Sitokaa nitongoze mtoto wa mtu! Hili lililo Nikuta limenifunza kitu MJINI hapa

Acha kibaya huu ugonjwa kuukwepa kwa zama hizi ni inshu sana kati ya 4 basi wawili wanao ila unatofautiana makali
Nyie mnapataje mbona mimi nina miaka sijaupata! Mimi hiki kitu hakiniingii!
 
Nyie mnapataje mbona mimi nina miaka sijaupata! Mimi hiki kitu hakiniingii!
Sina experience nao ila katika mazingira naona vijana na wazee ukiwatesa ukizingatia dalili zake kwa mwanaume huonekana mapema sana kuliko jinsia ke
 
Unamuacha kabla ya kupiga wakati kakutia hasara piga kwanza eboo
 
Sina experience nao ila katika mazingira naona vijana na wazee ukiwatesa ukizingatia dalili zake kwa mwanaume huonekana mapema sana kuliko jinsia ke
Duh! Punguzeni uzinzi jamani, au tumieni kinga, kuweni na mwenza mmoja sio sifa kusuuza rungu kila kona! Waafrika na ngono ptuuu!!
 
Maisha kama mtihani uki copy majibu ya mtu tegemea kupata matokeo kama yake bila kujali niya ufauru au kuferi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ pole wakati mwingine ishi maisha yako wahenga walisha sema kila mbuzi atakula kwa urefu wa kamba yakeπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Duh! Punguzeni uzinzi jamani, au tumieni kinga, kuweni na mwenza mmoja sio sifa kusuuza rungu kila kona! Waafrika na ngono ptuuu!!
Pipi hailiwi na maganda punguza ushauri
 
Kama ulivyosema awali, Mwanaume ndiye muamuzi wa kila jambo.

Binafsi nimewahi kupitia kadhia hii lakini gharama zenyewe alibeba mrembo mwenyewe

Hotel ilikuwa wana-charge 170,000 miaka Ile, nakumbuka alilipia mwenyewe 510,000 siku 3 tulizoishi pale

Kwa vijana wenye malengo, ni vyema kujiepusha na matumizi ya hovyo ya pesa zao

Wajitahidi kuwekeza Kila shilingi wanayoipata

Wakumbuke Fainali Uzeeni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…