Sitaki kuwa mnafiki, kabla ya kuisikia hii 'Mahaba' ya AliKiba nilijua mziki mzuri umeisha

Sitaki kuwa mnafiki, kabla ya kuisikia hii 'Mahaba' ya AliKiba nilijua mziki mzuri umeisha

Dah hii ngoma ni Kali Sana

NATAMANI KUA SINGLE ILA NA UPWIRU UNAKABA KOO
MABINTI WENYE VIFUNDO HAO NDIO MI WANANITOA ROHO
 
Alafu anaimba kama hataki vile, hiyo ngoma hua naisikiliza kutwa nzima yani
 
Back
Top Bottom