoka kwwnye huu Utumwa ,..Tusiogope vivuki vya dini zetu...Yesu aliwachapa viboko watu walio kuwa wanalichukulia poa Kanisa' la Mungu
Na sisi tuwachape viboko,na tupindue meza watu wanaofanya biashara kwa.mgongo was Kanisa
 
Ninamaanisha tutafute mbinu za kuhakikisha watoto wa masikini wananufaika bila kupunguza thamani ya elimu
 
Dini siku hizi ni bihashara.... Michango iliyopo makanisani kwa nyakati hizi aisee ni mtihani kwa kweli, Kuna michango ya Kila aina na huelew matumizi yake.

Lkn kuwepo na michango hii, si chanzo cha waamini kupoteza Imani yao katika dini. Tuendelee kumuabudu na kumtukuza Mungu wetu, maana ufalme wa mbingu unakaribia.

Ukipata nafasi ya kuchangia na moyo umekusukuma kuchangia bs ww changia tu, ukiona bado hujabarikiwa bs maisha yanaenda pia. Lkn km una uwezo wa kumsomesha mtt wako ktk shule nzuri na akapata elimu bora kbs, bs unampeleka tu. Na sie tusio na uwezo bs tutaendelea na kayumba. Lkn kukaa na kutegemea kanisa aah tutachelewa Sana.
 
Leo matokeo ya Mitihani ya Darasa la nne na Form Four yametoka!

Kama kawaida shule zinazoongoza nyingi ni zile zenye Uhusiano na Kanisa ,iwe kwa umiliki au kwa njia nyingine! Hii bila shaka inatoka na misingi Bora iliyowekwa!

Pamoja na mafanikio haya ,Shule nyingi za Kanisa ,gharama zake za masomo ni ghali sana! Pengine kuliko hata shule za watu binafsi!

Hali hii huwafanya Wakristo wengi masikini wasinufaike na hizi shule!
Kwangu mm nafikiri hiki ni kinyume na misingi ya Ukristo na hata ubinadamu!
Ilitarajiwa basi wenye shule nao wanufaike!

Wote ni mashahidi Kwa mfano,upande wa KKKT kumekuwa na michango ya kuchangia Seminary kadhaa hapa nchini!
Lakini n vipi hawa masikini Wananufaika ambao ndio wanaochanga kuku na mbuzi wao,na wengine huchangia kwa maombi
Ilhali ada za shule hizi ni sawa na kipato Cha familia masikini kwa mwaka mzima!

Je, hao hawana haki ya hii Elimu Bora!
Je, Kanisa linaona hii hali!?

Hali haipo tofauti pia ktk Hospitali za Kanisa,Waumini wengi hawana ubavu wa kuingia hospitali kadhaa za ambazo ni ghali.

Ni vipi Msharika wa Maskini wa Loita Dayasisi ya Meru anaweza kupata huduma Bora za afya ktk Hospitali ya Selian aliyaoichangia kwa miaka mingi!

Nafikiri kuna kitu hakipo SAWA! Ndani ya Kanisa na Sisi Waumini pia!

Tutafakari!
Nasali KKKT nimeshaacha kutoa sadaka ya mfuko wa elimu, tunachangia hela shule zenyewe hata hazifanyi vizuri kabisa, hazisikiki popote....go go shule za masister....
 
Ninamaanisha tutafute mbinu za kuhakikisha watoto wa masikini wananufaika bila kupunguza thamani ya elimu
Thamni ya Elimu SI kuwa na A 300 thamni ya Elimu ni pale inapomkomboa masikini!
Kama shule Ina ada 3M na inachagua watoto weenye vipaji tu...Hii sio Shule inayoe deshwa Kwa Misingi ya Injili ya Yesu Kristo ninUtapeli.
Ambao sisi waumini tunatakiwa tuupinge kama Yesu alivyopindua meza Hekaluni ,ambap watu waligeuza Kanisa/Jekalu kuwa Pango la Wafanya Biashara!🧐
 
hii inanikubusa askofu moja huko nigeria, alichangisa waumini wake hela ya kujenga chuo kikuu cha kanisa, lakini cha ajabu hio university au hicho chuo kikuu ni mali yake sasa, kinalipisa hela nyingi sana, watoto wa wale wazazi waliochanga kujenga hawana nafasi bila kulipa ada ambao iko juu sana, lakini niseme hizi mashule na hosipitali ni biashara, wanalipa misara na mambo mengine, so kulipa aa ni lazima, ile nilitarajia ni watoto wale wanasoma pale ada isiwe juu, iwe nafuu sana, iwe zile shule au hosipitali ziwe ni kaa yale mashirika tunaita noT FOR PROFIT, yaani ada iwe ni ya kugaramia mahitaji, kaa misahara ya wafanyakazi, chakula cha wanafunzi, na mambo kaa haya, i mean only running cost, zisiwe ni za kutengeneza faida,na kukiwa na watoto ambao wazazi hawana kipato kikubwa kuwe na kaa busaries, yaani ada ya chini sana au kutolipa ada yoote kwa watoto wa masikini.
 
Usivimbiwe ...kula kwa kiasi!
Hili suala ni tete ,ni lazimaa tulijadili,hata kamma sio Mimi Kuna watu wanhitajinkukombolewa kutoka kwwnye huu Utumwa ,..Tusiogope vivuki vya dini zetu...Yesu aliwachapa viboko watu walio kuwa wanalichukulia poa Kanisa' la Mungu
Na sisi tuwachape viboko,na tupindue meza watu wanaofanya biashara kwa.mgongo was Kanisa
Mambo kama haya labda yaanzie kwenye jumuiya ndogo ndogo wapeleke malalamiko ngazi za juu ila sidhani km inawezekana maana kanisani kumejaa unafiki zaidi Kuliko utu.
 
Back
Top Bottom