Sitausahau usiku wa Ngwasuma nikiwa na pisi kali kutoka Arusha

Shida naona Nina nguvu za kiume unlimited mkuu nikikuelezea Mikasa yangu yaani daah sijui itakua hivi mpaka uzee au ni kwa muda tu, 😭😭😭 nipo fresh class sema huku chini bwana looh
Hapa sasa itabidi upate majimama matatu humuhumu JF uwe unatumia hizo nguvu zako kwao. You'll thank me later na wao watafurahi sana! Nimuombe bwana Extrovert anisaidie kuwa-tag hapa tukurahisishie 😂👍🏾
 
Unanishaurije Kama kijana mbichi (anayependa mafanikio na kutamani wanawake kwa wakati mmoja 😭😭😭)
Usitamani wanawake. Ukiwatani wanawake watakutawala, utapoteza mwelekeo.

Focus kwenye kujenga wealth, jilimbikizie mali. Utajiri una siri nyingi, miongoni mwao ni ubahili.

Mara mojamoja jiachie, na usizidishe kiwango ulichopanga kutumia . Mfano. Una USD. 100 umepanga ndio uitumie, hakikisha haiishi yote. Bakiza ya kuweka kwenye piggy bank.
 
Mhusika hajaeleza muda halisi uliotumika kupukutisha hizo soda.

Pia uelewe kuwa, soda zinawiana na pombe namna zinavyochujwa mwilini.

Ukinywa soda kibofu kikafunguka, hata creti unalimaliza peke yako bila shida yoyote.
Ngwasuma ilikuwa inaisha saa nane au tisa, kisha tunahamia Maisha Club, au Club Billicanas
 
Hapa sasa itabidi upate majimama matatu humuhumu JF uwe unatumia hizo nguvu zako kwao. You'll thank me later na wao watafurahi sana! Nimuombe bwana Extrovert anisaidie kuwa-tag hapa tukurahisishie 😂👍🏾
Hahaha Mimi sipendi zinaa au ngono sema yenyewe ndo inanifuata(kutokana na huku chini kuwaka moto) ndo maana nimesema hivyo najiona Kama Nina extra ordinary powers si exaggerate Ila namwombaga Mungu aniepushe na hili janga
 
Usitamani wanawake. Ukiwatani wanawake watakutawala, utapoteza mwelekeo.

Focus kwenye kujenga wealth, jilimbikizie mali. Utajiri una siri nyingi, miongoni mwao ni ubahili.

Mara mojamoja jiachie, na usizidishe kiwango ulichopanga kutumia . Mfano. Una USD. 100 umepanga ndio uitumie, hakikisha haiishi yote. Bakiza ya kuweka kwenye piggy bank.
Asante mkuu
 
Hahaha Mimi sipendi zinaa au ngono sema yenyewe ndo inanifuata(kutokana na huku chini kuwaka moto) ndo maana nimesema hivyo najiona Kama Nina extra ordinary powers si exaggerate Ila namwombaga Mungu aniepushe na hili janga
Acha uzembe! Ngoja uungwe na Mijimama hapa ukayatoe stress na matandabui na wewe upate relief kijana
 
Shida naona Nina nguvu za kiume unlimited mkuu nikikuelezea Mikasa yangu yaani daah sijui itakua hivi mpaka uzee au ni kwa muda tu, 😭😭😭 nipo fresh class sema huku chini bwana looh
Dhibiti mihemko yako na tamaa zako za mwili. Umasikini huwapata watu wanaoshindwa kudhibiti hisia zao. Unapata 10,000/- hapo hapo unapata hamu ya bia. Utaendelea saa ngapi?
 
Nafuata ushauri wa mzee bujibuji amepitia mengi ngoja nitengeneze wealth yangu nijichallenge kuzuia hisia no way out 😑😔

Mhubiri 9:11 BHND​

Tena, nimeona kitu kimoja hapa duniani, kwamba wenye mbio hawafaulu katika riadha, wala wenye nguvu hawashindi vita; wenye busara hawapati chakula, wenye akili hawatajiriki, wala wenye ujuzi hawapandi vyeo; lakini wakati wa bahati huwapata wote pamoja.
 
Back
Top Bottom