Sitasahau tanuru la moto nililopitishwa na Hayati Magufuli mimi kama mtumishi wa Serikali

Sitasahau tanuru la moto nililopitishwa na Hayati Magufuli mimi kama mtumishi wa Serikali

Habari,

Niende kwenye mada, kama kichwa cha habari hapo juu, Ninaweza kusema kwamba waliotunga sheria mbalimbali za utumishi wa umma watakuwa wajinga na walikuwa na njia njema kabisa.

Miongoni mwa Vitu muhimu kabisa ni nyongeza ya mishahara, increments na kupanda madaraja kila baada ya miaka kadhaa ili kuendana na kupenda kwa gharama za maisha kila mwaka.HIVYO mtumishi aliweza kuyamudu maisha yake japo kwa kudanadana.

Utawala wa JPM yeye hakuona umuhimu wa jambo hili na kuwasugua watumishi kwa miaka sita bila kuwapatia hiyo haki yao ya msingi, aliwafanya watumishi wengi kushindwa kuendana na gharama za maisha na kuwa na hali mbaya sana kiuchumi.

Hivyo kitendo hichi kilififisha ufikiwaji na upelekaji wa maendeleo kiurahisi kwa wananchi japo wananchi wajinga walikuwa wa kwanza kupiga makofi wakifurahia hayo Mateso ya watumishi wa serikali yao.

Watumishi walifanya kazi quantity na si quality kama maroboti, ufanisi ulishuka sana na nidhamu ya uoga kuwa asilimia 100, nia na hamu ya kufanya kazi za serikali ilipungua kabisa na hata maendeleo yaliyoyowafikia wananchi yalikuwa hafifu japo yalikuwa jina kubwa sana na wale waimba mapambio kama mtakumbuka.

Watumishi wa serikali ni DARAJA la kupitisha maendeleo kutoka kwa serikali kwenda kwa wananchi wakiwa na hali mbaya kiuchumi, kiafya na kijamii basi hata maendeleo tarajiwa yatawafikia wananchi kwa namna hali yao ilivyo na wakiheshimiwa, kupewa stahiki zao kwa wakati basi hata utoaji wa huduma na maendeleo kwa jamii huongezeka maradufu.

Binafsi ninamuona MAMA samia kufanikisha zaidi katika mambo yake hata kwa kulijali hili kundi muhimu katika jamii, na 23% imewaongezea watumishi nguvu sana kabla hata ya kuipata, tunakuomba MAMA samia watumishi utushike mkono na sisi hatutakuangusha kuyatafsiri mawazo yako ya kimaendeleo kuwa uhalisia kwa wananchi wetu tunaowahudumia.

Mungu ibaraki Tanzania, Mungu ibaraki ccm na raisi wetu MAMA SAMIA
Naamini dhambi zikizidi Mungu ushusha hasira zake.

Wenye akili watakuwa wamenielewa.
 
Wewe ni lipumbavu na lichawa na tunakujua!

Mafuta ya kula toka 3000 kwa lita mpka 10000
Petrol toka 2500 hadi 3400
Unga toka 800 hadi 1800
Mchele toka 1500 hado 2500
Mbolea toka 50 hadi 180,000
Lim paper toka 8000 mpka 25000

Haya twambie hiyo ni asilimia ngapi?

Usiwe chawa huku wewe ni masikini tu.
Hizo Bei zimeongezeka kwenye geto lako labda..

Pamoja ya kwamba una una mtindio wa ubongo ila ntajitahidi kukujibu,yupo ana nafuu Kati ya aliyeongezewa salary kukabili ongezeko la Bei au wewe taahira unaeumia kwa salary kuongezeka?

Kama inakulipa na wewe kuwa Chawa ila kama haikulipi endelea kuteseka kwa mimi kuwa Chawa.
 
Acha upumbavu bana!..
.
Ukame upi?

Wewe unagizaga mafuta ya kula toka ukrein na urusi?
Mahitaji ya mafuta ya kula Afrika Mashariki yanafikia mpaka tani 2.5 milioni kwa mwaka. Kwa Tanzania mahitaji ni wastani wa tani 650,000 licha ya uzalishaji wa ndani ni wastani wa tani 290,000.
Uganda mahitaji kwa mwaka ni wastani wa tani 120,000 ingawa yenyewe inazalisha tani 40,000 tu.

