Uchaguzi 2020 Sisi Watanzania tunakushukuru sana Tundu Lissu kwa kampeni zako za kiwango cha juu, Tunakutakia kila la heri, Mungu aendelee kukulinda

Nyinyi waTZ wangapi, sema milioni na laki tisa, maana waTZ milioni 12 na laki 5 tulimchagua Magufuli. Usituchanganye na wabeligiji
Hata napita haraka 😭😭😭😭😭🀀🀀🀀🀀
 
Damage aliyoifanya kwa JPM asingekuwa salama. Mungu amtangulie. Elimu tumepata, na ujasiri umeongezeka, muda si mrefu tutafikia ukombozi kamili.
 
Sijauona uzalendo wa lissu bado
 
Asante na huu ni mwanzo wa mapambano hadi magu achukuliwe hatua stahiki
 
Mimi binafsi namshukuru Mungu kwa uwepo wa Lissu maana bila huyu huenda tungekuwa watumwa hadi wa fikra za chama cha kijani , ametuambia mengi na ametupa ujasiri wa kudai haki zetu za msingi as long as hatuvunji sheria.

Sent from my TECNO CF8 using JamiiForums mobile app
 
Amina mkuu, binafsi namtakia kila la kheri na Mungu azidi kumpigania ktk harakt zake za kutetea wale wanaoonewa na kunyanyaswa.
 
We jamaa praise and worship team unaongoza wallah!!!
 
Kama Lowasa anavyoishi nanyi....
 
Matumaini ni Jambo muhimu katika maisha haya...
 
Ni swala la muda tu. Najua mmekubali mziki wa Lissu hadi kuamua kutumia dola kubaki madarakani.
Hakika wameukubali music na kura zimejidhihirisha .....
 
Katika wagombea ambao wa wameangukia pua, basi tundu lisu ameanguka pakubwa sana,
Alikuja na kauli ya kwamba eti uchaguzi huu ni muhimu kuliko chaguzi zingine, akidhani yeye ni smart kuliko waliomtangulia,

Sasa aibu aliyopata sio ya nchi hii.
Aende akaungane na mange kimambi, na shoga mmoja anaitwa T L Malandu, na kibaka mwingine anaitwa ngurumo, ili waendelee kujifariji huko.
 
Well said kamanda! Mungu ambariki na amlinde sana! We are still in need of TL alot!
 
Baada ya kuja Lissu wananchi walisema ngoja tukamshuhudie KIbaraka wa wazungu amabaye analeta USHOGA Tanzania lakini kura wakamyima.
 
Dikteta mwenyewe anajua jamaa alishinda NEC CCM haikutangaza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…