Sitausahau usiku wa Ngwasuma nikiwa na pisi kali kutoka Arusha

Sasa Buji hivi 2007 hadi mwaka huu si wa 5 na kasoro ya miezi kuwa miaka 6.

Hiyo Konyagi ya mviringo ilikuwaje mkuu...sababu bapa kwa ninavojua ni kitambo sana.

Mbula isyanaloli ndikulonda ubhutungulu nkulumba
1673017785442.png
 
Hiyo 2007 pisi ilikuwa Inatokea mkoa gani?😅 Hizo soda 19 si mchezo
 
Huyo manzi isingempa hiyo chipsi kuku angekunywea kreti zima la soda peke yake
 
Nilipata demu nikiwa kijana kijana, tukatoka kwenda naye Ngwasuma, 2007 hiyo Ngwasuma wanapiga Makumbusho Village. Ukumbi ulikuwa unajaza sana, Ngwasuma walikuwa wanapendwa sana.

Watu walikuwa wakitoka Tunduma, Mwanza, Kahama etc kuja kuwaona Ngwasuma, hivyo ni lazima uingie ukumbini mapema ukitaka ukae.

Saa 1⅞ jioni niko na huyu binti Ngwasuma, nikaitisha mbuzi portions mbili na yeye chips na robo kuku, nikamwambia agiza nusu kuku akikushinda nitakusaidia.

Mezani nimelaza maji na konyagi kubwa, zamani ilikuwa ya chupa ya round, sio hili jibapa. Binti aliagiza Coca-Cola nne, ndani ya muda mfupi akawa amezifuta na kaagiza nyingine.

Hadi tunatoka mziki demu kazinywa koka na soda nyingine mchanganyiko zaidi ya 19, kisa hanywi pombe.
Uyu hakua demu aisee😅😅
 
Usikute vile vi coca cola vidogo 😅😅
 
Malaika wangu hata tukikutana saa Tisa usiku lazima aagize chips samaki
 
Bujibuji umenikumbusha kitambo hadi nimejihisi kutoka chozi. Ngwasuma ilikua imeeenea idara zote kaka. Hapo anaimbwa Julius Mzee wa Benki, Kapufi Mzee wa Mawe, Ndama mtoto wa Ng'ombe daaaaaaaah
 
Back
Top Bottom