Zogwale
JF-Expert Member
- Jul 10, 2008
- 15,295
- 10,928
Hata napita haraka ðŸ˜ðŸ˜ðŸ˜ðŸ˜ðŸ˜ðŸ¤¤ðŸ¤¤ðŸ¤¤ðŸ¤¤Nyinyi waTZ wangapi, sema milioni na laki tisa, maana waTZ milioni 12 na laki 5 tulimchagua Magufuli. Usituchanganye na wabeligiji
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata napita haraka ðŸ˜ðŸ˜ðŸ˜ðŸ˜ðŸ˜ðŸ¤¤ðŸ¤¤ðŸ¤¤ðŸ¤¤Nyinyi waTZ wangapi, sema milioni na laki tisa, maana waTZ milioni 12 na laki 5 tulimchagua Magufuli. Usituchanganye na wabeligiji
PropagandaTanzania has become a place of torture and intimidation to the leaders, members of opposition or any citizen with different political views to that of the CCM government
Sijauona uzalendo wa lissu badoNikiwa mmoja wa maripota wa Kampeni za Tundu Lissu humu JF na kwingineko kuanzia mwanzo hadi mwisho, na kwa kadri ya umri nilionao na uzoefu wangu katika siasa za Tanzania na za kimataifa, Tundu Lissu amefanya kampeni za kiwango cha juu mno, huyu mtu hakuwa tu mgombea wa Urais bali alikuwa Mwalimu wa siasa na haki za Raia.
Elimu kali ya Uraia aliyoitoa kuanzia Zanzibar hadi Tanganyika haijawahi kutolewa na yeyote kuanzia wakoloni wala waliopo leo, amefichua mambo mazito mno yaliyofichwa kwa miaka mingi sana, kwa ujumla ni kwamba kwenye uchaguzi wa mwaka huu wananchi wa Tanzania wamepata faida kubwa mno na nina hakika sasa wananchi wengi sana wameelewa kinaga Ubagha namna nchi yao ilivyojaa makando kando ya aibu yanayolidhalilisha Taifa.
Kwa niaba ya Wananchi wa Tanzania wa ndani na nje ya nchi, natoa shukrani za dhati kwa Tundu Lissu kwa wema wake aliotutendea kwa kuamua kutushirikisha kwenye kila uozo uliofichwa kwa miaka mingi kwenye nchi hii, SPANA zilizopigwa hakuna yeyote katika wanaccm walio hai leo mwenye uwezo wa kujibu , kwa kifupi ni kama wanaccm wote wamevunjwa viuno.
Namuomba Mwenyezi Mungu aendelee kumlinda Lissu kwa ajili ya Uhai wa Nchi yetu
Aaah watu wema wenye faida na baraka kwa Jamii kina Mengi, rwakatale, shamte, mfuruki, ruge wameondoka waovu wanadunda Hadi leo. Watu dhalimu uchelewa kufaSafari hii hawapenyi
Asante na huu ni mwanzo wa mapambano hadi magu achukuliwe hatua stahikiNikiwa mmoja wa maripota wa Kampeni za Tundu Lissu humu JF na kwingineko kuanzia mwanzo hadi mwisho, na kwa kadri ya umri nilionao na uzoefu wangu katika siasa za Tanzania na za kimataifa, Tundu Lissu amefanya kampeni za kiwango cha juu mno, huyu mtu hakuwa tu mgombea wa Urais bali alikuwa Mwalimu wa siasa na haki za Raia.
Elimu kali ya Uraia aliyoitoa kuanzia Zanzibar hadi Tanganyika haijawahi kutolewa na yeyote kuanzia wakoloni wala waliopo leo, amefichua mambo mazito mno yaliyofichwa kwa miaka mingi sana, kwa ujumla ni kwamba kwenye uchaguzi wa mwaka huu wananchi wa Tanzania wamepata faida kubwa mno na nina hakika sasa wananchi wengi sana wameelewa kinaga Ubagha namna nchi yao ilivyojaa makando kando ya aibu yanayolidhalilisha Taifa.
Kwa niaba ya Wananchi wa Tanzania wa ndani na nje ya nchi, natoa shukrani za dhati kwa Tundu Lissu kwa wema wake aliotutendea kwa kuamua kutushirikisha kwenye kila uozo uliofichwa kwa miaka mingi kwenye nchi hii, SPANA zilizopigwa hakuna yeyote katika wanaccm walio hai leo mwenye uwezo wa kujibu , kwa kifupi ni kama wanaccm wote wamevunjwa viuno.
