Sitaki tena maisha mwangu kusikia habari za footbal

Hata mie nimesema narudi chaneta.

Simba, barca wananiuziiii

Na avatar inanibidi nikabadili.
 
ndio ukubwa huo ila michezo iko mingi kama vipi chagua mchezo mwengine.
Nalog off
 
Braza nikupoleje? Yaani hizo timu zako zote ulizoamua kuchagua kuzipenda, kama ingekua buchani ningesema umechagua nyama ya goti! Au ya mbupuma!
Man U ipo!
Dar Young Afrc ipo!
Karibu huku, hizo timu zitakutoa roho!
 
Brother! mpila una weza nisabisha magonjwa ya moyo tu, hata hao yanga walipigwa sana mwaka jana, pia hata man u mwaka jana kha! Hapa niamie kwenye mchezo wa pikipiki na ma game

Kwenye mieleka nilikua namshabikiaga John Cena nae kafulia kha! Sasa ivi niamie kwenye golf, mbio za magari na piki piki
Hata mie nimesema narudi chaneta.

Simba, barca wananiuziiii

Na avatar inanibidi nikabadili.
 
Shabikia Faru Dume, kila siku tunashinda makombe ya kuku na mbuzi!!!
 
Brother! mpila una weza nisabisha magonjwa ya moyo tu, hata hao yanga walipigwa sana mwaka jana, pia hata man u mwaka jana kha! Hapa niamie kwenye mchezo wa pikipiki na ma game

Nilipokua nafanya kazi North Virginia then South Carolina na hatimae Malesia nilikua nikiwapa watu wa huko ushauri usio na malipo!
So far hapa kwetu pia nisipofanya hivyo ntakua siitendei haki nchi yangu.
Ushauri ;
Mchezo wa futboli hauchezwi kwa ku'refar history za mwaka jana , au juzi !
It's a currently data applicable for!
Na hilo ndilo somo (NENO) letu la leo.
 
Heheehhee nilishamwambia akitaka kuondoka kwangu ale kona kwani Kiperemende ni yeye tu?
Kwanza ye ni small hausi wala hanibabaishi lolote.

Hivi wewe . . . ni lini utaniheshimu na kuacha kunisemea hizo hadithi zako??
 
Hivi wewe . . . ni lini utaniheshimu na kuacha kunisemea hizo hadithi zako??

Akuheshimuje kupita hapo?
Au hadi abomoe big haus ndiyo ukubali kakuheshimu?
Kakusimika Kaimu, Vice, deputy, Naibu, Asisstance, Makamu, Nahodha msaidizi, na kule kwenye Airline wanaita F. O (First Officer)
Mivyeo yote after big haus wewe umikabiziwa!
Bado huoni heshima?
Binadamu bwanaa!
 
Heheh . . . kama siku ile mlivyokung'untwa na Ac Millan.
Alafu Puyol akala za uso, rahajeee!

Man U plus Yanga ndo mpango yakhee!
 
The thing is . . . . I don't do with mitala aisee.
Sembuse kuitwa the other wife???? Oooh Gooosssh!!!
 
The thing is . . . . I don't do with mitala aisee.
Sembuse kuitwa the other wife???? Oooh Gooosssh!!!

Mgomba si ni uleule? Anaokula mama bigi na mama smoli ?
Tatizo li-wapi?
Huo wa kula pekee kichoyo, hii world ya IT na Technohamer upo is't available?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…