Acha kabisa!"upwiru unakaba koo", famasiala nini.
Saaana. Inafariji mno kwa waliokumbwa na visanga vya ukosefu wa uaminifu.Hakika mkuu ngoma imetulia sana 🔥🔥🔥
🤣🤣🤣🤣🤣Kapenda Upwiru tu huyo
SwadaktaaaMahaba
Muuliza mleta mada🤣🤣🤣🤣🤣
Hivi ni nini 'upwiru'?!!!!
Fafanua mkuuHuku ni Kucheka kwa furaha , na mhalifu wako wakati wa Fumanizi
Kumbe tuko wengi. Unitag🤣🤣🤣🤣🤣
Hivi ni nini 'upwiru'?!!!!
UsijaliKumbe tuko wengi. Unitag
Kinachonishangaza ameitoa kimya kimya, ilistahili promo. Hata hivyo ni suala la muda tu kabla ya kila mtanzania kuiimba.Mahaba Ni bonge la pini aisee!
Ndo tunachosema hiko mkuuMbona nyimbo nzuri.
NdiwooooSwadaktaaa