Sitokaa nitongoze mtoto wa mtu! Hili lililo Nikuta limenifunza kitu MJINI hapa

Kama kuna malipo hapo sawa, msosi tu ndio tuletewe ushetani, kwani siku zingine huwa tunakula wapi?
Itoshe ukialikwa nenda mwenyewe ikibidi agiza maji tu kupunguza bajeti nauli utajilipia
 
First date kuja mashoga zakee ni dalili za kukudhara unless yawe ni makubaliano yenu
 
Itoshe ukialikwa nenda mwenyewe ikibidi agiza maji tu kupunguza bajeti nauli utajilipia
Sasa unaniitia nini kama huwezi kununua chakula au kinywaji, nilipotoka hakuna maji? Kama huna pesa eleza shida yako kwenye simu aisee..
 
Yes, hili ndo jibu.
Sasa red flag ya malaya moja wapo ndo hy kuitwa yeye then anabeba kikundi cha malaya wenzake
Malaya wenzake waje kufanya nini sasa, labda walikuwa na njaa tu jamani😆
 
Sasa unaniitia nini kama huwezi kununua chakula au kinywaji, nilipotoka hakuna maji? Kama huna pesa eleza shida yako kwenye simu aisee..
Wewe huwezi kujiongeza ukaanzisha mwenyewe kuchafua meza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…