Sitokaa nitongoze mtoto wa mtu! Hili lililo Nikuta limenifunza kitu MJINI hapa

Hapana mkuu sometimes mwanamke at first date anakuja na rafiki yake ni kwa sababu labda hajiamini au hakuamini,,ana hofu labda anaweza akazidiwa na ulevi ukambeba ,yule mwenzio ni kama mlinzi wake..
Shida hapa ni matumizi ya fujo na kukupa bili kubwa...sio kuja na mwenzie at first date..
 
Mkuu kuna aina ya mwanamke huwezi kumpata kwa bargain,,
Mapenzi hutengenezwa ,, mwanamke anategwa hadi ananasa,,
Mitego ndy kama hiyo kumshawishi...Pesa ni kimoja wapo,,
Mambo ya bagain hyo ni biashara,nipe ni kupe hayo ndy mambo ya zamani sasa..kwamba akiwa na shida aje ghetto,siku hizi huwapati labda wadada wacheza vikoba na wenye shida ya pesa ya marejesho.
 
Jamaa mstaarabu sana, kuna vijana ukinywa hata beer yake tu anaanza kukuita babe tukapumzike😎
 
Kwa hiyo hujapiga?😀

Muite tena sehemu ghali zaidi aje na hao viwavijeshi wake halafu yeyuka uwaachie hiyo bill.
 
Nakukatalia mkuu,
Kama mtu ameridhia mkutane atakupa location yeye ili ajihakikishie usalama wake.

Tukutane sehemu fulani, eneo la wazi na anajua hapo mnapokutana huwezi kumfanya chochote bila ridhaa yake.

Mwanamke anayekuja na mob ya wenzake ni limbukeni tu, yupo kukukomoa wala hakupendi/hakutaki.
 
Kuna mwanamke ukimuona unajua hapa nitengeneze penzi, ile approach ya mwanzo tu unaweza kujua walau 50% ya mtu unayetaka kudate nae.

Kama umeona ni kazi ya mara moja kwa nini utumie misuli mkuu, ila kama ni kazi ya kudumu unaweza kurisk.
 
Hivi vitu mtu hawezi kuelewa hadi ajifunze kwa vitendo.
Kwa funzo alilopata sasa akili yake itanyooka
 
Yupo mwanaume anamvuta mwanamke kwenye location anayotaka yeye,, unadhani mwanamke atakuamini vp?
Kuna wanawake wengine sio majasiri kuamini kila mtu at first date ila hapo tatizo ni high bills..
Mfano wanakuja 2 wanatumia 20k tu,,
Au anakuja peke yake anatumia 90k, yupi limbukeni?
Hapo shida ni high bills na sio kuja na mwenzie..
Hyo ni kawaida sn at first date, especially visichana vya chuo..
 
Kwangu sioni kama shida ni high bills, shida ni huo ulimbukeni. Sijaita kijiji, unaniletea kijiji cha nini, tuna mazungumzo ya wawili, unakuja na mob ya nini, unataka kunionyesha nini. Mwisho nitachukua namba ya rafiki yako nimuweke na wewe ukae pembeni, si umenionyesha visu zaidi yako?

Mkuu, kama mtu hayupo huru na wewe ni bora asije kabisa, kama kachukua maamuzi ya kukutana na wewe lakini anaogopa, mwambie asije, usifosi vitu ili kjjitutumua.

Kwanza nani kakuambia wadada wa kizazi hiki wanaogopa?
 
Hivi vitu mtu hawezi kuelewa hadi ajifunze kwa vitendo.
Kwa funzo alilopata sasa akili yake itanyooka

Aisee mimi nimeshavuka hyo level ya kupenda kufurahisha mwanamke, zamani utotoni ndio nlikua nateseka mwanamke akiniongelea maneno mabaya au labda kunikataa kwa dharau au kunionyesha bad attitude.

Siku hizi nimekua nunda balaa kwanza hela yangu sitoi kwa mwanamke asiyekua na adabu au asie na upendo au genuine intent na mimi. I’m like fxxk off chukulia unavyonichukulia kama sija ridhika na hulka na attitude yake hata 100 yangu sitoi. Its not about being bitter hamna kwani kila mwanamke unaimbisha ??

Na dem anaeza akawa mwanao na mkaelekezana mambo mawili matatu ya kimaisha sio lazima kila mwanamke umtamani ila nikiona analeta mitikasi ya ajabu namlia ganzi ila moyoni nakua nishamuweka kwenye dust bin.

Nakutanaga na cases nyingi sana in my everyday hustles unakuta manzi anakuchukulia poa cz hakujui the moment akija realise ur somebody and not mnyonge kweli as unavyo jiweka unakuta anaanza shobo…..nikishaona dem gold digger namuweka kwenye dust bin sitakagi hata mazoea.

Ushauri wangu kwa vijana wa kiume:

Wanawake 95% ni viumbe selfish na visivyo na shukran. Kijana kuwa mtu wa mipango, piga kazi tekeleza mipango yako na boresha uchumi wako bila shobo na mtu. Hawa viumbe wa kike utawala utawaacha mwenyewe tena sometimes bila hata kutumia nguvu yoyote kubwa. Ukishaona mwanamke hana utu na adabu fukuza !!!
 
BTW: Mademu wanaoagiza mavitu ya gharama wala siyo wa matawi ya juu. Ni ushamba na ulimbukeni tu.

Vingi hawajawahi kujinunulia kwa pesa zao achilia mbali hata kuvila hawajawahi kabisa.

Ukijifanya Gentleman wanakupuna bila aibu.
 
Kuna mwanamke ukimuona unajua hapa nitengeneze penzi, ile approach ya mwanzo tu unaweza kujua walau 50% ya mtu unayetaka kudate nae.

Kama umeona ni kazi ya mara moja kwa nini utumie misuli mkuu, ila kama ni kazi ya kudumu unaweza kurisk.
Ndy nikasema kwa mnaongea biashara?labda mwanamke wa bar,,
Mwanaume yeyote huweka lengo kwa mwanamke baada ya kumpata kimapenzi,,
Labda uwe unatongoza bar made...ila kama umemwona mwanamke mkali lazima kutengeneza penzi kwnza na kumshawishi ili anase..,
akishanasa ndy malengo ya kubaki au kukimbia yanaanza rasmi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…