Namuomba Mwenyezi Mungu aendelee kumlinda Lissu kwa ajili ya Uhai wa Nchi yetu
Mimi binafsi namshukuru Mungu kwa uwepo wa Lissu maana bila huyu huenda tungekuwa watumwa hadi wa fikra za chama cha kijani , ametuambia mengi na ametupa ujasiri wa kudai haki zetu za msingi as long as hatuvunji sheria.Tundu Lissu ni kiboko. Kwa muda mfupi miezi 4 aliyokaa nchini ametusaidia sana wa Tanzania katika mambo mengi. This time CHADEMA walikuwa na mgombea rais bora kabisa ambaye alimpelekesha Jiwe hadi akakonda na kupoteza matumaini. System yote ilichanganyikiwa hadi kufikia kufanya mambo ya aibu kabisa ambao yamemchafua jiwe na utawala wake.
Uchaguzi huu umekuwa uchaguzi muhimu sana na umejenga foundation ya kudai mabadiliko ya msingi ya katiba mpya na tume huru ya uchaguzi.
Wa Tanzania tumeona na dunia imeona. Hatuta fanya uchaguzi tena katika mazingira kama haya. Huu ndo mwisho.
Kwa sasa ni muhimu sana Lissu aondoke nchini ili kupata uwanja salama na huru wa kupaza sauti na kuleta mabadiliko.
Wote wanao mkejeli Lissu siku moja watampigia makofi. Mark my word.
Amina mkuu, binafsi namtakia kila la kheri na Mungu azidi kumpigania ktk harakt zake za kutetea wale wanaoonewa na kunyanyaswa.Nikiwa mmoja wa maripota wa Kampeni za Tundu Lissu humu JF na kwingineko kuanzia mwanzo hadi mwisho na kwa kadri ya umri nilionao na uzoefu wangu katika siasa za Tanzania na za kimataifa, Tundu Lissu amefanya kampeni za kiwango cha juu mno, huyu mtu hakuwa tu mgombea wa Urais bali alikuwa Mwalimu wa siasa na haki za Raia.
Elimu kali ya Uraia aliyoitoa kuanzia Zanzibar hadi Tanganyika haijawahi kutolewa na yeyote kuanzia wakoloni wala waliopo leo, amefichua mambo mazito mno yaliyofichwa kwa miaka mingi sana, kwa ujumla ni kwamba kwenye uchaguzi wa mwaka huu wananchi wa Tanzania wamepata faida kubwa mno na nina hakika sasa wananchi wengi sana wameelewa kinaga Ubagha namna nchi yao ilivyojaa makando kando ya aibu yanayolidhalilisha Taifa.
Kwa niaba ya Wananchi wa Tanzania wa ndani na nje ya nchi, natoa shukrani za dhati kwa Tundu Lissu kwa wema wake aliotutendea kwa kuamua kutushirikisha kwenye kila uozo uliofichwa kwa miaka mingi kwenye nchi hii, SPANA zilizopigwa hakuna yeyote katika wanaccm walio hai leo mwenye uwezo wa kujibu , kwa kifupi ni kama wanaccm wote wamevunjwa viuno.
Namuomba Mwenyezi Mungu aendelee kumlinda Lissu kwa ajili ya Uhai wa Nchi yetu
We jamaa praise and worship team unaongoza wallah!!!Nikiwa mmoja wa maripota wa Kampeni za Tundu Lissu humu JF na kwingineko kuanzia mwanzo hadi mwisho na kwa kadri ya umri nilionao na uzoefu wangu katika siasa za Tanzania na za kimataifa, Tundu Lissu amefanya kampeni za kiwango cha juu mno, huyu mtu hakuwa tu mgombea wa Urais bali alikuwa Mwalimu wa siasa na haki za Raia.
Elimu kali ya Uraia aliyoitoa kuanzia Zanzibar hadi Tanganyika haijawahi kutolewa na yeyote kuanzia wakoloni wala waliopo leo, amefichua mambo mazito mno yaliyofichwa kwa miaka mingi sana, kwa ujumla ni kwamba kwenye uchaguzi wa mwaka huu wananchi wa Tanzania wamepata faida kubwa mno na nina hakika sasa wananchi wengi sana wameelewa kinaga Ubagha namna nchi yao ilivyojaa makando kando ya aibu yanayolidhalilisha Taifa.
