Umenikumbusha mbali Sana kwenye miaka ya 2006.
Ilikuwa hivi,
Nipo form six! shule ilikuwa mchanganyiko, advance boys tu, o-level boys and girls kutwa.
Nikatongoza katoto kaform II, (jina tumwite Neema) tukakubaliana kufafanya mapenzi, Siku ya tukio ilikuwa weekend tukatoka out ambako tulikaa mpaka saa Moja usiku, mi si nikaomba mchezo, binti akawa anataka hataki, nikaona nimtomase Ili kumwamshia hisia, zaidi nikaanza kumnyonya chuchu (wakati namnyonya chuchu si nikavuta maziwa- ingekuwa maziwa ya ng'ombe nigesema yalitosha kusindikiza tonge la ugali, daa.. nikayatema harakaharaka Kwa kificho Ili mrembo asigundue akaninyima).
Daa!! nyege bana duu!!! sikujali nikaendelea na purukushani za kumtomasa maeneo mbalimbali kufikia saa mbili usiku kakubali kaachia mchezo ( hapo tupo vichakani maeneo ya Jirani na shule), ile napampu kama mara mbili hivi nikaona mtu anakuja kufuata uelekeo tulipo, ikabidi tunyanyuke kusongea mbele na sitimu zikayeyuka maana nilihisi ni mlinzi wa shule.
Sasa kimbembe kikaja, Ile nafika bwenini nikakuta story za huyo Neema wangu aliyetoka kuninyonyesha mda mfupi uliopita, Kuwa:
1. Neema ametoa mimba ya mwl Msa (jina bandia). Ambaye wiki Moja iliyopita alikutwa na Madam Shigedi akimeza ARV.
Madam Shegedi,(Kwa wasifu wake alikuwa ni mwl. wa biolojia Kwa o-level na ndo alikuwa anamwaka 1 tangu ahitimu diploma na baadaye kuajiriwa shuleni hapo, Kwa sababu alikuwa Binti mdogo, mrembo mwembamba na nzuri Kwa sura, mwalimu Msa Kwa kumtumia makamu mkuu wa shule akatupa ndoano na akafanikiwa kumpata na wakaanza mahusiano Kwa Siri, ikumbukwe kwa kipindi hiki sisi wanafunzi hatukufahamu chochote tulikuja kujua baadaye).
Baada ya kukutana na hali hiyo Kwa mwl Shigedi alichanganikiwa akawa anasema Kwa kila mtu, kitendo kilichopelekea walimu wote tukiwepo sisi wanafunzi kujua mwl Msa ana ngoma.
Baada ya mwezi mmoja mwl Msa aliugua akaenda hospital za watu binafsi na akalazwa huko,Kwa sababu ya kusikia story ya kuwa alimbembesha mimba Neema ilibidi nikamsalimie kuzuga kwenda kumjulia hali mwl Msa (Kusudi siyo kumjulia hali Bali kwenda kuona hali yake kama kweli ni ngoma) nilimkuta amekonda aisee, na baada ya wiki akahamishiwa hospital ya mkoa.
Baada ya Siku chache nyepesi zikafika Kwa wanafunzi tuliokuwa bweni kuwa mwl Msa ana UKIMWI ila hataki kutumia ARV na CD4 zake zimeshuka sana.
wasifu wa mwl msa, huyu alikuwa ni mwali pekee wa advance Kwa Somo la Kiingereza + History mwajiriwa mwenye degree Kwa shuleni kwetu, Kwa sababu ya uchache wa walimu kipindi hicho, mwl msa alikuwa anachukuliwa na shule Jirani za wasichana bweni kufundisha.
Sasa kutokana na CD4 kushuka na mwl Msa kukata kutumia ARV baada kama ya wiki mbili mwl Msa akafariki.
Nakumbuka siku amefariki;
1. Shule za wasichana alizokuwa anaenda kufundisha ilikuwa vilio tu nahisi hata vipindi havikuendelea.
2. Mimi niliishi Kwa msongo wa mawazo mpaku kushusha uwezo wa kitaaluma na ilinicost ktk mitihani ya kuhutimu.
3. Neema sikumwona Tena shuleni nikapata taarifa alitoroka nyumbani akaenda Kwa shangazi vijijini.
4. Visichana vingi vya shule kwetu na wake za watu mtaani siku ya msiba ilikuwa vilio Kwa zamu.
5. Mwl Shengi alichukua likizo na baadaye Sana ikasemekana ni HIV+
Sasa baada ya kusafirisha mwili wa marehemu kuupeleka kwao Igunga ikaja ikafamika kuwa:
1. Mwl alikuwa akisex na wanafunzi Kwa Siri na wale aliikuwa anawapa mimba alikuwa anawapeleka kutoa.
2. Mwl alikuwa anatembea na mwanamke yeyote bilakuangalia sura au umri.
3. Kule Kwa wasichana wa bweni marehemu alikuwa anabadilisha visichana vya advance kama nguo.
4. Mwl Msa kumbe aliwahi kuoa kabla ya kuajiriwa (mke wake walisoma naye UDSM baadaye waliingia ktk mahusiano na kupelekea kuoana ambapo walizaa moto mmoja ambapo baadaye mke na mtoto walifariki)
..............
Mwisho!
Marehemu mwl Nakumbuka kuwa;
Ulikufa ukiwa na miaka 30 tu miaka mitatu tangu uhitimu UDSM. Ukitanguliwa na mtoto wako baadaye mke wako kipenzi aliyefariki miaka miwili tu tangu kuzaa moto wenu wa kwanza.
ulinikosakosa kupitia Kwa Neema (nilithibitisha Kwa kupima ) ingawa sijui wahanga wezangu uliwaachaje ambao ulitembea nao kama kulipiza kisasi.
Namshukuru Mungu Sasa ni baba wa makamo nina mke na watito.
...Huu ni ushuda wa kweli.....