Sitaki kuwa mnafiki, kabla ya kuisikia hii 'Mahaba' ya AliKiba nilijua mziki mzuri umeisha

Sitaki kuwa mnafiki, kabla ya kuisikia hii 'Mahaba' ya AliKiba nilijua mziki mzuri umeisha

Me mbovu sana jambo lilee nna ufundi wa kutosha

angekua fulani hapo angesema inama nipachike rungu au kunduchi juu anifikishe kwetu.
 
Natamani kuwa singo, ila nna upwiru unakaba koo.
Mabinti wenye vifundo, hao ndio me wananitoa roho.

Tafsida iliyotumika hapo ni ya kiwango cha juu mno. Ile melody yake ndo kabisa kaua kila kitu, huchoki kumsikiliza Kiba aisee
 
Acha kabisa
 
Ya lini hyo?
Ina wiki kadhaa, mi mwenyewe nilipoisikia jana nikajishangaa nilikuwa wapi! Ameitoa kimya kimya ila ni suala la muda tu kabla kila mtanzania hajaiimba na kuwa nayo!
 
Natamani kuwa single ila nna upwili unakaba kooh

Mabinti wenye vifundo hao ndo mi wananitoa roho

Na siri tu ya jambo lile ni kama chakula lazima nile

HII MISTARI IMEKAA KIHUNI SANA
 
Back
Top Bottom