Kwa nini bei ya mafuta ya kula imezidi kuwa mwiba Afrika Mashariki?​

mafuta

Nchi za Afrika Mashariki zinahitaji angalau wastani wa tani 2.5milioni za mafuta ya kula kwa mwaka kutosheleza mahitaji ya wananchi wake wanaokadiriwa kufikia milioni 300 hasa baada ya DRC kujiunga kwenye ukanda huo wa Afrika Mashariki.
Pamoja na mahitaji hayo makubwa, uzalishaji wa ndani wa mafuta ya kula haukidhi mahitaji hivyo kulazimika kuagiza mafuta kutoka katika mataifa ya nje.
Hata hivyo taifa kama Ukraine ambalo ni msambazaji mkubwa wa mafuta ya alizeti duniani imesimamisha shughuli na usafirishaji wa bidhaa hiyo kutokana na vita inayoendelea sasa nchini humo.
"Hapa kwetu, mambo ya Covid yalikuwa tayari yamesababisha bei ya mafuta kupanda kutoka 2,200Ksh mpaka 4,500Ksh ndani ya miaka miwili. Baada ya uvamizi (wa Ukraine) bei imepanda mpaka 5,100Ksh (dola 44$) ndani ya wiki moja", alinukuliwa na chombo cha habari cha Busness Daily cha Kenya, Mmoja wa viongozi wa sekta hiyo ya mafuta Abdulghani Alwojih.
Ukiacha vita vya Ukraine na sababu zingine za kiusalama pamoja na zile za kiuchumi na kisera, zipo sababu zingine kubwa mbili zinazotajwa wazi kuwa na mkono wake kwenye hili la kupanda kwa bei ya mafuta ya kula katika ukanda huu; mabadiliko ya hali ya hewa katika baadhi ya maeneo yanayozalisha malighafi ya mafuta ya kula pamoja na uwepo wa janga la Corona.
Kutokana na Covid-19 Malaysia pia ilipunguza uzalishaji wake kama ilivyo kwa Indonesia. Hilo limeongeza kuni za kupanda kwa 'moto' wa bei kutokana na uzalishaji wake kwenye soko la mafuta hayo.
Aghalabu kukuta sababu zote zinasadifu ukweli wa hali halisi ulivyo, wapo wanaotumia mwanya huo huo kwa manufaa binafsi kama anavyoeleza mtaalam wa masuala ya biashara kutoka chuo kikuu cha Ushirika, Moshi, Daktari Izack Kazungu; "Corona sawa, hali ya hewa sawa na vita ya Ukraine ni kweli imeendelea kuleta athari nyingi, lakini wapo wafanyabiashara wasio waaminifu wamekuwa wakitumia mwanya huo kuongeza bei kiholela".

Kwa nini ni muhimu kushughulika na mafuta ya kula sasa?​

m

Mwiba wa mafuta ya kula haupaswi kuachwa ukaozea ndani. Unapaswa kutolewa mapema hata kama utalazimika kutolewa kwa maumivu.
Wiki iliyopita Rais wa Tanzania, alimtaka waziri wake wa fedha, Mwigulu Nchemba kushughulikia suala la mafuta ya kula.
Mara kadhaa pia viongozi wa nchi zingine kama Uhuru Kenyatta wa Kenya na Paul Kagame wa Rwanda wamewahi kusikika wakizungumzia kupanda kwa bei ya bidhaa hiyo na bidhaa zingine za vyakula.
"Serikali za Afrika Mashariki, hazina namna ya kukwepa kulivaa hili, kwa manufaa ya muda mrefu, hata kama litawakosesha mapato ama kuwafanya kuingia gharama kubwa, hakuna njia ya mkato", anasema Dr. Izack Kazungu.
Wataalam wanataja mambo matano makubwa yanayoweza kusaidia kuleta suluhu ya muda mrefu na kuboresha sekta ya mafuta ya kula; kuwekeza katika uzalishaji wa mafuta kupitia kilimo cha kisasa cha mazao ya mafuta kama alizeti, pamba, nazi, mawese, karanga, korosho na ufuta. P
ili kuboresha sekta ya mifugo na uvuvi kwa ajili ya kupata kwa wingi mafuta yatokanayo na wanyama na samaki.
Suala lingine ni kuondoa tozo ama kodi zinazoongeza mzigo kwenye biashara ya mafuta ama shughuli za sekta ya mafuta ya kula wakati la nne ni kuhakikisha upatikanaji wa nishati ya umeme na tano ni unafuu wa mafuta ya petroli na dizeli na kuboresha miundo mbinu ya usafirishaji.
"bado kuna mambo mengi ya kufanya hasa kwa upande wa serikali (Kenya) kwa mfano, kwa kupunguza 3% ya tozo ya RDL na IDF, kupitia gharama za mafuta (Petrol na Dizeli) na nishati ya umeme kama hatua zinazoweza kuchukuliwa', alisema Alwojih.
,

