Sitaki kuzini: Sijawahi kuona kama ana dalili za kuoa na sitaki kumwambia unioe

Mbuzi kwenye gunia ni kitu gani?
Hayo ni madhara ya kufanya tendo la ndoa kabla ya ndoa.

Mwanaume/mwanamke akijitunza hadi ndoa ,hayo ya gunia mbuzi wala hatayajua.

Shida watu wamekubuhu.

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
Kuuziwa mbuzi kwenye gunia ni mimi kulipa mahari na kugharamia harusi ya mamilioni kisha usiku baada ya harusi naenda kumkuta mke wangu ana vitu ambavyo siwezi kuvivumilia kimaumbile..maybe kuna mtu mwingine angemkubali ila sio mimi.

Hivi ukinikuta na kidudu kama cha mtoto utaendekea kuwa na mimi?

Kuepusha hili ni bora watu wakapeana mambo kabla ya full commitment(ndoa)
 
kama bikra ipo sawa

kama hakuna, endelea kupelekewa moto bibie

ila pia ungekuja na ile ID yako kongwe ee
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwa hiyo sisi itakuaje Sasa
 
Vitu gani ambavyo huwezi kuvivumilia kwenye maumbile?
Umevijuaje?

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
 
Ni Bora nmepata neema ya kuitambua moja na ambayo inamajaribu mengi na kuivuka tunahitaji neema ya Mungu,naweza pia kuacha nyingne na hakuna binadamu mkamilifu.
 
Mkuu Kama uko kiroho... Mungu atakupa wakiroho.... Nyumbani mwababa kunavijana wengiii... Kaa utulie muombe Mungu atakupa mtu sahihi kabsa.


Note: Usifunge nira na wasio amini
 
Mungu akusamehe,hujui kila mtu anayopitia ulitaka aje akuambie?Mimi ni mimi,na yeye ni Yeye mkuu.
 
Reactions: ABJ
Asante dia kwa ushauri.
 
Asante kwa ushauri,asante sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…