Sitashangaa kuona Yanga inaanzia tena nyumbani na kumalizia ugenini

[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Leo nna rahaa,Thimbaa,Madrid ,Arsenal plus Chelsea hata usingizi sinaaa[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
 
Halafu AZAM Media walijua wakaenda na simu tu ndio wakatumia kurusha matangazo waliona michosho tu kubeba vifaa vingi msibani.

Azam hawakwenda kurusha mchezo waliomba matangazo kutoka kwenye tv inayorusha matangazo sudan,wakaomba ridhaa ya kuonesha ila sio kwamba walienda na vifaa vyao hairuhusiwi
 
Si wao utopolo ndiyo waliwabeza Simba kucheza shirikisho na wakasema mashindano ya walioshindwa?
Unasahau mapena hivi?
 
Yaani nyie muanzie popote pale mnarudi NBCPL.
caf watawaletea Tena zalan
 
Si wao utopolo ndiyo waliwabeza Simba kucheza shirikisho na wakasema mashindano ya walioshindwa?
Unasahau mapena hivi?
Sisi utoporooo pamoja na haji manara tulishakubaliana kuwa kombe la shirikisho ni kombe la loosers....🤣🤣
 
Sio kwa Yanga hii ya kipumbavu...
 
Usijitoe ufahamu alama 0.5 unategemea uanzie ugenini???
Then huyajui malengo ya Simba,,,target za Simba nikufka nusu fainali.
Tuna long term plans,, utopolo mlisema mmesajiri timu ya kucheza klabu bingwa....mmeshacheza malengo yenu yametimia!!!!!
 
Uwezo mnao. Tusubiri draw ya kesho kujua wapinzani wetu wapya.
Hivi kumbe ukishakuwa Utopolo au Kima akili zinahama.

Yaani hii hii Yanga ya akina Kisinda, Mwanyeto na Morrisson ndio ina Uwezo😳

Usilinganishe uwezo wa kufunga Mbuni fc na Kufunga TP Mazembe.

Sasa droo mpewe Agosto kama hajawapiga nje ndani haijalishi kaanzia kwake au kwenu.
 
Unaweza kuanzia ugenini ukafa nyingi ukirudi nyumbani usipindue matokeo, kuanzia ugenini sio uhakika wa kumtoa mpinzani wako, hasa ikiwa uwanja wenu wa nyumbani hata kufunga magoli matatu hamuwezi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…