nadhani Red Arrows walitolewa kwenye raundi ya awali na Agosto ya Malawi kwa hiyo hawapo kwenye shirikisho. Nadhani kiutaratibu Yanga atacheza na timu iliyoanza kwenye michuano ya shirikisho toka mwanzo na pia nadhani kikanuni Yanga ataanza ugenini.Red arrows tukamalizia Zambia na kuingia makundi CAFCC
Yanga anaanzia nyumbani kumalizia ugenini ndio kanuni ilivyonadhani Red Arrows walitolewa kwenye raundi ya awali na Agosto ya Malawi kwa hiyo hawapo kwenye shirikisho. Nadhani kiutaratibu Yanga atacheza na timu iliyoanza kwenye michuano ya shirikisho toka mwanzo na pia nadhani kikanuni Yanga ataanza ugenini.
zinaanzia home, ndio sheria.....Timu zote zilizotoka CHAMPIONS LEAGUE ZITAANZIA UGENINI
Mwaka Jana Simba ambayo ilitoka champion league ilianzia nyumbani na Red ArrowsTimu zote zilizotoka CHAMPIONS LEAGUE ZITAANZIA UGENINI
Kumbuka Azam alichofanywa jana, alikula 3 ugenini.Unaweza kuanzia ugenini ukafa nyingi ukirudi nyumbani usipindue matokeo, kuanzia ugenini sio uhakika wa kumtoa mpinzani wako, hasa ikiwa uwanja wenu wa nyumbani hata kufunga magoli matatu hamuwezi.
Mliachwa mcheze kwenye zone yenu (back passes nyinyi) halafu nyinyi mnajiona mmecheza bila kujua kama mliingia kwenye game plan yao.yanga ina ubovu gani mkuu ama umesimuliwa mpira mtu kakimbizwa dk 600 sema haikuwa bahati kwa yanga
huo mpira uliona peke yako tuliocheza kwenye eneo letu mkuuMliachwa mcheze kwenye zone yenu (back passes nyinyi) halafu nyinyi mnajiona mmecheza bila kujua kama mliingia kwenye game plan yao.
Wale jamaa baada ya kupata goli hawakutaka kushambulia tean, ndiomaana ile siku pale Taifa walikuwa wanatafuta droo ila baada ya kuwafunga walifunguka wakawapelekea moto mpaka mkatamani mpira uishe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Zinaanzia nyumbani mkuu,Yanga ataanzia nyumbani tena,kikubwa wajipange waweze kuutumia uwanja wa nyumbani vizuriTimu zote zilizotoka CHAMPIONS LEAGUE ZITAANZIA UGENINI
Simba alianzia ugenini akashinda 2-0 Kwa mkapa Simba ikapoteza 3-1 ikatolewa Kwa gori la ugenini..Usidanganye, Simba ilipotolewa na jwanneng Galaxy ilianzia nyumbani na kumalizia ugenini[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787], taabu iko palepale.
Harafu yalivyo mambumbumbu yako busy kuicheka Yanga wakati hata wao hawajawahi kuchukua kombe lolote la kimataifa majinga sana haya matahiraKwa asilimia 200. Furaha yenu mmeipata kwa Yanga kuondolewa.
Yanga mbovu? Unashida weweDah ila hii yanga hii.....Nataman ata nijiue...Hivi timu yetu kumbe ndio mbovu kiasi hiki?
Wewe uliangalia gem jana?Yanga mbovu? Unashida wewe
HamnaNa si hivyo, tunaweza pia kupangiwa tena na timu zile zile zenye figisu figisu wanapocheza nyumbani. Hivyo, Yanga tujiandae kisaikolojia.
Kwa Tanzania, Kombe la Shirikisho bado ni kubwa mno kwani hakuna timu iliyowahi kubeba hicho kikombe, kwahiyo elekezeni nguvu huko.
Eleweni wako watu watakaowabeza kucheza Shirikisho wakati wao hicho kikombe hawana na huko waliko hawawezi kupata kikombe. Matokeo ya leo yanaweza kuja kugeuka kuwa ni a blessing in disguise.
Uwezo mnao. Tusubiri draw ya kesho kujua wapinzani wetu wapya.
Kazi kwenu viongozi.
Akili za kucheza mechi kubwaNa si hivyo, tunaweza pia kupangiwa tena na timu zile zile zenye figisu figisu wanapocheza nyumbani. Hivyo, Yanga tujiandae kisaikolojia.
Kwa Tanzania, Kombe la Shirikisho bado ni kubwa mno kwani hakuna timu iliyowahi kubeba hicho kikombe, kwahiyo elekezeni nguvu huko.
Eleweni wako watu watakaowabeza kucheza Shirikisho wakati wao hicho kikombe hawana na huko waliko hawawezi kupata kikombe. Matokeo ya leo yanaweza kuja kugeuka kuwa ni a blessing in disguise.
Uwezo mnao. Tusubiri draw ya kesho kujua wapinzani wetu wapya.
Kazi kwenu viongozi.
Mimi nawaogopa Pyramid jamaa wana kasi sana
Hakuna timu hapo.Yanga mbovu? Unashida wewe
Mmepiga mashuti mangapi yaliyolenga goli kwa mkapa na huko Sudan? Leta takwimu hapa ili tuona kama mlikuwa na hatari yoyote kwenye goli la Hilal.huo mpira uliona peke yako tuliocheza kwenye eneo letu mkuu
Watu wote wenye akili timamu wanaichukia Yanga
Duuu! Mwaka jana mlisema ni kombe la loser leo hii ni kombe muhimu #WajingaNyinyi.Na si hivyo, tunaweza pia kupangiwa tena na timu zile zile zenye figisu figisu wanapocheza nyumbani. Hivyo, Yanga tujiandae kisaikolojia.