Interlacustrine R
JF-Expert Member
- Jan 22, 2022
- 7,186
- 14,274
Pole sana kwa Dr, ila angewahi kumeza zile dawa za kuzuia maambukizi ya UKIMWI kabla ya masaa 72 kuisha huenda angenusurika.Nikiwa kama mdau wa afya MWANDAMIZI (senior)
Kuna jamaa alikuja dar so Arvs zake zikaisha so akaniomba am 4 real nimchukulie za kusukuma siku mpaka atakapo Rudi mkoani kwake.......
Nikamcheki mshikaji wangu Y nikamwambia anichukulie akanambia nipo ofsn njoo uchukue.........
Ni dokta kijana alikua ana muhudumia mmama mmoja ni mteja etu nyumbani.....
Kwa bahati mbaya Ile sindano aliyo mchoma mama yule ikamchoma na yeye....
Nikakuta na yeye anazitumia zile dozi....
Niliwaza sana siku iyo..
Labda hakupata huo ushauri daaah [emoji849]
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app