Sitosahau UKIMWI ulichofanya mtaani kwetu. Nyie watu wa mapenzi kuweni makini

Sitosahau UKIMWI ulichofanya mtaani kwetu. Nyie watu wa mapenzi kuweni makini

Na ninyi Mama zetu punguzeni kuliwa kimasihara basi hata kama ndivyo mlivyoumbwa kiudhaifu;

* Wanaosafisha kucha zenu na pakaa rangi,

* Wachora tatuu.

* Mafundi friji.

* Bodaboda.

* Wauza magenge.

* Watembeza vyombo mitaani (Waha Boys)

* House maids.

* Wasukaji wa nywele na rasta (Masai Boys).

* Wapiga picha.

wanawatafuna kizembe sana.

Kwa mnyororo huo kuna kusalimika na HIV & AIDS kweli?



Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Umeumia sana mkuu!!! Pole

Kujiendekeza tu sijawahi kunyegeshwa na msafisha kucha na karibia kila wiki 2 nimo kwenye hiyo huduma, hali kadhalika na wengineo uliotaja,

Ushauri huu uwaendee wanaume nyie ndo mapanda panda kila anaewapiteni mbele yenu mpaka mumchungulie
 
Juzi nilikuwa klinic ya watoto hapo zahanati Njombe, pembeni si ndio ipo cliñic ya Ukimwi. Mkuu mbona watu wote si wanawake kwa wanaume hawana nuru kabisa usoni, wamedhoofu wanatia huruma ni kama wamekata tamaa kabisa. Sasa mbona hizo dawa haziwafanyi wapendeze na kunenepa kama ninavyoona katika stori?
Diet mbovu, wenye diet nzuri hawana shida.
 
Mkuu huo ugonjwa kwa % kubwa huletwa na married couple hususani wanawake wenye tamaa ya pesa na ngono za nje kwa kisingizio cha kulizishwa, pia mchunge mkeo ukiona dalili zozote za kuchepuka usimsamehe achana nae immediately.
Mapenzi kinyume na maumbile pana asilimia kubwa sana sababu pana uchafu wa wadudu kama wote, sasa kizazi cha facebook.com kinatumia vumbi la Kongo kukomesha Ke aliyewasumbua kwa muda mrefu kumbe ndiyo hujikaanga kwa mafuta yao wenyewe na kukwaa umeme.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Mwanangu natetemeka hapa, naogopa mzee maana nami nishauguza na kuzika ndugu si chini ya wanne kwa huu ugonjwa...
Nikikumbuka zamani nilikua makini saana hata nikaamua kuoa mapema na kua muamifu ila ndoa ilipovunjika nimeingiwa na roho ya uhuni balaa tena mbaya zaidi siwezi kutumia mpira....
Naogopa kesho yangu namuomba Mungu anasaidie hii roho ya umalaya initoke maana nikijikaza wiki mpaka natetemeka nahisi homa na akili inavurugika sijui n nini hata... enhh Mola nisaidie....[emoji26][emoji26][emoji26][emoji26]
Pepo mahaba hilo.

Funga sana kwa imani thabiti.

Sali usiku wa manane.

Nuia kutakasa mwili nafsi na roho kwa NENO la Mungu na damu ya Yesu.

Jikane nafsi uishi kiroho zaidi na ukuu wa Mungu utauona.


Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Habari njema ni kwamba kuna kinga ya HIV/AIDS siku hizi,,vaginal ring kwa ajili ya wanawake,pia kuna Ile ya sindano ya kila baada ya siku 90.

Zikiruhusiwa kutumika hapo Tanzania zitaokoa maisha ya wananchi wengi sana. Hata kama umeolewa vaginal ring unakuhusu na pia hata kama umeoa Ile sindano ya kinga inakuhusu. Usimwamini mtu maana wanandoa/wapenzi wanakulana na co-workers,bosses,X's zao bila hofu. Wanawake wengine wameolewa lakini wanauza K at the right price bila shida.

Mungu atuepushie kisukari tu maana hakuna dawa ya kufubaza makali yake.
 
Huu Uzi unatisha wakuu,
Nmesoma comment zote mpk nmeogopa
Uzi Umenifanya nijitafakari sana maisha haya ya Michepuko mwisho wake Ni Huku Huku Kwny umeme[emoji26]
Unakufa hivihivi unaiacha na sijui mikeka utamuachia nani [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Wewe neenda kwenye wadi ya saratani ndo utajua ukimwi ni cha mtoto na inaua watu wazima na consciousness yao kwa % kubwa, kule cancer inaua watoto wadogo wazee vijana, masikini wenye pesa kila aina ya mtu. Ukimwi ni hatari ila is over rated kwasbb ni ajira kwa mashirika mengi na misaada kwa serikali zetu........je wa jua kwamba Malaria inaua watu hapa Africa Tanzania ikiwemo kuliko HIV? kila baada ya dakika 3 kuna mtu anakufa kwa Malaria hususani watoto walioko chini ya 5yrs infants......mtu anauwezo wakuishi na ukimwi kwa zaidi ya miaka 30, kinacho ua wa Tanzania ni umasikini ulio kithiri kupata chakula sahihi na dawa kwa wakati ila sio HIV
Punguza siasa mkuu. Usifananishe ugonjwa usio na tiba na gonjwa lingine lolote. Wewe ungeendelea kuandika ungaitaja CCM. Usiingize siasa kwenye ishu za ukimwi.
 
Unaweza kusema ajali za barabarani haziui watu kama magonjwa, hivyo watu wasikuze sana athari za ajali za barabarani?

Ukiwa na UKIMWI halafu ukala vyakula sahihi bila dawa unaweza kuishi miaka 30?
Miak hiyo vyakula vilikuw vingi/ hakuna njaa na vyakula vyenye Tija kulko sasa lakn hawakuvusha ata miez 10 una kwenda
 
Punguza siasa mkuu. Usifananishe ugonjwa usio na tiba na gonjwa lingine lolote. Wewe ungeendelea kuandika ungaitaja CCM. Usiingize siasa kwenye ishu za ukimwi.
Watu wanalinganisha saratani na ukimwi. Iko hivi, ni rahisi kusema unaumwa saratani kuliko ukimwi. Ukimwi ni fedheha kubwa sana. Hata kwenye wasifu sa marehe kama alikufa kwa saratani watasema ila ukimwi never watapindisha tu. Wakuu huu ugonjwa usikie tu kwa jirani
 
Next ni jamii ya wasukuma. Hawa watu wanafanya mapenzi na wanawake wanaojiuza bila hata kinga.....wanapokezana kama sigara. Machimbo mapya ya wadangaji msimu wa kiangazi ni kwenye mapori ya wasukuma.
Nikweli kabisa Hulu niliko najionea wasukuma wengi sana ktk mabaa wanagonga baamed bila kinga
 
Back
Top Bottom