Kijana ni fundi, nimeacha ubishi......case closed! Nikisema tofauti nafsi yangu itanisuta.
'Asili ya jambo lile, kama chakula lazima nile'....ujumbe umefikishwa kikubwa kabisa hapa, watoto hata wakiwa macho haina shida kwani hawawezi kuelewa chochote kile.
Alichokera ni ufupi wa wimbo tu, kwa mawazo yangu ingependeza kama kungekuwa na versi ya tatu.