Sisi Wakristo masikini tunanufaika vipi na shule za Kanisa?

Sisi Wakristo masikini tunanufaika vipi na shule za Kanisa?

Wakisomesha bure masikini elimu yao itashuka. Kanisa linafanya biashara na halipo tayari kupata hasara nendeni huko kayumba
st. jude wanasoma watoto wa masikini haswa... kaangalie matokeo kitaifa na mkoa wa arusha... watoto hawalipi hata sent ni michango toka kwa wahisani ndio ina wasomesha

feza ukipasua ktk kumi bora kitaifa yoyote ile unasomeshwa bureeeee...
 
st. jude wanasoma watoto wa masikini haswa... kaangalie matokeo kitaifa na mkoa wa arusha... watoto hawalipi hata sent ni michango toka kwa wahisani ndio ina wasomesha

feza ukipasua ktk kumi bora kitaifa yoyote ile unasomeshwa bureeeee...
St.jude wahisani wake wengi ni wazungu.
 
Tulia ustadhi mwenzangu ya wakatoliki na shule zao tuwaachie wenyewe sisi tuendelee kupambania bikra saba elimu dunia haina maana kwetu.
 
Leo matokeo ya Mitihani ya Darasa la nne na Form Four yametoka!

Kama kawaida shule zinazoongoza nyingi ni zile zenye Uhusiano na Kanisa ,iwe kwa umiliki au kwa njia nyingine! Hii bila shaka inatoka na misingi Bora iliyowekwa!

Pamoja na mafanikio haya ,Shule nyingi za Kanisa ,gharama zake za masomo ni ghali sana! Pengine kuliko hata shule za watu binafsi!

Hali hii huwafanya Wakristo wengi masikini wasinufaike na hizi shule!
Kwangu mm nafikiri hiki ni kinyume na misingi ya Ukristo na hata ubinadamu!
Ilitarajiwa basi wenye shule nao wanufaike!

Wote ni mashahidi Kwa mfano,upande wa KKKT kumekuwa na michango ya kuchangia Seminary kadhaa hapa nchini!
Lakini n vipi hawa masikini Wananufaika ambao ndio wanaochanga kuku na mbuzi wao,na wengine huchangia kwa maombi
Ilhali ada za shule hizi ni sawa na kipato Cha familia masikini kwa mwaka mzima!

Je, hao hawana haki ya hii Elimu Bora!
Je, Kanisa linaona hii hali!?

Hali haipo tofauti pia ktk Hospitali za Kanisa,Waumini wengi hawana ubavu wa kuingia hospitali kadhaa za ambazo ni ghali.

Ni vipi Msharika wa Maskini wa Loita Dayasisi ya Meru anaweza kupata huduma Bora za afya ktk Hospitali ya Selian aliyaoichangia kwa miaka mingi!

Nafikiri kuna kitu hakipo SAWA! Ndani ya Kanisa na Sisi Waumini pia!

Tutafakari!
Faida zipo nyingi tu, mfano pesa inayopatikana inajenga mashule zaidi, makanisa ya kisasa, mahosipitali zaidi na ziada inatumika na maaskofu kujikimu kimaisha...
 
Kweli kabisa! Hiyo sadaka tutunze tupeleke watoto shule zao.

Wao wajenge kwa vyanzo vingine!

Niliumia sana binti mmoja alikuwa analalamika anakatwa mshahara LAKI 2,Kuchangia ujenzi was kitega Uchumi wcha Kanisa Fulani jijini Dodoma!
Huu ni wizi!
Kabisa mkuu, fikiria pale kijijini synagogue ambalo limejengwa kwa jasho na machozi ya watu masikini(waimini) linganisha na hali zao (nyumba za waamini zinazozunguka hilo kanisa) linganisha na maisha wanayoishi “wenye kanisa”😅😅
 
Faida zipo nyingi tu, mfano pesa inayopatikana inajenga mashule zaidi, makanisa ya kisasa, mahosipitali zaidi na ziada inatumika na maaskofu kujikimu kimaisha...
Nafikiri matokeo ya hizo faida kwa muumini wa kawaida ni sifa kwamba dhehebu langu lina miradi kila aina, kama ulivyosema siga nyingine ni maaskofu mshahara na mavieite kuongezeka plus faida nyingine ni wale wenye uwezo wa lobbying (hasa waamini wafanyibiashara😃) kupata tenda fulani fulani ndani
 
Nafikiri matokeo ya hizo faida kwa muumini wa kawaida ni sifa kwamba dhehebu langu lina miradi kila aina, kama ulivyosema siga nyingine ni maaskofu mshahara na mavieite kuongezeka plus faida nyingine ni wale wenye uwezo wa lobbying (hasa waamini wafanyibiashara[emoji2]) kupata tenda fulani fulani ndani
Na sifa wala haziliwi,,, sisi wapangani tunashukuru mmetujengea mashule na hospitali nzuri[emoji3][emoji3]
 
Hii mada tamu na fikirishi sn. Vijana wakileo wameamka sn ni suala la muda hizi Biashar zitabalansiwa kuwepo na unafuu.
 
Back
Top Bottom