Sitaki tena maisha mwangu kusikia habari za footbal

Simba mambo sio mazuri, Arsenal tunapumilia machine, Barcelona tumekua wakupigwa tu, Shark 04 dah! Hata sisemi..

Huku itali Inter milan nao hawa aminiki,

aah!

mkuu mi naona mwaka huu tuombe maezeki watupunguzie garama za maturubai maana hii misiba si midogo mi mpaka nimeamua kumkodisha daktari 24/7 kwaajili ya kutuliza presha.

jana baca alipofungwa tu nikajilipua, nasubiri leo totenham sijui kama tutatoka...
 
mh! Hasa huyu babu wenger ndio ana nikera kweli, jana hali ikua mbaya sema Leo Messi kwakua alifunga na kuendelea kuongeza idadi ya magoli nilijisikia faraja kidogo, Simba sijui itakuaje tu aisee
 
mh! Hasa huyu babu wenger ndio ana nikera kweli, jana hali ikua mbaya sema Leo Messi kwakua alifunga na kuendelea kuongeza idadi ya magoli nilijisikia faraja kidogo, Simba sijui itakuaje tu aisee

ni kuzidi kuwaombea tu ili israel awapitie mbali....... la sivyo tujiandae kutoa last respect
 
Hivi wewe . . . ni lini utaniheshimu na kuacha kunisemea hizo hadithi zako??
Nakuheshimu mpenzi ila huwa unaniudhi wakati mwingine!
Love u my Kipipi
Halafu baadae ukuje kuchukua movie nzuri zawadi ya penzi lako kwangu!
 
Last edited by a moderator:
Mpira bila kufungwa unakosa ushindan... Baki hapo hapo kuna siku mambo yatajipa... Ndo maana mm simba, jkt oljoro , man u, real madrid na juventus turin..... Naenjoy kwa kwel....
 
dah huku arsenal,simba na barcelona maumivu.
ila kwa sumba na arsenal tushazoea
barca n ghafla na mechi muhimu..n matokeo tu na wala sio wamfulia kama anavilazimisha jefu wa clauds..maaana watanzania wanajua kuelezea matokeo tu baada ya mchezo na sio kabla
 
Hamia Man U...Simba huu ni upepo tu..utapita n tutakua vizur tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…