Sitosahau nilipopata Gono na UTI kwa mke wa jirani yangu

Mimi nilipuuzia tyu nilijuwa ni Hali ya mda tu ila kadri mda ulivyozidi ndiyo Hali ikawa mbaya
 
[Q
UOTE="InvisibleTarget, post: 46180473, member: 265284"]
Duh! Usirudie tena...Mytake kwa vijana, msiruhusu wake zenu au wapenzi wenu wakaenda kulewa wakiwa wenyewe, mtawalaumu bure sababu mwisho wake starehe yao ukamilishwa kwa kutoa tunda, hata kimasikhara wanakuwa wapo tiyari.!
[/QUOTE]

1. Hupaswi kuoa mwanamke mnywa pombe.

2. Hata akinywa, ziwe pombe za Staha na Nyumbani.

3. Sioni namna nikiwa na mke anaweza enda akakaa Bara kunywa.

Jamaa ajalala na mke wa mtu, kalala na Malaya mwenye mume.
 
Madafaka!!!

Kumbe ndo ukiyenit*mbea mke wangu
 

1: Jehanamu inakungoja kwa hamu
2: Chunguza sana na rudia rudia kupima, gono ya hivyo kupona ni shida sana, na hata ukipona mbegu zako kama ziko hai una bahati sana
 
Gono haliponagi mkuu usijidanganye huo ni mkoba tayari ishi nao
 
1: Jehanamu inakungoja kwa hamu
2: Chunguza sana na rudia rudia kupima, gono ya hivyo kupona ni shida sana, na hata ukipona mbegu zako kama ziko hai una bahati sana
Mbona vitisho Tena wakuu
 
Kichwa kikiwa kina safari 6 kubwa unafikiri utakumbuka kuikagua mbususu ni kupachika tu msumeno na kuranda mbunye.
 
Tariano=Talian
ila mkuu sogea kituo cha mbele hapo nyeburu kuna pub moja imefunguliwa ni full shangwe kwa kupiga vyombo
 
Hii biashara ya mke kwenda Bar peke yake kwakweli kuna watu huwa nawahurumia sana,do it but at your own risk...
 
sasa kwanini hukumwambia mkatibiwe wote?
 
Mimi nilipuuzia tyu nilijuwa ni Hali ya mda tu ila kadri mda ulivyozidi ndiyo Hali ikawa mbaya
Aisee.badilika mkuu.Binafsi sipuuziagi any change katika afya.
NIkiumwa mimi kila kitu kinaugua mpaka familia kwasisi wahangaikaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…