Sitaki kuzini: Sijawahi kuona kama ana dalili za kuoa na sitaki kumwambia unioe

yupo kwenye mtiani mzito sana ubaya wa haya mambo je atakuwa really through out her whole life au itakuwa sometimes tu
Mapenzi ni pamoja na penzi sasa mapenzi bila penzi si mapenzi tena

Ndo akae single mpaka pale atakapopata wake ambae atakubali kuvumilia mpaka watakapofungua ndoa, au adate na mtu wa kanisani kwake ili iwe rahisi maana ni imani moja wataelewana
 
Baki na msimamo wako.
Mwambie ukweli.

Mungu ni wa thamani kuliko kitu kingine chochote..kuwa na Yesu ni bora kuliko vyote.
Kuna vitu lazima uvipoteze kwa ajili ya Mungu.

Wakati mwingine kabla hujaingia kwenye mahusiano muulize kwanza Roho mtakatifu.
Tulia sikia sauti yake.

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
 
we mwanamke au mwanamme?
 
.siku akikujibu unipe taarifa Mkuu manake mpaka naandika hapa huyu ndugu yetu hakuwa ametoa majibu ya maswali yako ambayo ni yetu pia, kuna swali moja hapo umemuuliza akijibu tu ntakuja kutapika maushauri yangu..
 
Mpeni kaisali yaliyo yake kaisali pia Mpeni Mungu yaliyo yake Mungu
 
Na kama umeamua kuacha acha kabisa na ufunge milango yote unayoweza kuikaribisha hiyo dhambi ndani yako..

Lakini pia usiogope ikitokea umeteleza Mungu wetu ni wa Rehema ukitubu anasamehe, usiogope mchungaji akikwambia Mungu amekukasirikia
Yani unasema kama hana mpango wa kukuoa na bado unaendelea nae na papuchi unampa???
 
Njia unayoitafuta ni kumwambia Uwongo tu wewe
Ungekuwa na nia njema ungemweleza tu ukweli kuwa sitaki kuchanganya mapenzi na Mungu
 
πŸ˜‚πŸ˜€
 
πŸ˜‚πŸ˜€
 
Kuchakatwa wakati anasali si nidhambi hiyo kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…