Sisi watumishi wa umma tutasimama na mama 2025

Watanzania ni watu wanafiki sana [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]msimu uliopita walisema hivi hivi
 
Hayo mengi ni mataahira usiyatilie maanani.

Wengi ni failures, kila kitu wao wakipewa wanaona hisani. Wanaona wamependelewa maana hawakustahili na division four zao.
unaweza ukanitajia fani ambayo Haina div 4? Mfano madaktari wengi wamepita diploma ambapo form 6 walipata div 4...pia mainjinia hivyo hivyo tena wao Wana vyuo vya kati ambapo wanachukua vijana wenye div 4 za form 4...Hali ni hio hio kwa fani karibia zote...!!
Ukienda universities kama udsm cut off points ya kusomea ualimu lazima uwe na division 1 au 2 ndo usimee ualimu sawa na uingineer au udaktari pale muhimbili...Sasa wewe mchangia mada utawaattack walimu kuwa failed kivipi?
 
Tumia nafsi yako tu
 
Ukiacha posho ,Neema nyingine ya kikotoo hii hapa 👇
 

Attachments

  • Screenshot_20220529-205643.png
    56.5 KB · Views: 29
Kwani huyo bwana wako magufuli alishinda uchaguzi sï aliiba tu uchaguzi na hiyo c ndo desturi yao basi hata 2025 ndo hayo hayo.
 
Kufanya huko kuzuri ni kupi mkuu,??

Kipande cha sabuni kufika 1000 badala ya 500 siyo.?
 
Una nyege ww fala yan ww nani wa kupangia watu maisha nchi hii?? Amani hii isikufanye ukawashwa kila wakati utakunwa bila mate
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…