Sitausahau usiku wa Ngwasuma nikiwa na pisi kali kutoka Arusha

Sitausahau usiku wa Ngwasuma nikiwa na pisi kali kutoka Arusha

Aaah hiyo ni moja ya fantasy yangu nikizeeka, Mimi Nina 20 nipo chuo first year na Bibi yangu pia ni mstaafu na yeye ni mfugaji wa kuku (hapo kwenye uhitaji wa tudemu vipi) ni shoo sio Tena unamkoromea kabisa ukimwagia Yale maji ya uzima 🤣🤣🤣🤣 kwani hukuoa mkuuu au wife alifariki?
Mimi ni mkulima na mfugaji, siwezi kulima nguo, au kufuga viatu. Lazima mazao yangu yaniletee vitu ambavyo mimi sina. (Wewe ni msomi, elewa lugha ya alama) Miongoni mwa zawadi ninazoletewa na maisha ya shamba, ni hizi pisi kali. Sio mbaya mara moja moja na mimi nikaonekana Akemi nikinywa Dom Perignon huku pembeni nina kisu kikali.
 
Mimi ni mkulima na mfugaji, siwezi kulima nguo, au kufuga viatu. Lazima mazao yangu yaniletee vitu ambavyo mimi sina. (Wewe ni msomi, elewa lugha ya alama) Miongoni mwa zawadi ninazoletewa na maisha ya shamba, nihi pisi kali. Sio mbaya mara moja moja na mimi nikaonekana Akemi nikinywa Dom Perignon huku pembeni nina kisu kikali.
Yes papa mopao nimeelewa hiyo tafsida mkuu shukran
 
Mimi ni mkulima na mfugaji, siwezi kulima nguo, au kufuga viatu. Lazima mazao yangu yaniletee vitu ambavyo mimi sina. (Wewe ni msomi, elewa lugha ya alama) Miongoni mwa zawadi ninazoletewa na maisha ya shamba, ni hizi pisi kali. Sio mbaya mara moja moja na mimi nikaonekana Akemi nikinywa Dom Perignon huku pembeni nina kisu kikali.
Basi ukifika dar unaanza kuhangaika na magumegume yanakusafisha hela za mauzo zote unarudi shamba mweupe mkuu 😋😂😂
 
Nilipata demu nikiwa kijana kijana, tukatoka kwenda naye Ngwasuma, 2007 hiyo Ngwasuma wanapiga Makumbusho Village. Ukumbi ulikuwa unajaza sana, Ngwasuma walikuwa wanapendwa sana.

Watu walikuwa wakitoka Tunduma, Mwanza, Kahama etc kuja kuwaona Ngwasuma, hivyo ni lazima uingie ukumbini mapema ukitaka ukae.

Saa 1⅞ jioni niko na huyu binti Ngwasuma, nikaitisha mbuzi portions mbili na yeye chips na robo kuku, nikamwambia agiza nusu kuku akikushinda nitakusaidia.

Mezani nimelaza maji na konyagi kubwa, zamani ilikuwa ya chupa ya round, sio hili jibapa. Binti aliagiza Coca-Cola nne, ndani ya muda mfupi akawa amezifuta na kaagiza nyingine.

Hadi tunatoka mziki demu kazinywa koka na soda nyingine mchanganyiko zaidi ya 19, kisa hanywi pombe.
Hizo soda hazikuwa na gas?😆😆
 
Nyumbani ni jirani pale so muda mwingi tulikuwa tunapata burudani ya ngwasuma tukiwa vitandani tayari. Nakumbuka enzi za Marehemu Remi na ngoma zake za mbele kwa mbele😆😆😆
 
Back
Top Bottom