Sitausahau usiku wa Ngwasuma nikiwa na pisi kali kutoka Arusha

Umenikumbusha demu wangu mmoja jina Fatma mtoto wa Kilavu bonge la pisi alikuwa anafanya shivacom enzi hizo akiishi maeneo ya tabata she'll, bonge la pisi mswambwanda halafu mwepesi mno, sijui yuko wapi, nilipata Ramani za kumpata pale ngwasuma. Tukitoka ngwasuma tunaingia Mzalendo pub Kwa Jay Dee, millennium tower, breakpoint ya moto enzi hizo, dadeki maisha matamu sana, hapo maeda club iko poa, Ambience, hongera bar, Ile bar opposite na ITV, The G's pub, Dadeki misosi ya Yenu Bar.
 
Kulikuwa na chimbo linaitwa Chagga Bite. Ile miaka ya mwisho ya Mkapa, aliachia sana hela, alivyoingia Kikwete ndio akafanya kufuru
 
Kulikuwa na chimbo linaitwa Chagga Bite. Ile miaka ya mwisho ya Mkapa, aliachia sana hela, alivyoingia Kikwete ndio akafanya kufuru
DSM 2006-2010, badae nikazama Chaka iringa, njombe, na namtumbo kupanda migomba ya miti, baada ya Yale makamuzi ya pesa za Barclays, kuna mwamba alinipa imani akanipa Mgao, God is Good always Good, nikawa nazama one time untill recent past ndio nikarejea Dsm-Dodoma terrain
 
Safi sana.
 
Vipi huko hujalima parachichi?
 
Huyo demu anakunywa soda 19 mkuu unaweza ambatanisha picha yake hapa itasaidia kupunguza maswali...natanguliza shukrani kwa niaba.
Daaaah πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ mamake πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Parachichi hapana nilizama kwenye real estate, mortgages dodoma baada ya kusoma Ramani ya Magufuli inshallah, ntanunua mashamba 2025 Nina targets zangu
Safi sana. Real Estate inalipa sana Dodoma. Ingia kwenye Airbnb Platform utafurahia zaidi
 
Mhusika hajaeleza muda halisi uliotumika kupukutisha hizo soda.

Pia uelewe kuwa, soda zinawiana na pombe namna zinavyochujwa mwilini.

Ukinywa soda kibofu kikafunguka, hata creti unalimaliza peke yako bila shida yoyote.
Yani upige coca ukojoe twende vipi gesi yake ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…