Kwa niaba ya Wananchi wa Tanzania wa ndani na nje ya nchi, natoa shukrani za dhati kwa Tundu Lissu kwa wema wake aliotutendea kwa kuamua kutushirikisha kwenye kila uozo uliofichwa kwa miaka mingi kwenye nchi hii, SPANA zilizopigwa hakuna yeyote katika wanaccm walio hai leo mwenye uwezo wa kujibu , kwa kifupi ni kama wanaccm wote wamevunjwa viuno.
Namuomba Mwenyezi Mungu aendelee kumlinda Lissu kwa ajili ya Uhai wa Nchi yetu
Kama Lowasa anavyoishi nanyi....Amina[emoji120][emoji120]
Hakika Tundu Lissu ataendelea kuishi kwenye mioyo ya watz wote hadi umauti utakapomfika....
Tundu Lissu akili nyingi.... Hafai kwenye taifa la kidikteta hasa awamu hii....AWAMU HII ITAPITA
Mungu amjalie afya njema ili apate Urais na kutupeleka nchi ya ndoto yake yenye UHURU, HAKI NA MAENDELEO YA WATU.
Hata mie nimemuona ...Una uwezo mwembamba sana !
Kwani kifo humkuta adui yako tu?Mungu ni mwema adui yetu atakufa atatuacha tuwazima
Matumaini ni Jambo muhimu katika maisha haya...Tundu Lissu ni kiboko. Kwa muda mfupi miezi 4 aliyokaa nchini ametusaidia sana wa Tanzania katika mambo mengi. This time CHADEMA walikuwa na mgombea rais bora kabisa ambaye alimpelekesha Jiwe hadi akakonda na kupoteza matumaini. System yote ilichanganyikiwa hadi kufikia kufanya mambo ya aibu kabisa ambao yamemchafua jiwe na utawala wake.
Uchaguzi huu umekuwa uchaguzi muhimu sana na umejenga foundation ya kudai mabadiliko ya msingi ya katiba mpya na tume huru ya uchaguzi.
Wa Tanzania tumeona na dunia imeona. Hatuta fanya uchaguzi tena katika mazingira kama haya. Huu ndo mwisho.
Kwa sasa ni muhimu sana Lissu aondoke nchini ili kupata uwanja salama na huru wa kupaza sauti na kuleta mabadiliko.
Wote wanao mkejeli Lissu siku moja watampigia makofi. Mark my word.
Hakika wameukubali music na kura zimejidhihirisha .....Ni swala la muda tu. Najua mmekubali mziki wa Lissu hadi kuamua kutumia dola kubaki madarakani.
Katika wagombea ambao wa wameangukia pua, basi tundu lisu ameanguka pakubwa sana,Nikiwa mmoja wa maripota wa Kampeni za Tundu Lissu humu JF na kwingineko kuanzia mwanzo hadi mwisho na kwa kadri ya umri nilionao na uzoefu wangu katika siasa za Tanzania na za kimataifa, Tundu Lissu amefanya kampeni za kiwango cha juu mno, huyu mtu hakuwa tu mgombea wa Urais bali alikuwa Mwalimu wa siasa na haki za Raia.
Elimu kali ya Uraia aliyoitoa kuanzia Zanzibar hadi Tanganyika haijawahi kutolewa na yeyote kuanzia wakoloni wala waliopo leo, amefichua mambo mazito mno yaliyofichwa kwa miaka mingi sana, kwa ujumla ni kwamba kwenye uchaguzi wa mwaka huu wananchi wa Tanzania wamepata faida kubwa mno na nina hakika sasa wananchi wengi sana wameelewa kinaga Ubagha namna nchi yao ilivyojaa makando kando ya aibu yanayolidhalilisha Taifa.
Kwa niaba ya Wananchi wa Tanzania wa ndani na nje ya nchi, natoa shukrani za dhati kwa Tundu Lissu kwa wema wake aliotutendea kwa kuamua kutushirikisha kwenye kila uozo uliofichwa kwa miaka mingi kwenye nchi hii, SPANA zilizopigwa hakuna yeyote katika wanaccm walio hai leo mwenye uwezo wa kujibu , kwa kifupi ni kama wanaccm wote wamevunjwa viuno.
