Sisi Wakristo masikini tunanufaika vipi na shule za Kanisa?

Mtaendelea kupigwa enyi Waafrika mliofungwa fahamu!
Poleeeeeeeeeeee!
😁😁😁😁
 
Wakisomesha bure masikini elimu yao itashuka. Kanisa linafanya biashara na halipo tayari kupata hasara nendeni huko kayumba
st. jude wanasoma watoto wa masikini haswa... kaangalie matokeo kitaifa na mkoa wa arusha... watoto hawalipi hata sent ni michango toka kwa wahisani ndio ina wasomesha

feza ukipasua ktk kumi bora kitaifa yoyote ile unasomeshwa bureeeee...
 
St.jude wahisani wake wengi ni wazungu.
 
Tulia ustadhi mwenzangu ya wakatoliki na shule zao tuwaachie wenyewe sisi tuendelee kupambania bikra saba elimu dunia haina maana kwetu.
 
Faida zipo nyingi tu, mfano pesa inayopatikana inajenga mashule zaidi, makanisa ya kisasa, mahosipitali zaidi na ziada inatumika na maaskofu kujikimu kimaisha...
 
Kweli kabisa! Hiyo sadaka tutunze tupeleke watoto shule zao.

Wao wajenge kwa vyanzo vingine!

Niliumia sana binti mmoja alikuwa analalamika anakatwa mshahara LAKI 2,Kuchangia ujenzi was kitega Uchumi wcha Kanisa Fulani jijini Dodoma!
Huu ni wizi!
Kabisa mkuu, fikiria pale kijijini synagogue ambalo limejengwa kwa jasho na machozi ya watu masikini(waimini) linganisha na hali zao (nyumba za waamini zinazozunguka hilo kanisa) linganisha na maisha wanayoishi β€œwenye kanisaβ€πŸ˜…πŸ˜…
 
Faida zipo nyingi tu, mfano pesa inayopatikana inajenga mashule zaidi, makanisa ya kisasa, mahosipitali zaidi na ziada inatumika na maaskofu kujikimu kimaisha...
Nafikiri matokeo ya hizo faida kwa muumini wa kawaida ni sifa kwamba dhehebu langu lina miradi kila aina, kama ulivyosema siga nyingine ni maaskofu mshahara na mavieite kuongezeka plus faida nyingine ni wale wenye uwezo wa lobbying (hasa waamini wafanyibiasharaπŸ˜ƒ) kupata tenda fulani fulani ndani
 
Na sifa wala haziliwi,,, sisi wapangani tunashukuru mmetujengea mashule na hospitali nzuri[emoji3][emoji3]
 
Hii mada tamu na fikirishi sn. Vijana wakileo wameamka sn ni suala la muda hizi Biashar zitabalansiwa kuwepo na unafuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…