Kwa upande wa Tanzania, Juhudi za kupunguza pengo la mahitaji ya mafuta ya kula lilishaanza kwa msukumo wa waziri mkuu, Kassimu Majaliwa. Pamoja na zao la alizeti linalotiliwa mkazo, nchi hiyo imeanza kutekeleza mikakati ya kuendeleza zao la michikichi kwa kuanzisha Kituo Maalum cha Utafiti wa Mchikichi cha Kihinga.
Waziri mkuu huyo alisema kuwa hadi kufikia Mei, 2021 jumla ya mbegu 5,630,376 za chikichi na miche milioni 1.5 imezalishwa na kusambazwa katika Mikoa ya Kigoma, Katavi, Kagera, Rukwa, Mbeya, Pwani na Ruvuma.
Wakati hatua zinazofanana na hizi za Serikali za Afrika Mashariki zikendelea kuchukuliwa na kusubiriwa matokeo yake, je kwa sasa wananchi takribani 300 milioni wa ukanda huu waanze kufikiria kula 'vyakula vya chuku chuku" kwa maana ya visivyoungwa na mafuta na waendelee kuumia kwa bei za mwiba?
Pengine vyakula vya kuchemsha tu, kuoka, kuchoma ama vinavyotengeneza mafuta yake wakati wa kupika vinaweza kuwa mbadala kwa wakati huu. Ingawa matumizi ya karanga za kusaga, korosho au nazi hayawezi kupuuzwa

Chanzo BBC swahili 5/4/2012
 
Hizo Bei zimeongezeka kwenye geto lako labda..

Pamoja ya kwamba una una mtindio wa ubongo ila ntajitahidi kukujibu,yupo ana nafuu Kati ya aliyeongezewa salary kukabili ongezeko la Bei au wewe taahira unaeumia kwa salary kuongezeka?

Kama inakulipa na wewe kuwa Chawa ila kama haikulipi endelea kuteseka kwa mimi kuwa Chawa.
Wewe ni mavi tu, na uchawa wako wa kimavi!

Hii yote ni kutokana na kwamba unakaa na kula bure kwa shemeji alikoolewa dadako ndio maana hujui hata bei za vitu mbalimbali hapa nchini kwa sasa.

Leo tena mamako kapandisha bei za mafuta, hiyo nyongeza yako ya kimavi inamsaidia nini mwananchi?
 
Ingeendea kwa kundi kinyumenyume au😂😂😂
Mbona tulienda uchumi wa Kati miaka mitano kabla ya matarajio...inamaanisha nini hii jomba chini ya JPM na Makamu wake mama SSH
 
Enzi za Magufuli nilikuwa napokea mshahara 300,000 ilitosha kununua 240Kg za mchele ,mshahara umeongezeka napokea 369,900 inatosha kununua 185Kg za mchele,nisaidieni hesabu hesabu hapo mshahara umepanda au umeshuka?
 
Wewe ni mavi tu, na uchawa wako wa kimavi!

Hii yote ni kutokana na kwamba unakaa na kula bure kwa shemeji alikoolewa dadako ndio maana hujui hata bei za vitu mbalimbali hapa nchini kwa sasa.

Leo tena mamako kapandisha bei za mafuta, hiyo nyongeza yako ya kimavi inamsaidia nini mwananchi?
Naona mapovu ya njaa 😬😬😬😬..

Kuwa chawa ni raha Sana hasa Chawa wa Mama..

Taahira wewe ulizoea vya bure piga kazi fala wewe.
 
Hurrrrrayyyyy kwa mama hurrrrrayyyyy!![emoji3577][emoji3577][emoji3577]
 
Enzi za Magufuli nilikuwa napokea mshahara 300,000 ilitosha kununua 240Kg za mchele ,mshahara umeongezeka napokea 369,900 inatosha kununua 185Kg za mchele,nisaidieni hesabu hesabu hapo mshahara umepanda au umeshuka?
Huu umepanda mkuu...[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
  • Thanks
Reactions: nao
Habari,

Niende kwenye mada, kama kichwa cha habari hapo juu, Ninaweza kusema kwamba waliotunga sheria mbalimbali za utumishi wa umma watakuwa wajinga na walikuwa na njia njema kabisa.