Namuomba Mwenyezi Mungu aendelee kumlinda Lissu kwa ajili ya Uhai wa Nchi yetu
Nikiwa mmoja wa maripota wa Kampeni za Tundu Lissu humu JF na kwingineko kuanzia mwanzo hadi mwisho na kwa kadri ya umri nilionao na uzoefu wangu katika siasa za Tanzania na za kimataifa, Tundu Lissu amefanya kampeni za kiwango cha juu mno, huyu mtu hakuwa tu mgombea wa Urais bali alikuwa Mwalimu wa siasa na haki za Raia.
Elimu kali ya Uraia aliyoitoa kuanzia Zanzibar hadi Tanganyika haijawahi kutolewa na yeyote kuanzia wakoloni wala waliopo leo, amefichua mambo mazito mno yaliyofichwa kwa miaka mingi sana, kwa ujumla ni kwamba kwenye uchaguzi wa mwaka huu wananchi wa Tanzania wamepata faida kubwa mno na nina hakika sasa wananchi wengi sana wameelewa kinaga Ubagha namna nchi yao ilivyojaa makando kando ya aibu yanayolidhalilisha Taifa.
Kwa niaba ya Wananchi wa Tanzania wa ndani na nje ya nchi, natoa shukrani za dhati kwa Tundu Lissu kwa wema wake aliotutendea kwa kuamua kutushirikisha kwenye kila uozo uliofichwa kwa miaka mingi kwenye nchi hii, SPANA zilizopigwa hakuna yeyote katika wanaccm walio hai leo mwenye uwezo wa kujibu , kwa kifupi ni kama wanaccm wote wamevunjwa viuno.
Namuomba Mwenyezi Mungu aendelee kumlinda Lissu kwa ajili ya Uhai wa Nchi yetu
Baada ya kuja Lissu wananchi walisema ngoja tukamshuhudie KIbaraka wa wazungu amabaye analeta USHOGA Tanzania lakini kura wakamyima.Nikiwa mmoja wa maripota wa Kampeni za Tundu Lissu humu JF na kwingineko kuanzia mwanzo hadi mwisho na kwa kadri ya umri nilionao na uzoefu wangu katika siasa za Tanzania na za kimataifa, Tundu Lissu amefanya kampeni za kiwango cha juu mno, huyu mtu hakuwa tu mgombea wa Urais bali alikuwa Mwalimu wa siasa na haki za Raia.
Elimu kali ya Uraia aliyoitoa kuanzia Zanzibar hadi Tanganyika haijawahi kutolewa na yeyote kuanzia wakoloni wala waliopo leo, amefichua mambo mazito mno yaliyofichwa kwa miaka mingi sana, kwa ujumla ni kwamba kwenye uchaguzi wa mwaka huu wananchi wa Tanzania wamepata faida kubwa mno na nina hakika sasa wananchi wengi sana wameelewa kinaga Ubagha namna nchi yao ilivyojaa makando kando ya aibu yanayolidhalilisha Taifa.
Kwa niaba ya Wananchi wa Tanzania wa ndani na nje ya nchi, natoa shukrani za dhati kwa Tundu Lissu kwa wema wake aliotutendea kwa kuamua kutushirikisha kwenye kila uozo uliofichwa kwa miaka mingi kwenye nchi hii, SPANA zilizopigwa hakuna yeyote katika wanaccm walio hai leo mwenye uwezo wa kujibu , kwa kifupi ni kama wanaccm wote wamevunjwa viuno.
Namuomba Mwenyezi Mungu aendelee kumlinda Lissu kwa ajili ya Uhai wa Nchi yetu
Dikteta mwenyewe anajua jamaa alishinda NEC CCM haikutangazaNikiwa mmoja wa maripota wa Kampeni za Tundu Lissu humu JF na kwingineko kuanzia mwanzo hadi mwisho na kwa kadri ya umri nilionao na uzoefu wangu katika siasa za Tanzania na za kimataifa, Tundu Lissu amefanya kampeni za kiwango cha juu mno, huyu mtu hakuwa tu mgombea wa Urais bali alikuwa Mwalimu wa siasa na haki za Raia.