Sita wasomewa mashtaka ya mauaji ya Milembe Seleman aliyekuwa Afisa wa GGM, akiwemo aliyekuwa "mkewe"

Na GGM hii kesi wataisimamia ipasavyo. Wanaamini kwa haki za binadamu na ndiyo maana kwenye tangazo la kifo walitumia pronoun "He" na siyo "She".
 
Haya mambo ya kusema mahakamanhaina uwezo wa kusikiliza wakati wameshasikikiza tayari yanakera, pandisheni vyeo hizo mahakama ziwe na uwezo
Sheria zetu zinahitaji maboresho ili haki itendeke hasa Sheria ya Uendeshaji Wa Makosa Ya Jinai, mtu apandishwe mahakamani endapo tu upelelezi umekamilika haijalishi ni muda gani utachukua itapunguza mianya ya uonevu.
 
Haku uawa kwa sababu ya usagaji wake kwasababu hata huyo shetani aliye kuwa afanya naye huo upumbavu naye amekamatwa na kuunganishwa kwenye miongoni mwa wahusika wa mauaji kwa hiyo hapo ishu wenda ni kuhusu mali.

Unacho takiwa kujua ni kuwa kufanya usagaji au ushoga ni laana unatakiwa kuacha na utubu kwa muumba wako, mwenyezi mungu hakuwa mjinga kuumba mwanamke na mwanaume.

Narudia tena Mungu hakuwa mjinga kuumba mwanamke na mwanaume.

Narudia tena Mungu hakuwa mjinga kuumba mwanamke na mwanaume.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…