Sitaki kuzini: Sijawahi kuona kama ana dalili za kuoa na sitaki kumwambia unioe

Dada anataka kuwa na mpenzi lakini kupelekewa moto hataki..What the heck is that relationship?
 
Asantee,umenisaidia kumjibu.
 
Shida ya haya madhehebu yetu unaweza kukuta anayekuombea uache uzinzi naye ni mzinzi wa kimataifa.
Imeandikwa fata maneno yao sio matendo yao,Ushauri kuhusu mtu kuacha uzinzi sidhani kama ni kupotosha.
 
Asantee Son of Gamba,maneno ya busara sana aya.
 
Kuruka kiunzi cha uzinzi kwenye hii dunia ya sasa ni sawa na mtu kuponyoka adhabu ya kifo kwenye guillotine... Wale wote ambao wana Misheni ya kuacha uzinzi Mungu awatie nguvu sana kwa kweli.

MÊmENtO HoMO
Ukiamua kumpenda Mungu zaidi ya vitu na mtu unaweza.Kila kitu ni Imani.
 
Aaahaaa,Mungu hawezi kukupa nyoka ukimuomba samaki.
 
Shida ya haya madhehebu yetu unaweza kukuta anayekuombea uache uzinzi naye ni mzinzi wa kimataifa.
Mchungaji hana mbingu ya kukupeleka.
Naye ni binadamu wa kawaida kama wewe.

Neno la Mungu ni upanga ,Biblia inasema hivyo.
Ni upanga ukatao pande mbili...
Sometimes naweza kutoa Neno ambalo hata mimi linanikata,,lakini hakuna namna ni lazima Neno lisimame.
Hatusemi yale yanayotufavor tu!!tunayasema YOTE.

Fuata nyayo zake Kristo,
Chukua yale yaliyo mema kwa watumishi wa Mungu.
Ogopa kufanya dhambi eti kwa sababu fulani anafanya..kila mmoja atatoa hesabu zake.

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
 
Ntajioa mkuu.
Sasa hapo ni kuji contradict, unajuwa kabisa huwezi kujioa, labda uige wale wenye matatizo ya akili, una msimamo mzuri, shikilia huo, utapata inshallah, kama kweli una nia na kweli hutaki ujinga wa kuzini hovyo hovyo kwa wale fisi wapenda nyama..
 
Mkuu Kama uko kiroho... Mungu atakupa wakiroho.... Nyumbani mwababa kunavijana wengiii... Kaa utulie muombe Mungu atakupa mtu sahihi kabsa.


Note: Usifunge nira na wasio amini
Maneno ya busara aya,nyumbani mwababa kuna vijana wengii Amen Ayos.
 
Kwa kuwa nishakula pilau kadhaa..
Ohooo
Hilo sasa ndilo nililokuwa nalitaka useme

Tendo la ndoa ni kwa ajili ya wanandoa yaani mke na mume,nje na hapo ni dhambi .

Kama ulifanya mwanzo aidha kwa kujua ama kwa kutokujua basi hiyo haikupi uhalali wa kuendelea kufanya.

Hayo ni madhara ya uzinzi.

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
 
Nimekujibu hivyo coz nilijua unakoelekea...Kiimani sio sawa kama unavyosema..ila socially ni sawa,lazima ujue standard ya kitu unachotaka kuwa nacho.
 
Nimekujibu hivyo coz nilijua unakoelekea...Kiimani sio sawa kama unavyosema..ila socially ni sawa,lazima ujue standard ya kitu unachotaka kuwa nacho.
Mungu aliweka sheria hizo ili tuzitekeleze katika jamiii.

Hicho kitu hakiwezi kuwa sawa kwa namna yoyote ile

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
 
kwa mfano wewe mwanamke ulishatembea na mwanamme wako tuseme miaka hata 5 halafu mkaachana, umeanza mahusiano mengine yana mwaka mmoja. Halafu unafosi huyu jamaa mpya akuoe do you think that's fair
Hutakiwi kuforce ndoa,Mtu akiona unafaa ataomba,Ndio maana hata mimi sijawahi mgusia jamaa kuwa utanioa?Ila katika maongezi unamuona anamuelekeo gani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…