Sitosahau mara yangu ya kwanza kuingia Barbershop

Khahahaha,nilichojifunza mpaka leo.Nikipata mda wa kujiangalia kwenye kioo hua najibinya mwenyewe pembeni mean pua na lips hapa huwa Kuna vijiupele vinakuwa vimeshiba mafuta.
hahaha sura yako ikawa I natoka MAFINYO mjinga kweli wewe

Jamaa shu ni mshaka Glenn Mamaya
 
Khahahaha,nilichojifunza mpaka leo.Nikipata mda wa kujiangalia kwenye kioo hua najibinya mwenyewe pembeni mean pua na lips hapa huwa Kuna vijiupele vinakuwa vimeshiba mafuta.
maisha mafupi nenda kafanyiw scrubs na watoto wenye mikono lain lainπŸ€£πŸ˜„
 
sikuona kilichotoka sababu mawazo yangu yakarudi tenah kufikiria bei tu Yaani kichwa kikawa kinawaka Moto kwa kuwaza bei ya pale Sasa ukijumlisha na Asha alipokua akafungua zile koki Yaani ndio akawa ananitoa kwenye reli kabisa.
🀣🀣🀣
 
Umenikumbusha kisa kimoja nilikuwa kwenye daladala pembeni yangu amekaa mdada anaenda kazini huku mimi ninatoka kazini nilikuwa night shift.

Ikafika muda wa kudai nauli,dada wa watu akaanza kutafuta nauli kwenye mkoba wake mara haoni kipochi si akaanza kubabaika, ujasiri ukamtoka, ikabidi nijiongeze nimlipie, yaani alinishukuru sana maana alikuwa anadhalilishwa na konda.

Kidogo niseme ni wewe ila hatukuwa tumekaa siti za mbele. [emoji846]
 
[emoji1787][emoji1787]
 
Pole sana Mkuu Atalanta πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Na Mimi nina kisa tofauti kidogo lakini hapo kwenye ishu ya bei ndio ninapo taka kupazungumzia. Kuna siku mwaka fulani nilikuwa nipo Zanzibar kikazi. Siku hiyo asubuhi mida ya saa 5 asubuhi nikawa nimefanya kazi ya haraka na nikaingiza kama 120k ni pale kwenye duka la sourvenir MEMORIES OF ZANZIBAR. Opposite ya hilo duka kuna mgahawa unaitwa Tanzanite nikazama mule ndani chap chap nikaisoma MENU nikaagiza Msosi hata siujui πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ilikuwa ni BUTTERNAN something like that. Sasa kwa mawazo yangu nikadhani itakuwa ni kama Cheese / Bread au kitu chochote kinacho fanania kumbe hiyo BUTTERNAN ni Chapati kavu kabisa haina mafuta wala Chumvi yaani kama unakula Sacrament ya Kanisani ile. Hiyo BUTTERNAN ilivyoletwa nikaletewa na Kibirika cha Chai ya Karafuu imechanganywa Mdalasani na kikopo cha asali ili kuiunga hiyo Chai. Sasa ishu imekuja kwenye Bill yaani ilinitoka 30,000 kizembe sana hasa ile Chapati isiyokuwa na Chumvi wala haijachomwa kwa mafuta yaani roho iliniuma sana... 🀣🀣🀣
Lakini siku zote kosa sio kosa lakini kurudia same mistake ndio mistake.
 
πŸ˜„πŸ˜„ Mkuu wewe hiyo yako ndio Kali zaidi nimecheka Sana kusema ukweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…