Miongoni mwa Vitu muhimu kabisa ni nyongeza ya mishahara, increments na kupanda madaraja kila baada ya miaka kadhaa ili kuendana na kupenda kwa gharama za maisha kila mwaka.HIVYO mtumishi aliweza kuyamudu maisha yake japo kwa kudanadana.

Utawala wa JPM yeye hakuona umuhimu wa jambo hili na kuwasugua watumishi kwa miaka sita bila kuwapatia hiyo haki yao ya msingi, aliwafanya watumishi wengi kushindwa kuendana na gharama za maisha na kuwa na hali mbaya sana kiuchumi.

Hivyo kitendo hichi kilififisha ufikiwaji na upelekaji wa maendeleo kiurahisi kwa wananchi japo wananchi wajinga walikuwa wa kwanza kupiga makofi wakifurahia hayo Mateso ya watumishi wa serikali yao.

Watumishi walifanya kazi quantity na si quality kama maroboti, ufanisi ulishuka sana na nidhamu ya uoga kuwa asilimia 100, nia na hamu ya kufanya kazi za serikali ilipungua kabisa na hata maendeleo yaliyoyowafikia wananchi yalikuwa hafifu japo yalikuwa jina kubwa sana na wale waimba mapambio kama mtakumbuka.

Watumishi wa serikali ni DARAJA la kupitisha maendeleo kutoka kwa serikali kwenda kwa wananchi wakiwa na hali mbaya kiuchumi, kiafya na kijamii basi hata maendeleo tarajiwa yatawafikia wananchi kwa namna hali yao ilivyo na wakiheshimiwa, kupewa stahiki zao kwa wakati basi hata utoaji wa huduma na maendeleo kwa jamii huongezeka maradufu.

Binafsi ninamuona MAMA samia kufanikisha zaidi katika mambo yake hata kwa kulijali hili kundi muhimu katika jamii, na 23% imewaongezea watumishi nguvu sana kabla hata ya kuipata, tunakuomba MAMA samia watumishi utushike mkono na sisi hatutakuangusha kuyatafsiri mawazo yako ya kimaendeleo kuwa uhalisia kwa wananchi wetu tunaowahudumia.

Mungu ibaraki Tanzania, Mungu ibaraki ccm na raisi wetu MAMA SAMIA
Ushuzi mtupu kutoka kwa big chawa. Umesahau kuweka anuani yako!
 
Sasa hivi umeongezewa kamshahara kwa 23% alafu gharam za maisha zimepanda kwa 60% na umewekewa na matozo juu kisha unashangilia! Huo ni utahira.
Hiyo 60% umeipata wapi mkuu.

Yesu ni Bwana na Mwokozi
 
Huoni kwamba wewe ndio taahira maana unaongea upumbavu ambao ubongo wako unakutuma..

Unaweza kuthibitisha jinsi gharama za maisha zimeongezeka kwa 60%?

Mbona Bei za umeme ziko pale pale,Kodi za nyumba ziko pale pale na vyakula Bei zake zina ongezeko dogo..
Wewe ni ndo tahira mara mbili vyakula unavyovyisemea vimeongezeka kidogo ni kipi? Mchele tuliokuwa tunanunua kilo 1200 leo hii 2200 ni ongezo la karibia 100% mahindi ndo usiseme.
 
Mbona tulienda uchumi wa Kati miaka mitano kabla ya matarajio...inamaanisha nini hii jomba chini ya JPM na Makamu wake mama SSH
uchumi wa kati?😂😂😂
 
Wewe ni ndo tahira mara mbili vyakula unavyovyisemea vimeongezeka kidogo ni kipi? Mchele tuliokuwa tunanunua kilo 1200 leo hii 2200 ni ongezo la karibia 100% mahindi ndo usiseme.
Hata saruji mwaka 2016 ilikuwa 10,000 lakini 2020 ilikuwa 17,000-18,000 ..

Sukari mwaka 2016 ilikuwa 1500 lakini 2020 ilikuwa 3,000 and so on..

Maisha yanasonga mbele hayarudi nyuma wewe taahira.
 
Back
Top Bottom