Sitausahau usiku wa Ngwasuma nikiwa na pisi kali kutoka Arusha

Sitausahau usiku wa Ngwasuma nikiwa na pisi kali kutoka Arusha

Sema tu ukweli.

Alikujambia mpaka ukashiba ushuzi ukashindwa kwenda kumbandua.

Soda 19 ni balaa tu. Anacheua mdomoni na makalioni. Hahahaha
 
Bujibuji umenikumbusha kitambo hadi nimejihisi kutoka chozi. Ngwasuma ilikua imeeenea idara zote kaka. Hapo anaimbwa Julius Mzee wa Benki, Kapufi Mzee wa Mawe, Ndama mtoto wa Ng'ombe daaaaaaaah
Ile ilikuwa ni zaidi ya moto, weka mbali na watoto
 
Nilipata demu nikiwa kijana kijana, tukatoka kwenda naye Ngwasuma, 2007 hiyo Ngwasuma wanapiga Makumbusho Village. Ukumbi ulikuwa unajaza sana, Ngwasuma walikuwa wanapendwa sana.

Watu walikuwa wakitoka Tunduma, Mwanza, Kahama etc kuja kuwaona Ngwasuma, hivyo ni lazima uingie ukumbini mapema ukitaka ukae.

Saa 1⅞ jioni niko na huyu binti Ngwasuma, nikaitisha mbuzi portions mbili na yeye chips na robo kuku, nikamwambia agiza nusu kuku akikushinda nitakusaidia.

Mezani nimelaza maji na konyagi kubwa, zamani ilikuwa ya chupa ya round, sio hili jibapa. Binti aliagiza Coca-Cola nne, ndani ya muda mfupi akawa amezifuta na kaagiza nyingine.

Hadi tunatoka mziki demu kazinywa koka na soda nyingine mchanganyiko zaidi ya 19, kisa hanywi pombe.
Dah ila wewe mzee wewe🤣🤣
 
Kongole mzee yaani ww na shimba ya buyenze ni mizee kweli Ila mitandaoni mmo 🤣🤣 umeupiga mwingi Ila si una 💰 za kutosha sio
Cash ni kama tako, kila mtu analo. Mimi ni pensioner, nakula mafao yangu. Nina kuku, kondoo, bata, Ng'ombe, na mbuzi. Dada zenu na tudemu twenu wakiwa na uhitaji tunasaidiana. Unajua tena Ng'ombe huwa hazeeki maini.
 
Cash ni kama tako, kila mtu analo. Mimi ni pensioner, nakula mafao yangu. Nina kuku, kondoo, bata, Ng'ombe, na mbuzi. Dada zenu na tudemu twenu wakiwa na uhitaji tunasaidiana. Unajua tena Ng'ombe huwa hazeeki maini.
Aaah hiyo ni moja ya fantasy yangu nikizeeka, Mimi Nina 20 nipo chuo first year na Bibi yangu pia ni mstaafu na yeye ni mfugaji wa kuku (hapo kwenye uhitaji wa tudemu vipi) ni shoo sio Tena unamkoromea kabisa ukimwagia Yale maji ya uzima 🤣🤣🤣🤣 kwani hukuoa mkuuu au wife alifariki?
 
Back
Top Bottom