Sitaki tena maisha mwangu kusikia habari za footbal

mwenyewe nashabikia African sport ya tanga ....
 
Ki ukweli, katika wachezaji ninao wakubali duniani ni Steven Gerad peke yake.. Ila siwezi jiunga na Liver poor naweza pata ugonjwa wa moyo.. Timu yenyewe haijielewi inachohitaji
 
Mpenzi wangu eeeh! yeye yupo yanga, man u na R madrid, hapa hadi na mkwepa kwa jinsi anavyo nicheka badala ya kunifariji
Huyo Mpenzi wako naona naendana nae ila me siko Yanga wa Simba na kakosa Juventus tu!
 
Enzi zidane anakipiga Juventus alikuaga anaishabikia sana, ila siku izi sioni kama anafatilia ligi ya italy, hua ananiboa sana timu zangu zinapo pigwa sema ndo ivyo mwana mke hapigwi

Mke anapigwa ila anapigwa kwa Upande wa Kanga pekee Mpe Kichapo tu
 
nikikasirika hua na mpiga maromance ya kufa mtu hadi nahakikisha yupo hot ile mbaya alafu najidai nimepata dharula namuacha ana angaika angaika kwa kitanda peke yake
Mke anapigwa ila anapigwa kwa Upande wa Kanga pekee Mpe Kichapo tu
 
Hahahaha ww ufai ata tafuta nyumba ndogo ukimpandsha kuna m2 anazizima
 
m2 wa kuzizima? Hapana tunapendana sana hakuna mmoja wetu anaweza jaribu kufanya usariti kwa mwenzake, na hata ivyo hua nikisha muandaa kwa mtindo huo hua nachukua simu yake and then nazunguka zunguka maeneo ya hapo hapo hata baada ya masaa mawili ndio narudi.
Hahahaha ww ufai ata tafuta nyumba ndogo ukimpandsha kuna m2 anazizima
 
Heheh . . . kama siku ile mlivyokung'untwa na Ac Millan.
Alafu Puyol akala za uso, rahajeee!

Man U plus Yanga ndo mpango yakhee!

Hivi wewe mdada mbona una maakili sana?
Nani anakupaga maskillzi ya utambuzi kujua mavitu ya adabu kiivi ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…